Vijisenti
JF-Expert Member
- Mar 11, 2011
- 544
- 328
Mkuu ana kadi ya chama yule, Lile tukio lilikuwa ni la aina yake kwani baraza la usalama la wilaya lilikutana ni mkuu wa taasisi ya kuzuia rushwa tu Bw. Mtera ndiye aliyekataa mpango wa kumtangaza mtu tofauti na katika kile kikao aliahidi kusema ukweli kama atahitajika kufanya hivyo.Alivunjwa mkono baada ya kukataa kusaini matokeo, habari isiyo rasmi ni kuwa walikuwa na lengo la kummaliza. Alilazwa hospitali ya wilaya Tandahimba baadae akaletwa Muhimbili kwa Matibabu zaidi!
Baada ya uchaguzi ndani ya wiki mbili akahamishwa wilaya kwani walimuona kuwa mwiba kwao!