Kikwete anahusika moja kwa moja na madhila ya polisi dhidi ya CHADEMA

Wengi wa maaskari part time job yao ni ujambazi.Checki hili lilivyonona kwa pesa za wananchi halafu linawanyanyasa!Noma ikilipuka haya hayaachiwi!

Yatabaki kulia lia kuwa yalifuata order!
kim%2B5.jpg
 
Hilo lipo kama hamtaamini ya mtoa post subiri huku mkifuatilia mtaja kukubali,but this is the point of no return.
Tuungane kulikomboa taifa kutoka kwa haya mafisadi ya kila kitu.
 
Haki haizuiliki kwa police wala bunduki, mabomu ya machozi au maji ya kuwasha bali kwa majadiliano ya amani kama ulikua hulijui hilo JK litambue tangia sasa

Very true. Ndio maana Moi ameweza kuishi Kenya peacefully (bila kukimbilia nchi nyingine) mpaka leo chini ya uongozi wa Kibaki. Moi alikuwa na "torture chamber" kwa wale waliopingana naye. Hii ilifanikiwa kwa kipindi kifupi lakini idadi ya "waasi" ilipozidi he had no options. He agreed to have talks with oppositions. JK anawakati mgumu sana kwasababu wapinzani wake wako pia ndani ya chama; kuna wanaozungumza na kuna wale waliokaa kimya. So unless he knows nani ni nani then hii style anayotumia itamshinda tu.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
hivi hao askari wa Tanzania wanalipwa sh. ngapi kulingana na vyeo vyao? wenye data tumwagieni ili tulinganishe na thamani ya mauaji wanayoyafanya kwa raia wenzao.
 
nawatizama askari hawa na hutu tumishaharab twa 250,000 sijui moyo wakupiga virubgu watetezi wao wanautoa wapi

Nguvumali umenifurahisha sana. Inabidi wakati mwingine tuwaulize maswali polisi wenyewe ingawa watakwambia wanalazimika kwa sababu ya kazi
 
The Mkweree alishawahi kusema Chadema ni chama cha mpito sasa nashangaa anakiogopa chama cha mpito....Tanzania tuna mambo ya kupigia kura ili tuwe na maajabu ya dunia 1.Mlima Kilimanjaro 2.JK
 
nawatizama askari hawa na hutu tumishaharab twa 250,000 sijui moyo wakupiga virubgu watetezi wao wanautoa wapi

Njaa ni noma kwenye butua butua jamaa visimu na viwaleti huwa hawakosi na ndo maana wakisikia kuna ambush sehemu jamaa faster wamefika na wanatamani mbilingembilinge ianze wajiokotee viwalet na visim.
 
Back
Top Bottom