Kikwete Apingwa Kortini Kugombea Urais 2010

Dandaj

Member
Apr 16, 2009
73
2
Katika gazeti la Majira la tarehe 04.08.2010, Bw. Paul Mhozya amepinga Mahakamani Kikwete kugombea Urais 2010 Kwa sababu ya matumizi mabaya ya madaraka na ufujaji wa fedha za umma katika safari za nje. Habari kamili katika gazeti hilo.
 
Tuliipata jana hii mkuu. Kwani kuna developments zozote mahakama kuu? Maan kuna hati ya kuomba isikilizwe kwa dharura!
 
Wale wataalamu wa sheria ebu shusheni nondo. Isije ikawe hawa wanatufanya mazoba. JE INAWEZEKANA JAMAA KUPINGWA KORTINI?
 
Back
Top Bottom