Kikwete apingwa

kwani akijiuzulu kuna mtu atamcheka!? m nafikiri n wakati wake muafaka wa kuinua mkono juu kama alivyofanya KAMBARAGE enzi hizo ili wengine wamsaidie!.
 

Kiongozi shupavu hawezi kutumia mabavu kuongoza, nikiongozi dhaifu tu ndio atatumia mabavu kuficha udhaifu wake - JeneraliUlimwengu.
 
Sina hakika kama rais ana ujasiri wa kuchukua hatua kali dhidi ya mafisadi, wauza madawa ya kulevya, wala rushwa ambao ni watawala au wana nguvu za fedha na Wahujumu uchumi wengine. Ni hakika ana ujasiri wa kuchukua hatua kali za kisheria dhidi ya Walalahoi watakaojihusisha na vitendo viovu nilivyovitaja hapo juu. Lakini pia bila kujali nafasi au pesa yeyote anayegusa maslahi ya chama au maslahi binafsi ya watawala ni lazima ashughulikiwe iwe ni kwa kufuata sheria au kutofuata. Hii ni hatari.
swerikali zinazoingia madarakani kwa michango ya wala rushwa ni vigumu sana kupambana na walarushwa
 
Mjaha sana tu humu JF. Jukwaa la utani, majungu, wivu na chuki. Hivi hakuna yeyote mwenye kuanzisha jukwaa lenye mweleko wa kisomi?

Thatha: Wazo lako ni zuri lakini mbona limeegemea lawama badala ya kuonyesha njia kwa kutoa wazo/mawazo lenye/yenye mwelekeo wa kisomi?
 
BAK: For this matter, then Kikwete appears to be a very amusing if not a most annoying guy! Mtu unaweza ukasema kuna mtu kamwekea hayo maneno mdomoni mwake kama kweli kathubutu kutamka hayo. Hata hivyo anatumia ili kauli yake ya ni UPEPO tu yatapita. KWELI???
 
Back
Top Bottom