Kikwete anahusika moja kwa moja na madhila ya polisi dhidi ya CHADEMA

Nani Kasema

Senior Member
May 31, 2011
148
27
Naomba nilete angle tofauti ambayo sijaona imeongelea hapa kuhusu ukatili wa polisi dhidi ya wanachadema Tanzania.

Habari ninazosikia ni kwamba, mheshimiwa raisi wa Tanzania Dr Dr Dr Dr Kikwete, ameamua kusimamisha kasi ya mageuzi inayoendelea nchini kwa kutumia vyombo vya usalama.

Kama mjuavyo, mkulu wa nchi mpaka Leo huwa haamini yaliyotokea kwenye uchaguzi wa mwaka jana. Baba Riz1 bado hajakubali ukweli kuwa chadema na kelele zao za chura walilazimisha wakuu wa usalama kulazimika kuingilia Kati ili 'kulinda' Amani ya nchi.

Kinachoumiza zaidi ni ile 'situation' iliyolazimisha matokeo kuchukua karibu wiki nzima ili kukamilisha mchakato wa kuyatoa kwa wananchi. Hapa sitaki kuongelea kitendo cha kuzuia ITV na vyombo vingine vya habari visitangaze matokeo ya uraisi ya vituoni Kama ilivyokuwa imepangwa awali.

Sasa basi, tegemea yafuatayo toka kwa mkuu wa nchi kupitia kwa jeshi la polisi kuanzia Leo hii:

1. Hakuna mikutano yoyote ya hadhara ya chadema itakayoruhusiwa - kisingizio ni al shabab
2. Hakuna maandamano
3. Viongozi Kuwekwa ndani bila sababu za kueleweka
4. Wakereketwa wa chadema kubambikizwa kesi za ajabu ajabu.
5. Vyombo vya habari ikiwemo JF kutumika kuipaka matope chadema

Swali utakalojiuliza ni kuwa, Kwikete anategemea vipi Kujificha asijulikane kuwa amehusika?

Jibu, subiri uone hatima ya hii topic yangu.
 
Naomba nilete angle tofauti ambayo sijaona imeongelea hapa kuhusu ukatili wa polisi dhidi ya wanachadema Tanzania.

Habari ninazosikia ni kwamba, .....

Jibu, subiri uone hatima ya hii topic yangu.

Umesikia wapi na kwa nani?

Maana hata mimi nikitoka mlango wa ofisini kwangu nikishaingia barabarani nasikia mengi kweli
 
Unamweleza mtu kwamba JK ameamua kuinyanyasa demokrasia nchini unaulizwa Nani kasema wewe unajibu Nani Kasema.
 
kwa kitendo chake cha kukaa kimya kinadhiirisha wazi kuwa anaunga mkono kile kinachotokea
 
kim%2B5.jpg
 
kuna ukweli!! yeye kama mkuu wa nchi asingeweza kukaa kimya asiongelee lolote kuhusu yanayotokea. Huyo atakuwa ameshauona mwisho wa CCM.
 
moja kwa moja JK anahusika na kuukandamiza upinzani. Mwaka jana alitumia Billioni 8 kununua vifaa vya kijeshi ili kukabiliana na upinzani. Lipo wazi JK ni dikteta
 
Yeye sasa hivi anaiba mipesa yetu tu!! anaifanya hata serikali inakosa fedha za kulipa mishahara wafanyakazi wake. Aibu!
 
Kinachoniuma hakuna kiongozi hata mmoja anaemkatalia kwa kila hatua mbovu anayochukua juu ya hali mbaya ya nchi
 
Haki haizuiliki kwa police wala bunduki, mabomu ya machozi au maji ya kuwasha bali kwa majadiliano ya amani kama ulikua hulijui hilo JK litambue tangia sasa
 
Ni dhahiri kwamba J.K. anafumbia macho ukatili wa Polisi dhidi ya vijana jasiri na wazalendo wakiongozwa na Freeman Mbowe, Willibrod Slaa, Tundu Lissu na Godbless Lema.

Kwa vile Mhe. Mbowe sasa anaweza kwenda Bungeni Dodoma, mwanaJF yeyote aliye karibu naye, amhimize aende Dodoma, na apate mapema iwezekanavyo, fursa ya kutoa tamko Bungeni, litakalolazimisha Serikali kuchambua matendo onevu ya Polisi dhidi ya CHADEMA na wanachama wake.

Although I do not have a copy of the Political Parties Act of 1992, I recall there was a provision which stated that a fully registered political party shall be free to organize public meetings and that the only condition is that such political party has to give 48 hours notice to the Police so that they can arrange to provide ulinzi at such meetings.

Please note that the Police are not required to give "permission" to political parties. They are given 48 hours notice in order to provide security at the place the political party decides to hold a meeting.
 
Ni lazima afanye hivyo maana ana hofu kubwa ya CHADEMA kuchukua nchi, na akishindwa kuidhibiti tayari ameshanunua nyumba Washington DC atakimbilia huko kukwepa mkono wa sheria.
 
Hizi sio habari za kusikia kwa watu bwana. hili ndio linalofanyika Pale Magogoni.
Katika kitu ambacho naomba nikiri kwamba Jakaya anafanikiwa na analifanya
kwa ufasini toka arude Magogoni kupitia kwapani ni hili la Kuwanyanyasa
CHADEMA.
 
Kuna harufu ya ukweli!

Ninaamini hivyo pia. Ikizingatiwa

A)JK ni mwanajeshi na staili yake yakuongoza ni (mabavu) i.e. kutoa order na kumtisha mtu asiyekubaliana naye. Hamna kiongozi wa nchi atakayeona haya yanayotokea akakaa kimya; i) JK ana option yakukemea bila kuonyesha anaegemea upande fulani/ficha uovu (regardless ya anachokiamini moyoni); au ii) ku-pretend nothing is happening i.e. all that crowd in AR and other cities ni vichaa or iii)speak his mind regardless of what people think. So far hajafanya chochote at (least openly wananchi wakamsikia).

B) Narejea maneno yake aliyotamka "siku ya maadhimisho ya Sheria" kama sikosei ilikua mwaka jana kwenye mkutano wa ndani na viongozi wa mahakama, polisi, jeshi etc. Nanukuu; (nawaambieni mtu atakayepingana na mimi atapata shida/matatizo sana). He said it with a smile, but ujumbe uliwafikia wahusika wakuu. Nilivyomuelewa mimi alimaanisha (akikupa order regardless ya sheria inavyosema, ni lazima ufuate or else......).

Wazo langu: Nafikiri kinachofanyika sasa hivi ni kuweka plasta kwenye vidonda bila kuosha. With time kidonda kitaanza kunuka...
 
Back
Top Bottom