Kikwete and Bob Geldof

Rev. Kishoka

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
4,526
1,529
Naomba mwenye kukumbuka ile thread tuliyozungumzia mkutano wa Geldof na Kikwete na ile video clip ya Geldof akimsuta Kikwete aiweke hapa kisha Mods futeni thread ikimalizika.
 
Mkuu icheki hiyo video hadi dakika ya 42 kuendelea ndo utamsikia vizuri sir bob geldof akimtolea uvivu JK.. BTW majibu ya mgombea huyu wakati huo akiwa rais ilikuwa very weak, he was stammering and repeating himself... Lkn tulishasema since 2005 he was the weakest link and now he has to leave Good Bye!
 
Mchungaji umenikumbusha mbali sana, kwa mtu anayejitolea muda wake, fedha zake na nguvu zake nyingi kusaidia nchi zinazoendelea Sir Bob huwa hana muda na maneno matupu na huwa anatema cheche hapo hapo. Haogopi mtu yule. He can smell bullshit from a mile off
 
Huko ni mbali sana. Hatuhitaji maelekezo ya wa kuja yeyote kwani JK mcheza disko maarufu tunamjua vyema na D-Day tunamrudisha kwao Bagamoyo. Huko ndiko kunamstahili hakuna mahali pengine.
 
Rev.Kishoka,

..kwa kweli mdahalo ule ulikuwa ni aibu kwa taifa letu.

..hali ilikuwa mbaya kweli kweli pale waziri wa fedha wa SA na yule mama Mnigeria walipoanza kuzipangua na kuziponda hoja za JK.

..JK naye alishindwa kabisa kutetea hoja zake, akajaribu tabasamu, na jokes kama kumzawadia moderator tanzanite, and nothing worked.
 
Hii nchi bwana! Ndio maana imekuwa nchi ya kilimo kwanza....wanajeshi, wahandisi, wakulima, viongozi etc wote tumekuwa wananchi wa kilimo kwanza
 
Wakuu naona sikuipata hii. JK hafai kabisa kuwa president. Bob anachana mambo kwa uwazi haswaaaaa!!!
 
You know what, if I was opposition, this video clip and one of Kikwete stating he did not know why Tanzania is poor, I could have used it daily in Tanzania media to show Watanzania how disconected Kikwete is from Tanzania!
 
Go to 37th minute and the moderator ask a direct question and the guy, JK sniggers and diverts away!
 
Back
Top Bottom