Kikwete anahusudu WAZUNGU

Mhafidhina

JF-Expert Member
Feb 6, 2008
549
22
Naona Raisi wetu yupo busy siku hizi kila kukicha kujihusisha na wazungu au wageni kutoka nje...!

Siku hizi kama hajasafiri basi yupo busy ikulu akikaribisha wageni au yupo na mabalozi wao...! Hii inafanya watu wajisikie kudharaulika au kuona tumesahaulika...!

Kikwete na Standard Charted CEO.JPG

Kikwete with Standard Charted CEO



Kikwete and Rusian.JPG

Kikwete with Russian Delegate
 
Back
Top Bottom