Kikwete amwambia Magufuli aache Ubabe kwenye bomoa bomoa; Magufuli ataaminika tena?

kuna watu furaha yao ni kuona magufuli anajiuzulu ndio maana kampeni zimeletwa mpaka JF.
kuna raia ni mafundi sana wa kupindisha kauli za watu ili wafanikishe ajenda zao na nina hakika roho zawauma sana kuona magufuli bado yupo kazini.
 
Mheshimiwa Rais, niliapa kulinda sheria na Katiba ya nchi, hivyo ninaomba nipewe ruhusa kutekeleza sheria ya kubomoa nyumba zilizojengwa ndani ya hifadhi ya barabara,'' alisema Dk Magufuli.Waziri Magufuli amekuwa akisisitiza kwamba waliojenga ndani ya barabara wamevunja Sheria namba 13 ya mwaka 2007 na kwamba hawastahili kulipwa fidia.
Hata hivyo, Rais Kikwete akijibu maombi hayo alisema: ''Hili naliongea kwa umakini kwani nataka nieleweke vizuri. Bomoabomoa ipo. Usilegee katika kutekeleza sheria, lakini uangalie ubinadamu katika bomoa hiyo pamoja na historia ya eneo husika. Pia muwalipe wote wanaostahiki kulipwa fidia na msiwalipe wale wasiostahiki na msiangalie unafuu wa Serikali pekee.''

Lkn watanzania jamani mnapenda uzushi, jamani kama ulikuwa unasikiliza vizuri maoni ya JK na kumwelewa wala hajampiga Magufuli, yeye ameconclude kwamba lazima road reserve ziachwe na amempa ruhusu kuendelea na kutimiza sheria ila zisiwaumize sana wananchi, hapo alikuwa anaweka moderation fulani lkn kama unaelewa mambo ya kiutu uzima hiyo ilikuwa inamponda zaidi WAZIRI MKUU ambae alisema kusubiri bunge au baraza.

Aliepigwa nyundo hapo ni WM, kwani kusimamisha kwake hakujafanikiwa bali Magufuli ameambiwa aendelee. Usipotoshe habari bwana mdogo, uwe unaelewa between the lines.

Nakuunga asilimia 100%

Naona tatizo ni la kielimu zaidi. comprehension skills very poor!
 
For the time being naona Kikwete hana kazi ya kufanya in short anabuni ni kitu gani afanye baada ya safari za nje kutokuwepo kwa muda huu alinifurahisha alipotembelea Wizara ya Elimu na kuanza kuzungumzia habari za wanafunzi kutumia mkongo badala ya kuwahoji watendaji wa wizara husika kwanini matokeo ya kidato cha nne hayaridhishi, kwanini walimu hawalipwi wakati muafaka, uhaba wa walimu nk, leo anatembelea Wizara ya Ujenzi badala ya kuhoji vitu vya msingi ananza ku-deal na Magufuli
 
Nimeshaona hii picha ilivyotengenezwa; Magufuli akijiuzulu tu anaweza kushtakiwa kwa kutumia madaraka vibaya na kuisababishia serikali hasara! Na kesi itakuwa prolonged hadi 2015 na kumuondoa kwenye kinyang'anyiro cha urais kabisa.

Mkuu tunaliona hilo na jaza wizarani wengi wamesema the same thing. Wizarani wengi sana wako upande wa magufuli kinyume na wengine wanavyodhani

Ikumbukwe kuwa ubomoaji wa sasa na mipango ya sasa ilipitishwa mwaka 2009! waziri wa kipindi hicho hakuwa na nguvu za kulitekeleza hili
KIBAYA ZAIDI NI KUWA KUNA UHUNI WA MAKUSUDI WA BAADHI YA WAFANAYAKAZI AMBAO WAKIJUA NYUMBA ZA MAHALI FULANI ZITABOMOLEWA BASI WANAENDA KUJENGA VIBANDA VYAO ILI MRADI WALIPWE FIDIA HILI POMBE ANALIFAHAMU na tatizo linaanzia hapo.

Kibaya zaidi ni pale pombe aliposema Tanesco ubungo linaenda chini! watu walilia kwa pinda akina Jery Slaa wamelia kwa pinda TAMISEMI ni kama imeingilia kati!

Kwa akili ya magufuli ilikuwa akiliangusha ubungo wengine woote wataondoka wenyewe! SIO uamuzi wa magufuli kuangusha ubungo tangu 2009 iliamriwa hivyo

kwanza tuone itakuwaje. hili linahairishwa tu

Wadau,
Nimemsikiliza rais Kikwete kwenye ITV jioni hii. Alilosema nakubaliana naye. Amelaumu uzembe wa kuacha mtu achimbe msingi, ajenge, na hakuna hatua zinazochukuliwa, na hatimaye baada ya nyumba kumalizika ndipo bomoabomoa inafuata. Ametaka kuwepo taratibu zitakazosaidia kuhakikisha kuwa bomoa bomoa inakuwa last resort (uelewa wangu.) Lakini hakusema kuwa bomoa bomoa isitishwe.

Rais amezungumza kama wewe au mimi! hajasema kama rais

Nimesikiliza habari yote na hakuna 'ubabe' wowote, he was just adviced not to issue 48hrs notice but in principal the exercise has his blessing,

He was also questioning modality, I sincerely hope a day will come when we separate facts and obsessions..

Yes I have heard the same!

Ngoja nia ngalie hili sakata baina ya Magufuli na Kikwete kwa mbali kidogo.

Wananchi wamevamia na kujenga kwenye eneo maalum lilitengwa na serikali kwa shughuli Maalum:

Magufuli kwa wananchi hao waliovunja sheria: Bomoeni kabla serikali haijawachukulia hatua.

Kikwete kwa wananchi hao hao waliovunja sheria: Ingawa mmevunja sheria, ninawapa miaka miwili kubomoa wenyewe halafu serikali itawalipa fidia.

Kwa sera hiyo, hata mimi nitakwenda kujenga kibanda changu pale kwenye geti la Ikulu, kwa sababu nitapewa miaka miwili ya kuwa jirani na maskani ya rais hivyo nisiwe na wasiwasi kuhusu vibaka kwa vile ulinzi wa rais utakuwa unanilinda na mimi pia. Vile vile nitamkaribisha jirani yangu huyo Rais kwenye bethidei ya mtoto wangu wa mwisho. Baada ya miaka miwili nitabomoa kibanda hicho na kupewa fidia nono.

kama kiongozi mkuu wa nchi anaona aibu kuchukua hatua kali kwa wavunja sheria wa kawaida tu, je kweli atawachukulia hatua yoyote mafisadi ambao ni marafiki zake wa karibu?

Surely, acha kila mtu avunje sheria then, hajaanza leo kaanza kwenye EPA, watu wanafurahia hili!

Lkn watanzania jamani mnapenda uzushi, jamani kama ulikuwa unasikiliza vizuri maoni ya JK na kumwelewa wala hajampiga Magufuli, yeye ameconclude kwamba lazima road reserve ziachwe na amempa ruhusu kuendelea na kutimiza sheria ila zisiwaumize sana wananchi, hapo alikuwa anaweka moderation fulani lkn kama unaelewa mambo ya kiutu uzima hiyo ilikuwa inamponda zaidi WAZIRI MKUU ambae alisema kusubiri bunge au baraza.

Aliepigwa nyundo hapo ni WM, kwani kusimamisha kwake hakujafanikiwa bali Magufuli ameambiwa aendelee. Usipotoshe habari bwana mdogo, uwe unaelewa between the lines.

Uzushi is our problem, our media are selling news paper! ndivyo tulivyo! BOMOA BOMOA ipo pale pale

Kimsingi rais hakumzuia Magufuli kuendelea na bomoa bomoa. Amesema kuwa bomoabomoa ipo palepale ila ameagiza kuwa lazima bomoa bomoa hiyo izingatie haki za wenye nyumba ambao ama walipewa viwanja na maofisa wa serikali au wakati wanajenga serikali ilikuwepo ikawaona lakini haikuchukua hatuza yoyote kuzuia ujenzi huo. Ametolea mfano wa nyumba ambazo zimekuwepo tangu enzi za mkoloni halafu leo hii ghafla zinasemekana zinakiuka sheria. Pia amesisitiza umuhimu wa kuzingatia historia ya eneo husika kabla ya kubomoa na kuangalia kama barabara ilikuja kabla au baada makazi husika kuwepo ili wahusika wapate fidia stahiki kabla ya kubomolewa. Mwisho ameagiza kuwa lazima wananchi wapewe notisi yenye muda wa kutosha kabla ya kubomoa. Kwa sasa walikuwa wakipewa saa 48 pekee.

You got him!

Nakuunga asilimia 100%

Naona tatizo ni la kielimu zaidi. comprehension skills very poor!

Indeed!
 
jk katumia ligha ya kikubwa na ya ki utu uzima.......cha maana ni kwamba magufuli amechinjiwa baharini.....kwisha
 
Watu wengine utadhani walizaliwa na CCM, na watakufa nayo!!!!!!!!!! Kama Pombe angekuwa yuko serious hii ni sababu tosha kujua kwamba CCM haimtaki-aondoke!!!!!!!!!!!. Tusishangae mkwere leo hii jioni akatangaza kuiidhinisha resignation ya pombe makufuli!!!!!!!!!!!! WanaJF tumkaribishe CDM kwenye chama cha watu waliomaanisha kumwondoa mkwere kwa nguvu ya umma, kama ile iliyomshghulikia na kumwondoa mubaraka wa misri!!!!!!!!!!!

Magufuli hafai hata kupewa ujumbe wa nyumba kumi, CDM aje kufanya nini?
 
Hii yote ni kutokana na ukosefu wa Communication strategy ndani ya serikali. Hakuna sauti moja. Haya ya kumrebuke Magufuli yalitakiwa yafanyike ndani ya serikali na kamwe si hadharani. Hakuna kujisafisha kwa JK wala nini wote wanajichafua na kujipaka matope tu.
 
Mwanakijiji,

Hakumuambia aendelee na shughuli zake katika hili. Kamwambia waziwazi kuwa aache ubabe na bomoa bomoa pasipo kulipa fidia haiwezekani, hatya kama waliojenga walikuwa na makosa. Let's all wait and see it in the news this evening or in tomorrow's papers may be ndio wengine watalielewa vema hili.

Magufuli looked terribly embarrassed during the meeting as he was 'head down' for most of the time during that meeting. Im sure he didn't expect it from the president himself. Pressumably he thought he would be consoled from what happened in Pinda's visit in Kagera region.

Hii umeiandika kishabiki. Mbona hujasema kuwa raisi amesema Bomoa bomoa IPO lakini iende na huruma??? Magufuli alikuwa embarrased? Hukuona hata JK mwenyewe alivyokuwa ill at ease? Hukusikia na kuona Dongo alilompiga muheshimiwa Mkwere kuwa pamoja na Amri Kumi za Mungu kuwa Usiibe, Usiue, Usizini, Bado watu WANAZINI, wanaua, wanaiba na kadhalika. Nilipenda jinsi 'alivyoweka bold' kwenye 'Bado Watu Wanazini'..! ha ha haa. I love this Comedy of Errors going on in our TZ Njema!
 
Nimesikiliza na kusoma yote yaliyozungumzwa na PM kwanza pia Rais. Mimi ninachokiona hapa ni ukosekanaji wa utawala bora. Magufuli aliposema kuhusu bomoa bomoa na kama PM ameona kuna walakini katika kauli ya Magufuli angemwita na kuzungumza naye wakiwa wawili kwamba pamoja ya sheria zinasema hivi lakini tuzingatie ubinadamu na tuwasaidie. Lakini hakufanya hivyo ila PM aliamua kuzungumza kwenye mkutano wa hadhara na kumkosoa waziri wake. Utawala wa namna hii unadhalilisha mbele ya wananchi na ameonekana si chochote. Hii inapunguza morale ya kutekeleza majukumu ya mfanyakazi. Wangezungumza wenyewe ingekuwa rahisi sana kulisahihisha kimyakimya kuliko kila mmoja akitaka asikike kwenye vyombo vya habari.
 
Msimshangae Rais wenu maana alishindwa kabla ya kushindwa. Alianza utawala nchi hii kwa kufanya dhambi moja ya ubaguzi wa kila aina. Kisiasa alilunda timu ya wanamtandao akawapa vyeo akigawa kama uyoga. Kila aliyejua akumuunga mkono aliakikisha anaula wa chuya. Tanzania kwa mara ya kwanza ikagawanyika ktk makundi ya wanaoukula na kusaza wanamtandao na walalahoi na kuganga njaa. Ubaguzi wa pili wa kidini. Kwenye vyeo nyeti nje na ndani ya nchi amegawa vyeo kwa misingi ya dini fulani. Alipoona watu wameshtuka kaibuka na propaganda za watu wa dini fulani hawanipendi. Ameanza kuogopa kivuli chake. Sasa baada ya kuona ubaguzi alioufanya unamgeuka yeye na kutumia watu wajaribu kurudusha imgae yake imeshindwa sasa anawachukia watumishi aliowachagua yeye anapoona wanakuwa na sifa na ya kwake inayeyuka. Ameshindwa kuimarisha uchumi baada ya kuleta mfumuko wa bei kwa safari zake za nje zinazotumia kiasi kikubwa cha fedha za kigeni kuliko kile tunachopata toka nje. Wanamtandao wametuletea Richmond then Dowans na nchi iko gizani. Sasa anataka kuamisha akili za Watanzania lakini du kachelewa Watanzania wa leo so wa jana. Shule ya Dr.Slaa na Mbowe inafanya kazi.Mungu ibariki Tanzania
 
Mheshimiwa Rais, niliapa kulinda sheria na Katiba ya nchi, hivyo ninaomba nipewe ruhusa kutekeleza sheria ya kubomoa nyumba zilizojengwa ndani ya hifadhi ya barabara,'' alisema Dk Magufuli.Waziri Magufuli amekuwa akisisitiza kwamba waliojenga ndani ya barabara wamevunja Sheria namba 13 ya mwaka 2007 na kwamba hawastahili kulipwa fidia.
Hata hivyo, Rais Kikwete akijibu maombi hayo alisema: ''Hili naliongea kwa umakini kwani nataka nieleweke vizuri. Bomoabomoa ipo. Usilegee katika kutekeleza sheria, lakini uangalie ubinadamu katika bomoa hiyo pamoja na historia ya eneo husika. Pia muwalipe wote wanaostahiki kulipwa fidia na msiwalipe wale wasiostahiki na msiangalie unafuu wa Serikali pekee.''

Heshima kwako Buswelu,

Naomba wanajamvi tusome tena na tena bila kuacha akili miguuni.Inavyoelekea kuna watu wanataka kutulazimisha kwamba Dr Magufuli alikemewa na Rais kitu ambacho si kweli hata kidogo vyombo vya habari vya Tanzania vimejaa watu wanafiki sana wapo tayari kupindisha maneno ili kuuza habari.

Sijaona mahali Dr P Magufuli alipokemewa,Rais kamwambia aendelee na kazi ila atie ubinadamu kidogo na wanaostahili kulipwa fidia walipwe isiangaliwe nafuu ya serekali pekee.
 
Mheshimiwa Rais, niliapa kulinda sheria na Katiba ya nchi, hivyo ninaomba nipewe ruhusa kutekeleza sheria ya kubomoa nyumba zilizojengwa ndani ya hifadhi ya barabara,'' alisema Dk Magufuli.Waziri Magufuli amekuwa akisisitiza kwamba waliojenga ndani ya barabara wamevunja Sheria namba 13 ya mwaka 2007 na kwamba hawastahili kulipwa fidia.
Hata hivyo, Rais Kikwete akijibu maombi hayo alisema: ''Hili naliongea kwa umakini kwani nataka nieleweke vizuri. Bomoabomoa ipo. Usilegee katika kutekeleza sheria, lakini uangalie ubinadamu katika bomoa hiyo pamoja na historia ya eneo husika. Pia muwalipe wote wanaostahiki kulipwa fidia na msiwalipe wale wasiostahiki na msiangalie unafuu wa Serikali pekee.''

Naona mjadala unaelekea kupindisha maneno kuleta ushabiki na propaganda, msiwape moyo waliojenga barabarani bmoabomoa ipo!
 
For the time being naona Kikwete hana kazi ya kufanya in short anabuni ni kitu gani afanye baada ya safari za nje kutokuwepo kwa muda huu alinifurahisha alipotembelea Wizara ya Elimu na kuanza kuzungumzia habari za wanafunzi kutumia mkongo badala ya kuwahoji watendaji wa wizara husika kwanini matokeo ya kidato cha nne hayaridhishi, kwanini walimu hawalipwi wakati muafaka, uhaba wa walimu nk, leo anatembelea Wizara ya Ujenzi badala ya kuhoji vitu vya msingi ananza ku-deal na Magufuli

kweli kuna baadhi ya watu huwa hamna shukurani hasa mkishamchukia mtu,kila atakalofanya nyie kenu linakuwa baya, eti akikosa safari za nje anakosa la kufanya, alipotembelea wizara ya elimu hakuna alichofanya! Hv ni kweli unafuatilia taarifa vizuri za mahali ambako mh.raisi alipitia? Wizara ya elimu kazungumzia mengi mpaka hiilo la wanafunzi kidato cha nne kufeli, we upo dunia gani? Chuki mchukieni lakini haki yake mpeni.
 
Hapa Rais wetu kaongea kwa kuzunguka tu ila anathibitisha kuwa alosema Pinda yalikua ni mpango mzima uloandaliwa ili kupunguza kasi yake sababu utendaji kazi wake unawafunika wateule wanaojipanga kuwania urais 2015!!
Ushauri: Magufuri aachie ngazi na kujivua ubunge ili uitishwe upya na agombee kwa chama tofauti najua atarudi mjengoni as usual!!!!
Kauli ya Mwalimu: Unapoona nyumbani mnakwaruzana na mzazi na huna la kumfanya ila ukaendelea kulalama si busara bali jitenge naye kuepusha misuguano.
 
Mkuu tunaliona hilo na jaza wizarani wengi wamesema the same thing. Wizarani wengi sana wako upande wa magufuli kinyume na wengine wanavyodhani

Ikumbukwe kuwa ubomoaji wa sasa na mipango ya sasa ilipitishwa mwaka 2009! waziri wa kipindi hicho hakuwa na nguvu za kulitekeleza hili
KIBAYA ZAIDI NI KUWA KUNA UHUNI WA MAKUSUDI WA BAADHI YA WAFANAYAKAZI AMBAO WAKIJUA NYUMBA ZA MAHALI FULANI ZITABOMOLEWA BASI WANAENDA KUJENGA VIBANDA VYAO ILI MRADI WALIPWE FIDIA HILI POMBE ANALIFAHAMU na tatizo linaanzia hapo.

Kibaya zaidi ni pale pombe aliposema Tanesco ubungo linaenda chini! watu walilia kwa pinda akina Jery Slaa wamelia kwa pinda TAMISEMI ni kama imeingilia kati!

Kwa akili ya magufuli ilikuwa akiliangusha ubungo wengine woote wataondoka wenyewe! SIO uamuzi wa magufuli kuangusha ubungo tangu 2009 iliamriwa hivyo

kwanza tuone itakuwaje. hili linahairishwa tu

Rais amezungumza kama wewe au mimi! hajasema kama rais

Yes I have heard the same!

Surely, acha kila mtu avunje sheria then, hajaanza leo kaanza kwenye EPA, watu wanafurahia hili!

Uzushi is our problem, our media are selling news paper! ndivyo tulivyo! BOMOA BOMOA ipo pale pale

You got him!

Indeed!

WABEROYA WE MUONGO KABISA

Ikumbukwe kuwa ubomoaji wa sasa na mipango ya sasa ilipitishwa mwaka 2009! waziri wa kipindi hicho hakuwa na nguvu za kulitekeleza hili[/COLOR]HII SIO KWELI HATA KIDOGO, MAGUFULI ALIANBZA UBABE MWAAK 2000 ALIPOPATA UWAZIRI KT WIZARA YA UJENZI KWA MARA YA KWANZA, MWAKA 2001 ALIAGIZA MAWE NA MABANGO YANAYOONYESHA MWISHO WA HIFADHI YA BARABARA KUPANDWA MITA 120KUTOKA KATIKATI YA BARABARA KUINGIA NDANI YA ARDHI NA MAKAZI YA WANANCHI KATI YA UBUNGO HADI KIRUVIA, UPANA HALALI WA HIFADHI YA BARABARA NI MITA 22 TU KUTOKA KATIKATI YA BARABARA. KILICHOFANYIKA MWAKA 2009 NI KUONGEZA UPANA HUO KUTIKA MITA 22 HADI 30 NCHI NZIMA, AMBAPO WANANCHI WANA HALI YA KULIPWA FIDIA KATIKA HIZO MITA 8 ZILIZONGEZEAKA. IWEJA MAGAFULI AAGOIZE NYUMBA ZIWEKEWE X NA KUBOMOLEWA?

KIBAYA ZAIDI NI KUWA KUNA UHUNI WA MAKUSUDI WA BAADHI YA WAFANAYAKAZI AMBAO WAKIJUA NYUMBA ZA MAHALI FULANI ZITABOMOLEWA BASI WANAENDA KUJENGA VIBANDA VYAO ILI MRADI WALIPWE FIDIA HILI POMBE ANALIFAHAMU na tatizo linaanzia hapo. HIZI NI HISIA TU, UNAWEZA KUTOA ORODHA YA WATU KAMA HAO? MBOANA SISI TUNAOISHI KATIKA AMENEO HAYO HATUWAJUI? NI HISIA KAMA HIZI NDIZO ZINZMFANYA MAGUFULI KUTOA MAAGIZO YA AJABU AJABU. kAMA MAGUFULI ANAJAU KUPAMBANA NA WEZI MBONA KAGODA, MEREMETA, EPA N.K KAWASHINDWA AKIWA NDANI YA BARAZA LA MAWAZIRI. KAMA WATU WANANWEZA KUCHOTA KIASI HICHO CHA FEDHA KWA NJIA ZA WIZI NI KWANINI WANANCHI WASILIPWE FIDIA PALE SERIKALI INAPOHITAJI ARDHI KUJENGA BARABARA?

Kibaya zaidi ni pale pombe aliposema Tanesco ubungo linaenda chini! watu walilia kwa pinda akina Jery Slaa wamelia kwa pinda TAMISEMI ni kama imeingilia kati!

Kwa akili ya magufuli ilikuwa akiliangusha ubungo wengine woote wataondoka wenyewe! SIO uamuzi wa magufuli kuangusha ubungo tangu 2009 iliamriwa hivyo
SIO KWELI HATA KIDOGO KWANI MASTER PLAN YA JIJI LA DAR ES SALAAM ILIYOTAYARISHWA MWAKA 1979 INATAMBUA KUWA UPANA WA HIFADHI YA BRABARA YA MOROGORO NI MITA 22 TU, HIVYO TANESCO WALIOMBA NA KUPATIWA TITLE DEED BASED ON THAT, NA PIA WAKAPATA BULIDING PERMIT KUHALALI. NDIPO WAKAJENGA JENGO LAO. TANESCO KUNA KITENGO CHA ESTATES NA INA WANASHERIA HIVYO HAIWEZEKANI KUVAMIA HIFADHI YA BARABARA, HIZO ZILIKUWA NI PROPAGANDA ZA MAGUFULI.

SIO KAZI YA MAGUFULI WALA WIZARA YA UJENZI KUHAKIKI TITLE DEEDS. MAGUFULI ALIWAHI KUWA WAZIRI WA ARDHI AMBAYE HUMSHAURI RAIS KUFUTA TITLE DEEDS ZINZOTILIWA SHAKA AU ARDHI SERIKALI INAYOIHITAJI. KAMA KWELI TILTE DEED YA TANESCO NA ZINGINE KATIKA BARABARA YA MOROGORO NI FEKI MBONA HAKUSHAURI ZIUFUTWE ILIHALI ALIKUWA AKIJUA ZIPO?
 
nimesikiliza na kusoma yote yaliyozungumzwa na pm kwanza pia rais. Mimi ninachokiona hapa ni ukosekanaji wa utawala bora. Magufuli aliposema kuhusu bomoa bomoa na kama pm ameona kuna walakini katika kauli ya magufuli angemwita na kuzungumza naye wakiwa wawili kwamba pamoja ya sheria zinasema hivi lakini tuzingatie ubinadamu na tuwasaidie. Lakini hakufanya hivyo ila pm aliamua kuzungumza kwenye mkutano wa hadhara na kumkosoa waziri wake. Utawala wa namna hii unadhalilisha mbele ya wananchi na ameonekana si chochote. Hii inapunguza morale ya kutekeleza majukumu ya mfanyakazi. Wangezungumza wenyewe ingekuwa rahisi sana kulisahihisha kimyakimya kuliko kila mmoja akitaka asikike kwenye vyombo vya habari.

pinda alikuwa na conversation na magufuli two times kuhus hilo, na mara zote walikubalina lakini magufulia akaendelea kuwa defiant
 
heshima kwako buswelu,

naomba wanajamvi tusome tena na tena bila kuacha akili miguuni.inavyoelekea kuna watu wanataka kutulazimisha kwamba dr magufuli alikemewa na rais kitu ambacho si kweli hata kidogo vyombo vya habari vya tanzania vimejaa watu wanafiki sana wapo tayari kupindisha maneno ili kuuza habari.

sijaona mahali dr p magufuli alipokemewa,rais kamwambia aendelee na kazi ila atie ubinadamu kidogo na wanaostahili kulipwa fidia walipwe isiangaliwe nafuu ya serekali pekee.

rais kikwet kamwambia kinagaubaga kuwa wizara yek inatumia ubabe, "acha ubabe" unataka kukemewa gani zaid ya hivyo?
 
Back
Top Bottom