Kikwete ana Hoteli ya kifahari Zanzibar

Buchanan

JF-Expert Member
May 19, 2009
13,199
1,969
Nasikia kuwa Rais wetu mpendwa Jakaya Kikwete anamiliki hoteli ya kifahari mjini Zanzibar. Alinidokeza bwana mmoja ambaye alikuwa huko majuzi. Mwenye data kamili atueleze.
 
kuliko kuiba na kuweka Ulaya sii mbaya kujenga Hoteli Tz wananchi wakapata kazi!

hata majumba ya ajabu2 ya Mkapa kule Lushoto na Mwinyi Zenj..wangelijenga mahoteli kuimarisha sector ya utalii wangeonekana watu wa maana!!

Wizi ni kitu mbaya..au kama ni mkopo ni poa..ila basi bora uwekeze ktk productive activities tena Tz!
 
......kwi kwi kwi......kuna watu wako kazini ku-connect dots.......kwa hiyo Mkuu wangu Mzalendohalisi usishangae aisee..........
 
Ndio maana JK mwenyewe awezi kukemea wenzake because he is also part and parcel of Ufisadi. Kwani ni hiyo tuu laa hasha. Mbona anajenga hotel kubwa tuu huko Serengeti yeye na Lowasa ? Atawezaje kukemea Rostam na wengineo kama mwenyewe ni fisadi??? He is also in the process of graping his before his turn ends. Yani inabidii waTanzania sasa wawe ujasili na kusimama kidete kwa hao viongozi.

Mbona Mkapa na ufisadi wake yote JK amekaa kimia? Yeye anatali tuu ajali hata wananchi wake kabisa. Sijui sera zake anasemaje kwetu sisi kwa sababu atuoneni maisha bora kabisa. Atoeleze baana.
 
Unajua mshikaji hawa wakubwa wana kwa na hotel na vitu lakini wanaweka watu wengine ili wasijulikane. Na wewe fungua macho.
 
Nina wasiwasi hata huko Marekani anakoenda mara kwa mara huenda anafanya 'ujasiriamali'.
 
Huyu bwana anatoka familia masikini sana kwahiyo ana uchu sana wa mali na tamaa nyingi; ndio maana anamuiga sana Mswati hata kununua hayo maBMW!
 
kwa upande wangu mimi sioni ubaya wowote kwa rais kuwekeza katika mahoteli,kikubwa hapa hizo pesa alizozitumia kuwekeza ziwe za halali tu zisiwe na harufu ya ufisadi
 
Sasa jamani hizo PER DIEM zake ataziweka wapi wakati analipiwa kila kitu mpaka house boy''''' JK KAnyaga Twende hotel ikiisha nikaribishe kwenye ufunguzi.....
 
Yanasemwa mengi kuhusu miradi ya Rais wetu likiwemo la hoteli kwenye mbuga ya wanyama Serengeti ambayo imemsaidia mbunge wa jimbo hilo kuwa naibu waziri. Hata Mzee Mwinyi alipokuwa madarakani tuliambiwa Best Bite, SeaCliff, WhiteSands zote zake!
 
ni ile ya pemba nini? maana kuna hoteli pemba inaitwa fundu lagoon......ukienda mswahili huingii........na ukionewa huruma ukaingia unakalishwa mbali usionekane na wazungu......huko nasikia ndo akina Bill Gates huwa wanakuja kujivinjari
 
Nijuavyo mimi Karume anajenga hotel ukanda wa kizimkazi na muyuni.Contractor ni mchina.
 
Back
Top Bottom