Kikwete anastahili sifa

Hastaili sifa yoyote. Hawezi fanya decisions hadi awe pressurized.
 
ningempa sifa kama walioiingiza nchi kwenye mikataba mibovu wangachukuliwa hatua....

Ningempa sifa kama waliotajwa kwenye ripoti wangechunguzwa na kuchukuliwa hatua....

Ningempa sifa mfumko wa bei ungethibitiwa na mchele kushuka toks sh 3000 hadi 1250

ningempa sifa kama bei ya petroli ingeshuka toka 2231 iliyopo sasa.....

Ningempa sifa kama wawekezaji kama yule wa monduli wangechukuliwa hatua....

Ningempa sifa kama madinu yetu yangetunufaisha wenyewe.....

Ningempa sifa kama waliouza Uda wangechukuliwa hatua......

Ungeyajuwa yote hayo? ulikuwa unayapata bungeni live kabla ya ujio wa Kikwete?
 
Amechelewa sana kutoa mahamuzi baada ya kuona ripoti. Hapa sifa zinamwendea Zitto na wale 74 wengine waliotia sahihi. Isingekuwa hawa hata hii iliyofikiwa leo isingekuwepo. Kwani kuna tofauti gani kati ya hawa na Jairo au Waziri wa Afya ambaye alipigiwa sana kelele na madoctor
 
Kama hawa jamaa watachukuliwa hatua na kunyang'anywa mali walizoiba basi ntampa sifa
 
kweli anastahili sifa kwa kuchagua mawaziri wabovu,wezi wajeuri walafi.!

Sawa kabisa Idawa. Maana haiwezekani kukubali kufanya kazi na "incompetent people" if you are not amongst them. Halafu so far, tumewafanya nini viongozi wanaoiba mali ya umma? Hivi Uda nani alijibinafsishia na amechukuliwa hatua gani? Vinginevyo siamini kama kuna mtu msafi katika serikali yake.
 
Ni wenye chuki pekee ndio hawatamsifia JK,

Ukweli kuna uwazi wa hali ya juu katika kipindi chake kuliko kipindi chochote kile!
 
mtoto wewe vipii?
Mtoto hushkikii?
Ubongo huushughilishiii...!
Mtoto sio ridhkiiiii....!!

wewe naona unanitafutia ban.. unajaribu kuonyesha tabia yako hadharani bahati mbaya hapa sio sehem yake na mimi sio mteja wa biashara yako.katembeze mbele.!!!
 
Hastaili sifa yoyote. Hawezi fanya decisions hadi awe pressurized.

Hakurupuki. Alipobadili mfumo wa CAG na kuwa kama ulivyo sasa ulim pressurize wewe? ulikuwa hata huelewi anachokifanya.
 
Sifa ziwaendee wabunge wa CDM kwa kokomalia issues, huyo mwingine me simjui
 
Kama hawa jamaa watachukuliwa hatua na kunyang'anywa mali walizoiba basi ntampa sifa

Kikwete kisha onesha njia na sasa sheria zifate mkondo, mnataka achukuwe sheria mikononi mwake na yeye anajenga utawala wa sheria na haki? Kama mnataka awe dikteta mpelekeeni maombi tu.
 
Huo ni ufinyu wa kufikiri. Ni wewe ulianzisha mfumo huu ambao leo hii unaweza kuwajua wabadhirifu? funguka kidogo.

Mliibiwa awamu zote za kabla ya Kikwete bila kujijuwa, leo kawaonesha njia mbadala inabidi mumpe kila sifa. Mngeyajuwa haya?
Kwani nani alikuwa hajui kuwa tulikuwa tunaibiwa, ni kwamba kwenye hii awamu wizi umeongezeka kwa kasi zaidi, ari zaidi na nguvu zaidi, hakuna cha ajabu, hajaanza kuvunja baraza la mawaziti leo, shauku ya watanzania ni kuondokana na serikali badhitifu ya ccm!
 
Mtu anayeongoza kwa kutupa statistics tu bila solutions hana msaada kwetu. Tunafunga waiba kuku. Wezi wakubwa wakubwa they walk freely and being guarded majestically. Tunapongezana kwa sababu gani? Let us keep quiet and events will decide our fate. Huu uongo tunaoupigia debe hauwezi kusafisha makosa yetu.
 
Rais Kikwete ni mtu makini yeye ndio kaampa meno CAG hakuna rais yoyote aliyopita ambaye kawai kufanya hivi.

Rais ndio kamtuma CAG kufanya alichofanya na hiyo ripoti JK akaipitia yote baada ya kupewa JK alivyokuwa msikivu akaruhusu CAG haiweke wazi hiyo ripoti.

Kabla ya kufanya maamuzi ya kusuka upya baraza la mawaziri akaamua kuwashirikisha wananchi pamoja na bunge.

Tulikuwa tunaona wakati wa vipindi vya marais waliyopita CAG akitoa ripoti yake hakuna kinachofanyika zaidi ya kuziandikia wizara hati chafu..

Hongera sana Rais Kikwete unastahili pongezi na sifa.
 
ningempa sifa kama walioiingiza nchi kwenye mikataba mibovu wangachukuliwa hatua....

Ningempa sifa kama waliotajwa kwenye ripoti wangechunguzwa na kuchukuliwa hatua....

Ningempa sifa mfumko wa bei ungethibitiwa na mchele kushuka toks sh 3000 hadi 1250

ningempa sifa kama bei ya petroli ingeshuka toka 2231 iliyopo sasa.....

Ningempa sifa kama wawekezaji kama yule wa monduli wangechukuliwa hatua....

Ningempa sifa kama madinu yetu yangetunufaisha wenyewe.....

Ningempa sifa kama waliouza Uda wangechukuliwa hatua......

Umpe sifa kwan wewe nan? Sifa zako zina umuhim gan? Ukimsifia ataongezeka nn? Usipomsifia atapungukiwa nn? Wanaomsifia wanatosha sifa zako peleka kwa yule mshkaj wako!
 
Back
Top Bottom