Kikwete anasikitika kujiuzulu kwa Rostam au geresha tu?

Kwa mujibu wa taarifa za Magazeti, Mwenyekiti wa CCM amesikitishwa na Kitendo cha Rostam Aziz kujiuzulu! Hivi si yeye aliyesimamia vikao vya kuwataka wanaotuhumiwa wajivue gamba? Kama kweli anasikitika anataka wananchi tumueleweje?
Source please
 
Mkuu ni gazeti lipi hilo lililoandika hayo?.Kwa magazeti niliyoyaona mimi ni Mh. E.Lowassa ndo kasikitika uamuzi wa ROSTAM kuuachia Ubunge.
 
kwa mujibu wa taarifa za magazeti, mwenyekiti wa ccm amesikitishwa na kitendo cha rostam aziz kujiuzulu! Hivi si yeye aliyesimamia vikao vya kuwataka wanaotuhumiwa wajivue gamba? Kama kweli anasikitika anataka wananchi tumueleweje?
anasikitika kwa sababu anapashwa kufuata mfano wake alianzisha kauli ya kuvua gamba kama utani sasa inamrudi mwenyewe.kujivua gamba kwa rostam aziz hakuleta aueni kwa ccm na jk bali tatizo zaidi tumeelewa katika ccm kuna siasa uchwara.sitashangaa Lowassa akiibuka na ukweli ni pesa kiasi gani na kutoka wapi zilizomweka Jk madarakani .tunakaa mkao wa kula.
 
Makamba Yusuf alipotoswa aliwaambia kuwa yeye alikuwa anatangulia kwenda kuwatayalishia makao kwani wengi wangemfuata: sasa nadhani huyo Rostam amaeanza na wengine watamfuata!
 
Rostam sisi wana CCM na wananchi wa Igunga tutakukumbuka daima milele. Ahsante kwa kulito jimbo lako kwa CDM maana hakuna mwanaCCM anaweza kuchaguliwa Igunga tena. Hizo zitakuwa salama kwa wanasiasa uchwara ndani ya CCM.
 
Kwa mujibu wa taarifa za Magazeti, Mwenyekiti wa CCM amesikitishwa na Kitendo cha Rostam Aziz kujiuzulu! Hivi si yeye aliyesimamia vikao vya kuwataka wanaotuhumiwa wajivue gamba? Kama kweli anasikitika anataka wananchi tumueleweje?
Mkuu nimesoma posts zote hapa na siku 2-3 hizi nasoma magazeti yote yatokayo kila asubuhi hebu taja hata moja lenye taarifa hii.
 
Back
Top Bottom