Kikwete asema hataki kura za watazamaji walioangalia mdahalo wa dr slaa leo


Hivi CCM wanajisikiaje wanavyochanwa liveeee. kwanini wasiseme yaishe wakabidhi mkoba?
 

Hivi CCM wanajisikiaje wanavyochanwa liveeee. kwanini wasiseme yaishe wakabidhi mkoba?

sasa huyo ndo Dr .wa ukweli yaaani haumi umi maneno...chana live kuwa CCM mmekwiba hela ..Rostam na Mkapa mlikaa kikao cha kukwiba hela...daaah huyu Slaa kwa kweli ananipa raha sana...sasa wiki hii ndo yuko dar es salaam yaani sijui itakuwaje maana naona Dar ita vibrate
 
Sasa huyu bwana hajui kuwa watazamaji wengine walikuwa ni ccm? Ina maana hataki kura zao pia?
 
Sidhani kuna ambaye anamuhitaji hata yeye. Mgombea muoga wa midaharo!! Never see before!! Hana hata aibu!! Sina hakika kama kichwa yake iko sawa. Mgombe kuogopa midaharo???!!! unabaki danganya watu majukwaani tu!! Shame on CCM party.
 
sidhani kuna ambaye anamuhitaji hata yeye. Mgombea muoga wa midaharo!! Never see before!! Hana hata aibu!! Sina hakika kama kichwa yake iko sawa. Mgombe kuogopa midaharo???!!! Unabaki danganya watu majukwaani tu!! Shame on ccm party.
halafu kunamijinga inatetea upuuuzi huuu, ccm wamechelewa kumpiga chini mtu huyu!
 
za watazamaji hazitaki, za wafanyakazi hazitaki pia, anataka zipi au ndio za kuiba
 
Kwa mara ya kwanza kabisa katika maisha yangu nakutana na Mgombea wa nafasi ya juu kabisa ya uongozi wa nchi ambaye anaogopa maswali ya moja kwa moja toka kwa wapiga kura wake - teh teh teh :smile-big:
 
"sitaki kura za watazamaji wa mdahalo wa Dr Slaa" KIKWETE



Source plzzzzz
 
mie mwenzeni nimesema tangu awali kua Kikwete atapata kura za wakwere wenzie na watu wasio na uelewa wa mambo wa kutosha, na familia zao na mafisadi .
 
Back
Top Bottom