Kikwete ana uwezo lakini hautumii, why?

Ni dhambi gani kubwa inayomsumbua ambayo inamfanya mpaka asienda ku hij?

Aisee mbona taito na maelezo haviendani?!, au musiba wa mnajimu umekuchanganya?, kwa taalifa yako JK ni alhaj, alienda hija alipokuwa waziri wa mambo ya nje. Baada ya CRAP yako toa maelezo ili watu wachangie.
 
una uhakika na unachokisema? wewe ndio unaleta crap hapa jamvini.
 
Ni dhambi gani kubwa inayomsumbua ambayo inamfanya mpaka asienda ku hij?

ana mihirizi mpaka mdomoni aende kuhiji si itamlipukia huko makka...bora akae hapa hapa tu ..labda akahiji msikiti wa mtambani au tambaza
 
ana mihirizi mpaka mdomoni aende kuhiji si itamlipukia huko makka...bora akae hapa hapa tu ..labda akahiji msikiti wa mtambani au tambaza

Hii yawezekana ni kweli, angalia alivyodondoka mara mbili pale Jangwani ambako ni sehemu itumiwayo na mikutano ya Injili.
 
KamKwere kasharobaro kanaweza kucheza kiduku, kubembea na kuhudhuria mazishi.
 
Hija ni hiari ya mtu kuna wangapi wenye uwezo ambao hawajaenda Hija? Pili "Title" imelenga swala la uwezo mambo ya Hija yametoka wapi tena? Tujadili uwezo wake wa kuongoza ndiyo italeta maana.
 
<p>
Hija ni hiari ya mtu kuna wangapi wenye uwezo ambao hawajaenda Hija? Pili &quot;<i>Title&quot; </i> imelenga swala la uwezo mambo ya Hija yametoka wapi tena? Tujadili uwezo wake wa kuongoza ndiyo italeta maana.
</p>
<p>&nbsp;</p>
 
Hana lolote kikwete yeye matamasha mazishi na mikutano uongozi sio wake aende zake bagamoyo lugoba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom