...Au kurusha shilingi. Na je shilingi ikisimama wima kwenye nyasi?
Da nimesoma habari hii, nimejikuta nacheka tu. Wabunge walipisha kichwa kichwa hawakujua kuwa ni kitanzi kwao du!
.............. mabadiliko haya pia yanawazuia wafanyabiashara wakubwa ambao ni wabunge kupenya kirahisi NEC kama wana nia hiyo, ambao ni pamoja Aboud Aziz na Ahmed Shabib, lakini Rostam Aziz, anaweza kurudi kuwania u-NEC kwa sababu alijiuzulu ubunge ambao ni kikwazo kwa mujibu wa mabadiliko ya sasa.
Naomba kuuliza , Hivi uchaguzi mkuu wa chama ni 2012 ?
Kama kwa Chama unamaanisha CCM, jibu ni ndiyo. Vinginevyo swali lako ni pana sana.
Typical putrid press of Tanzania. Kilaza mmoja wa Raia Mwema kapewa aandike political article wakati hajui chochote kuhusu siasa.NEC ndicho "chombo" ambacho baada ya uchaguzi wake kukamilika baadaye mwaka huu, kitakuwa na dhima ya kuchuja na kupitisha mgombea urais kwa tiketi ya chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015.
mzee si unaambiwa kanuni zinabadilisha usiishi kwa kukariri mambo,wao ndio ccm na wao ndio walioweka hizo kanuni na katiba na wao ndio wameamua kuzibadili,msipenge kupinga kila kitu kwa kuwa tu hakijawafurahisha ama hamkipendiTypical putrid press of Tanzania. Kilaza mmoja wa Raia Mwema kapewa aandike political article wakati hajui chochote kuhusu siasa.
Kazi ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ni "Kupendekeza kwa Mkutano Mkuu wa CCM wa Taifa majina yasiyozidi matatu ya Wanachama wanaogombea nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kuyawasilisha mbele ya Mkutano Mkuu wa CCM wa Taifa."
Mkutano Mkuu wa CCM wa Taifa umekutana lini kubadili katiba ya chama kuruhusu Halmashauri Kuu kupitisha jina la mgombea urais wa CCM?mzee si unaambiwa kanuni zinabadilisha usiishi kwa kukariri mambo,wao ndio ccm na wao ndio walioweka hizo kanuni na katiba na wao ndio wameamua kuzibadili,msipenge kupinga kila kitu kwa kuwa tu hakijawafurahisha ama hamkipendi
Mkutano Mkuu wa CCM wa Taifa umekutana lini kubadili katiba ya chama kuruhusu Halmashauri Kuu kupitisha jina la mgombea urais wa CCM?
Kilaza mwingine wa press umekuja kumtetea mwenzako halafu unaendelea kuchemka kama kawaida, hivi mnafika fikaje kwenye media, mnaokotwa wapi nyinyi?
You mean vikao vya chini, hakuna kikao cha juu kuliko Mkutano Mkuu, first of all!... mkutano mkuu huwa rubber stamp tu ya kuizinisha yalikyoamuliwa na vikao vya juu!