Kikwete apokelewa na wanachama CUF badala ya CCM airport Tanga

Huyo ni Rais wa wote, wewe uliepiga picha pia ulikuwepo!

Na hawa walienda Ikulu kumuona Rais wa JMT walikuwa wa chama kipi?

c1.jpg

Viongozi wa CHADEMA wakiongozwa na Mh. Freeman Mbowe wa pili kutoka kushoto wakati walipowasili katika viwanja vya Ikulu kwa ajili ya kuonana na Rais DK. Jakaya Kikwete.
 
Nyie semeni tu,ila mnajua ni nini kitatokea kwa viongozi wa ccm mkoa? Maonyo kwa kwenda mbele kwani wamemtia aibu mkuu wa kaya,hawajajipanga kwa kumkaribisha rais

Wakati mwingine huna haja yakutafuta mchawi unaweza kuwa mwenyewe....Kwahili Viongozi wa CCM mkoa hawana kosa kosa lipo kwa Mwenyekiti mwenyewe.
 
siriaz Kikwete ni Rais Makini sana na anajua atendacho siku zote huwezi Kumshinikiza Rais atende ukitakacho ww be sure kuwa ni Kiongozi a Nchi amechaguliwa na Atanzania zaidi ya milioni 8,
 
Huyo ni Rais wa wote, wewe uliepiga picha pia ulikuwepo!

Na hawa walienda Ikulu kumuona Rais wa JMT walikuwa wa chama kipi?

c1.jpg

Viongozi wa CHADEMA wakiongozwa na Mh. Freeman Mbowe wa pili kutoka kushoto wakati walipowasili katika viwanja vya Ikulu kwa ajili ya kuonana na Rais DK. Jakaya Kikwete.

Mkuu mbona umechanganya habari hapa mi nafikiri umepotea mlango ebu uliza hapo nje hapa siyo LUmumba!
 
Mkuu wetu wa Itikadi Mh. Nape Nnauye, tafadhali kanusha hii habari.

Sema wametengeneza picha kwenye photoshop, ...sema waslete ujanja wa kama wa wale 'wasomi' wa DATASTAR wa kuandika mabango yanayofanana mwadiko na then kujiita wanafunzi wa UDSM
 
Nafikiri Tambwe Hiza anaafadhali kuliko huyu Jamaa......wamefikia hatua ya kutaka kunya Nyeupe kuwa Nyekundu
 
huyo ni rais wa wote, wewe uliepiga picha pia ulikuwepo!

Na hawa walienda ikulu kumuona rais wa jmt walikuwa wa chama kipi?

c1.jpg

viongozi wa chadema wakiongozwa na mh. Freeman mbowe wa pili kutoka kushoto wakati walipowasili katika viwanja vya ikulu kwa ajili ya kuonana na rais dk. Jakaya kikwete.

hawa hawana chama .........
cuf4.jpg
 
tafsiri yangu ni kwamba kuna kigogo wa cuf kaahadiwa uwaziri ili kuimarisha ndoa.
 
Hivi CUF wao hawataki kushika dola? Au kufunga ndoa na ccm ndo wamefika peponi! Kweli little minds only sets short visions
 
Chama dumeeee Cuf karibia anajifungua CDM mimba yao bado changa na bibi mwingine alijipendekeza kuja juu tunapiga mimba!
 
Chama dumeeee Cuf karibia anajifungua CDM mimba yao bado changa na bibi mwingine alijipendekeza kuja juu tunapiga mimba!

Wewe ni nani sasa?Kwahiyo pamoja na wema wa CUF bado unawatusi?Kweli shukurani ya punda ni mateke
 
Hawa wanafahamiana si hata shati lake linaonyesha rangi- maana alijua kitakachojiri
 
Back
Top Bottom