Vilaza wote hao JK tatua tatizo la umeme sio huu umburukenge unaofanya hivi sasa ati unatembelea wizara phew! What a thief ... .... .... kaa Magogoni ufanye kazi, kazi ya urais sio kuzurula kama mvuta bangi.
rais jakaya kikwete leo amemgeukia mbogo waziri magufuli kwa kumwambia waziwazi kuwa aache ubabe na mpango wake wa bomoa bomoa wakati wa ziara ya rais alipotembelea wizara ya ujenzi leo hii.
Huu unaonekana ni msumari mwingine kwa mpiganaji magufuli, kufuatia msumari wa kwanza uliogongelewa na pinda wakati akiwa bukoba hivi karibuni.
Hapo awali magufuli aliwataka 'wajenga hovyo" kando kando ya hifadhi za barabara kuwa wanabomoa wenyewe kwa kipindi kifupi. Now mheshimiwa jk amemuagiza kuwapa "hata miaka miwili" na kuwalipa na fidia.
Kazi inaendelea.... Je, magufuli kuamua kujiuzuru kama tetesi zilivyosambaa hapo awali?
Binafsi, sikubaliani na utaratibu huu wa kuendesha vikao na kufanya maamuzi hadharani. Masuala haya ya pinda, jk na hata magufuli mwenyewe wangeweza kuyafanya na kukubaiana katika vikao vya baraza la mawaziri badala ya kutengeneza sinema hadharani.
I striongly believe they are trying to create "storyboard" for winning public attention kwenye masuala yasiyo ya msingi na kusahau yanayogusa maisha yao moja kwa moja.
Anapozunguka hivyo kwenye hizo Wizara ujue anaulizia kama kuna Safari yoyote Waziri kama amealikwa nje ili aungane nae, Miguu inamuawasha anatafuta safari ya lazima. Nchi imeshamshinda Tangu 2006 lakini bado anang'ang'ania
mwanakijiji,
hakumuambia aendelee na shughuli zake katika hili. Kamwambia waziwazi kuwa aache ubabe na bomoa bomoa pasipo kulipa fidia haiwezekani, hatya kama waliojenga walikuwa na makosa. Let's all wait and see it in the news this evening or in tomorrow's papers may be ndio wengine watalielewa vema hili.
Magufuli looked terribly embarrassed during the meeting as he was 'head down' for most of the time during that meeting. Im sure he didn't expect it from the president himself. Pressumably he thought he would be consoled from what happened in pinda's visit in kagera region.
Rais Jakaya Kikwete leo amemgeukia mbogo waziri Magufuli kwa kumwambia waziwazi kuwa aache ubabe na mpango wake wa Bomoa Bomoa wakati wa ziara ya Rais alipotembelea wizara ya Ujenzi leo hii.
Huu unaonekana ni msumari mwingine kwa mpiganaji Magufuli, kufuatia msumari wa kwanza uliogongelewa na Pinda wakati akiwa Bukoba hivi karibuni.
Hapo awali magufuli aliwataka 'Wajenga Hovyo" kando kando ya hifadhi za barabara kuwa wanabomoa wenyewe kwa kipindi kifupi. Now Mheshimiwa JK amemuagiza kuwapa "Hata miaka miwili" na kuwalipa na fidia.
Kazi inaendelea.... Je, Magufuli kuamua kujiuzuru kama tetesi zilivyosambaa hapo awali?
Binafsi, sikubaliani na utaratibu huu wa kuendesha vikao na kufanya maamuzi hadharani. Masuala haya ya Pinda, JK na hata Magufuli mwenyewe wangeweza kuyafanya na kukubaiana katika vikao vya baraza la mawaziri badala ya kutengeneza sinema hadharani.
I striongly believe they are trying to create "storyboard" for winning public attention kwenye masuala yasiyo ya msingi na kusahau yanayogusa maisha yao moja kwa moja.
Ningekuwa mimi ni mzee wa chadema ningekupa uenyekiti na binti wangu.

Hapo kwenye red amesema iundwe timu au tume, maana huyu ni mzee wa tume, JK kama kawaida yake anataka kuonyesha anawajali wananchi wenye matatizo, hii ni sawa kabisa na kuhudhuria msiba. Rais amekula kiapo kwamba atailinda katba ya nchi, iweje sasa aanze ku comprise na sheria zilizo chini ya katiba halali ya Tanzania/Rais yuko sahihi kama amesema hivyo. Naona kwenye taarifa ya habari kwamba ameagiza iundwe timu ya wizara kuangalia tatizo la kuvamia maeneo ya hifadhi ya barabara. Sawa kabisa. Suala la bomoabomoa si la kukimbilia linataka lifanyiwe kazi ya kutosha kwa kuwa kuna watu wamepewa hati za kumiliki viwanja na mamlaka za serikali. Kuna sheria kinzani; moja ya mipango miji na ya pili ni hii ya hifadhi ya barabara. Tukumbuke kuwa Magufuli alipotoka wizara ya Ujenzi kwenda Ardhi alikuwa akipinga ubomoaji (kwa taarifa yenu) kwa kuwa wizara yake ilitoa vibali kwa mujibu wa sheria ya mipango miji lakini sasa anasimamia sheria ya hifadhi ya barabara!!Wizara hizi zikae pamoja zitafute ufumbuzi vinginevyo watawazidishia watanzania umasikini. Kuna watu wamekopa kwa hati ambazo ziko ndanii ya hifadhi ya barabara na zimetolewa na serikali. Tusikurupuke kubomoa