Kikwete anamshinda Membe kwa safari za nje ya nchi

Fareed inaelekea huna kazi ya kufanya ndio maana kila siku unakesha kuhesabu safari za Rais, wewe ulitaka asifanye kazi zake za uraisi ? Kwa kweli unaboa
 
Kumbuka ni sisi tulimchagua wenyewe; je majuto ni mjukuu? Hebu jiburudishe na hii hapa ya Mlimani.

 
Last edited by a moderator:
Vasco da gama wa Tanzania!!

Sijui yeye anataka kuvumbua nini huku na huko anakozurura?Hivi hakuna sheria ya Kimataifa (ICC ya Ocampo) ya kumkamata kiongozi anayetumia madaraka vibaya kama kuchezea rasilimali za nchi na uzururaji usio na Tija?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom