KIKWETE ANAWALIPA WFADHILI WAKE RA na EL KWA INSTALMENT?

makongorosi

Member
Apr 24, 2009
49
3
Ndugu wana jamvi kwa mtazamo wangu kikwete anawalipa deni lao waliomuweka madaraani yaani EL na rafiki yake RA. Kwa wafadhili hawa EL na RA wanataka malipo yao sasa Kikwete anawalipa kwa Instalments, instalment ya kwanza ndiyo hiyo DOWANS na instalment ya pili inakuja ile kampuni ya railway (RITES). Maana Rites kwana wako kimya wanapima maji kuona vipi ikipita dowans tusubirie instalments nyingine nyingi tu zinakuja.
 
Kaka mitazamo yako mizuri sana, keep it up!!!

Jitahidi sana uishi kwa evidence, what if mtazamo wangu nikafikiri wewe ni fulani?
 
Nadhani kuna ukweli ndani yake na ndiomana hata halizungumzii swala hili..otherwise aangesha ongea si mnajua anavyopenda sifa.
 
Back
Top Bottom