Kikwete angekuwa na Ajenda ya Uislamu, ningemuelewa na kukubaliana naye, lakini...

Ndugu yangu Kishoka achana masuala ya Dini,Nchi hii haiongozwi kidini,hakuna Dini yoyote ile inayopendelewa ndani ya nchii inayoongozwa kwa utawala wa sheria.
Kwahiyo kakangu usiupotoshe umma wa watanzania kwa kuleta ubaguzi wa kidini.wewe unaonekana si mzalendo wa nchi ambaye unachochea mgawanyiko kwa watanzania kwa misingi ya kidini,wewe ni mtu hatari sana na wakuogopwa na watanzania wote.
Kikwete ni kiongozi ambaye yupo madarakani kwa maslahi ya Watanzania wote,walio na wasio na dini na hayupo hapo kwa maslahi au upendeleo kwa dini fulani.
 
Huyu mtumishi wa Mungu nakubaliana nae kabisa kama kweli sie Watanzania tutakuwa kama huyu Mchungaji basi nchi yetu itakuwa mbele sana tu.Kwa maana hiyo basi tarehe 31 tukamchague yule ambae ameonyesha nia njema kutukomboa bila ya kujali dini wala chama.Mimi nasema watanzania ue uko nje ya nchi au ndani himiza familia yako jamaa zako majirani wakamchague yule mambae ameonekana una uchungu na nchi hii,Tukumbuke Elimu,maji,afya,makazi bora hivi ni vitu muhimu sana kwetu sisi Watanzania.Mwaka huu tujaribu kumchagua mtu na sio chama chake,maslahi ya nchi mbele chama baadae.Tusikubali wagombea ambao wanakumbatia Mafisadi na kuwanadi ka walipa kodi ati huyu ni mchapa kazi bora Hatudanganyiki.Kuna jamaa kauliza kama nani anayefaa kuwa Rais kwa upande wangu mie nasema Dr Slaaaa anaweza tumpe mimi mwenyewe ni Mpenzi wa CCM lkn sipo kichama mwaka huu niko kwa maslahi yetu na Taifa letu na mie mwenyewe na wewe ndugu pia,Inakuwaje tuachiwe madini ya Tanzanite baada ya shiriki kumaliza muda wake can u imagine inaingia akilini yaani washavuna na sie ndo tukakombeleze duuh.Kama tutawarudisha hawa jamaa tena itakuwa tumejipa laana wenyewe ya milele.*
 
Back
Top Bottom