Kikwete ashauriwa kuivunja serikali

Naunga mkono hoja hii kwa nguvu zangu zote.Nilishampa Rais hoja hii hapo nyuma kupitia kwenye mtandao wake.Tulipofika sasa ni pagumu kurekebisha.Hata ningekwenda mbali zaidi.Ningekuwa mimi ningetangaza hali ya hatari na kutawala by "decree" mpaka nishughulikie "all pertaining issues,"ndio nirudishe utawala wa sheria. Mahakama zinatuchelewesha sana!
 
Back
Top Bottom