Kikwete anastahili kuwekwa kwenye records za gennius book ya dunia

Jamani hizo kashfa mnazotoa kwa rais wetu ni ukosefu wa adabu.Yeye ni kiongozi wetu mkuu kwa mujibu wa sheria za nchi hivyo ni lazima tumheshimu hata kama ana mapungufu yake.

Yeye ni binadamu na si malaika.Amewazidi umri karibu member wote wa JF hivyo apewe heshima yake kama mkubwa wetu.Au mnataka kusema kuwa wazazi wenu wakifanya mambo ya ajabu huwa mnawadhalilisha kiasi hiki? Sio fair jamani,tuwe na staha kwa viongozi wetu kwani ndo wanaotoa picha halisi ya nchi yetu kwa nchi nyingine.

1. Hajakashfiwa anapewa ukweli

2. Sidhani kama yuko hapo kwa mujibu wa sheria (chakachua)

3. Mapungufu yake ni mengi kuliko kawaida.

4. Unajuaje kama katuzidi umri karibu member wote wa JF, basi na sisi tumemzidi busara.

5. Kama anatoa picha halisi ya nchi yetu kwa nchi zingine, basi wenzetu wanatushangaa huko.

6. Ukitaka kuheshimiwa jiheshimu.
 
Ni rais pekee alihutubia viongozi wenzake huku mwenyekiti (chairperson) akiwa ni mwanamke akamwita "madam chairman"
 
Jamani hizo kashfa mnazotoa kwa rais wetu ni ukosefu wa adabu.Yeye ni kiongozi wetu mkuu kwa mujibu wa sheria za nchi hivyo ni lazima tumheshimu hata kama ana mapungufu yake.

Yeye ni binadamu na si malaika.Amewazidi umri karibu member wote wa JF hivyo apewe heshima yake kama mkubwa wetu.Au mnataka kusema kuwa wazazi wenu wakifanya mambo ya ajabu huwa mnawadhalilisha kiasi hiki? Sio fair jamani,tuwe na staha kwa viongozi wetu kwani ndo wanaotoa picha halisi ya nchi yetu kwa nchi nyingine.

Nakuunga mkono,
WanaJF tuwe na adabu kwa rais wetu!, halafu na yeye aone haya kwa huu upuuzi anaofanya hapo ikulu.

Kwa kuanzia namwomba radhi pale nilipomkosea adabu, wakati huo huo nikisubiri arejeshe heshima ya serikali yake kabla sijajisahau na kumkosea adabu kwa mara nyingine. Au vipi?
 
Jamani hizo kashfa mnazotoa kwa rais wetu ni ukosefu wa adabu.Yeye ni kiongozi wetu mkuu kwa mujibu wa sheria za nchi hivyo ni lazima tumheshimu hata kama ana mapungufu yake.

Yeye ni binadamu na si malaika.Amewazidi umri karibu member wote wa JF hivyo apewe heshima yake kama mkubwa wetu.Au mnataka kusema kuwa wazazi wenu wakifanya mambo ya ajabu huwa mnawadhalilisha kiasi hiki? Sio fair jamani,tuwe na staha kwa viongozi wetu kwani ndo wanaotoa picha halisi ya nchi yetu kwa nchi nyingine.

KWELI KABISA.

Iwepo staha hata kama ni kumkosoa
 
Jamani napendekeza JK aandikwe kwenye kile kitabu cha watu walofanya/au kutenda mambo maalum kwa kuwa Kiongozi wa Kwanza Duniani kutojua chanzo cha umaskini wa nchi anayoingoza ilhali yeye ni mchumi, mwanasiasa na mwanajeshi. kisha akawatangazia raia wake atawapa maisha Bora!!

TUMPIGIENI KAMPENI AANGALAU APATE HIYO HESHIMA JAMANI!!

Kitabu kinaitwa Guiness World Book of Records.
 
Jamani napendekeza JK aandikwe kwenye kile kitabu cha watu walofanya/au kutenda mambo maalum kwa kuwa Kiongozi wa Kwanza Duniani kutojua chanzo cha umaskini wa nchi anayoingoza ilhali yeye ni mchumi, mwanasiasa na mwanajeshi. kisha akawatangazia raia wake atawapa maisha Bora!!

TUMPIGIENI KAMPENI AANGALAU APATE HIYO HESHIMA JAMANI!!

Nami naunga mkono hoja.
 
Jamani hizo kashfa mnazotoa kwa rais wetu ni ukosefu wa adabu.Yeye ni kiongozi wetu mkuu kwa mujibu wa sheria za nchi hivyo ni lazima tumheshimu hata kama ana mapungufu yake.

Yeye ni binadamu na si malaika.Amewazidi umri karibu member wote wa JF hivyo apewe heshima yake kama mkubwa wetu.Au mnataka kusema kuwa wazazi wenu wakifanya mambo ya ajabu huwa mnawadhalilisha kiasi hiki? Sio fair jamani,tuwe na staha kwa viongozi wetu kwani ndo wanaotoa picha halisi ya nchi yetu kwa nchi nyingine.
Kwa hiyo Myhem picha aliyoitoa ulimwenguni kwa kuongoza taifa letu bila kujua matatizo yake (chanzo cha umasikini ) ndo unaifagilia siyo? Umeipenda eeeh!!!
 
Jamani napendekeza JK aandikwe kwenye kile kitabu cha watu walofanya/au kutenda mambo maalum kwa kuwa Kiongozi wa Kwanza Duniani kutojua chanzo cha umaskini wa nchi anayoingoza ilhali yeye ni mchumi, mwanasiasa na mwanajeshi. kisha akawatangazia raia wake atawapa maisha Bora!!

TUMPIGIENI KAMPENI AANGALAU APATE HIYO HESHIMA JAMANI!!

House of Intellectuals indeed!
 
Hivi inawezekana akawa ndio Rais pekee aliyepiga picha na boyz 2 men kule unyamwezini
 
Jamani hizo kashfa mnazotoa kwa rais wetu ni ukosefu wa adabu.Yeye ni kiongozi wetu mkuu kwa mujibu wa sheria za nchi hivyo ni lazima tumheshimu hata kama ana mapungufu yake.

Yeye ni binadamu na si malaika.Amewazidi umri karibu member wote wa JF hivyo apewe heshima yake kama mkubwa wetu.Au mnataka kusema kuwa wazazi wenu wakifanya mambo ya ajabu huwa mnawadhalilisha kiasi hiki? Sio fair jamani,tuwe na staha kwa viongozi wetu kwani ndo wanaotoa picha halisi ya nchi yetu kwa nchi nyingine.

Umri hata kunguru anao....
 
Back
Top Bottom