Kikwete amuandalia Dr. Husein Mwinyi urais 2015

unajuaje kama raisi atatoka ccm? Naona watu wamezoea kusema fulani kutoka ccm atakuwa raisi n.k. Tunasahau kuwa nchi hii ni ya vyama vingi, na huko tuendako, mawazo na fikra a wananchi zitabadilika, na pengine hata tabia yao ya upigaji kura na mapenzi ya vyama yanaweza kubadilika vilevile. Tumo katika mfumo wa vingi, tuondokane na mawazo ya mfumo mmoja, hasa hayo ya kufikiria kuwa raisi atatoka ccm kila wakati.

mbona sumaye alisema ili uwe raisi, lazima dola ikupitishe
 
Sijui kwa nini watoto wa nyerere wanatengwa hivyo na ccm....................naamini huko pengine tungeweza kupata zile busara za nyerere tulizozimiss longi...............huku kurithishana madaraka kutawaponza sana ccm.............wekeni tuwamwage mnadhani tz ndo ile ya zamani?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom