Kikwete anapoimba Solidarite Foreva

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
05_11_0abktq.jpg

Binafsi siku ya mei day sikumwelewa rais alimaanisha kitu gani alipojumuika na wafanyakazi wenye njaa kuimba solidarity forever!!! pia sikuwaelewa wafanyakazi walipoimba solidarity forever na mtu aliyewaambia hata wadai mishahara kwa miaka minane hawatapata wanachotaka.

My Simulation:

Kikwete kimoyomoyo anaimba: Hatuongezi mishahara forevaaaaaa mzoee maumivu foreeee vaaaaaa....

Wafanyakazi kimoyomoyo wanaitikia: Tumekoma forevaaaaaaa tuhurumie foreeee vaaaaa....
 
Na yeye ni mtumishi wa umma anataka aongezewe mshahara na haki zake zilindwe!
 
ndo shida yetu waswahili,hatuna pesistence.ile mbinu ya kutomualika kwenye mei dei tucta wangeendelea nayo labda jamaa angeona tuko serious.tusipoangalia most of the times tunatumika kutimiza matakwa ya watu binafsi.
 
mzee wa msimamo amefariki,hivyo waliobaki nadhani ni wanachama wa mlengo wa kushoto,lakini kila jambo lina mwanzo na mwisho wake,ipo siku tu mjinga ataamka na hakuna wakumzuia pale atakapo amuwa kufanya maamuzi

kwa sasa watawala wameshinda lakini ipo siku watakuwa down
 
05_11_0abktq.jpg

Binafsi siku ya mei day sikumwelewa rais alimaanisha kitu gani alipojumuika na wafanyakazi wenye njaa kuimba solidarity forever!!! pia sikuwaelewa wafanyakazi walipoimba solidarity forever na mtu aliyewaambia hata wadai mishahara kwa miaka minane hawatapata wanachotaka.

My Simulation:

Kikwete kimoyomoyo anaimba: Hatuongezi mishahara forevaaaaaa mzoee maumivu foreeee vaaaaaa....

Wafanyakazi kimoyomoyo wanaitikia: Tumekoma forevaaaaaaa tuhurumie foreeee vaaaaa
....

ni kweli nilikuwepo mimi sikuimba,ila kimoyoni nilikuwa nasema tuhurumie twafa
 
ndo shida yetu waswahili,hatuna pesistence.ile mbinu ya kutomualika kwenye mei dei tucta wangeendelea nayo labda jamaa angeona tuko serious.tusipoangalia most of the times tunatumika kutimiza matakwa ya watu binafsi.
Walishaitwa Ikulu wakakaa naye masaa kadhaa kabla wakalegeza, maana alijua mwaka huu wakiendelea na msimamo ule ule kujivua gamba kutaingia dosari.
 
Mwaka huu JK amegoma kuvaa tshirt zao maana yake kuwa mimi si mmoja wenu...kila mwaka kila rais huwa wanavaa hizo tshirt zao hata kwenye matamasha,siku ukimwi etc huwa wanavaa kwa nini hii alikataa??
 
nasikitika kusema hakuna uzalendo nchi hii!mgaya alijisemelesha sasa naona kimyaa!njaa ya nyumba na viwanja hii!hata tahrir square ingekuwa hapa,tungeshindwa tu!watu wakipigwa mabomu 2 ya machozi,mkia unafyata katikati ya miguu!basi bwana,ngoja tuone
<p>
Walishaitwa Ikulu wakakaa naye masaa kadhaa kabla wakalegeza, maana alijua mwaka huu wakiendelea na msimamo ule ule kujivua gamba kutaingia dosari.
</p>
<p>&nbsp;</p>
 
ndo shida yetu waswahili,hatuna pesistence.ile mbinu ya kutomualika kwenye mei dei tucta wangeendelea nayo labda jamaa angeona tuko serious.tusipoangalia most of the times tunatumika kutimiza matakwa ya watu binafsi.
Viongozi walipoitwa ikulu wakashikishwa chao na kuwasahau wafanyakazi hii ndiyo foreva.
 
Back
Top Bottom