Kikwete amteua wakili wa Lulu kuwa Jaji

Siamini kwamba kesi ya Lulu ndio imempa ujaji. Hivi Mheshimiwa Raisi anatumia vigezo gani kuwateua mawakili kuwa Majaji?

Nashangaa, sababu inaonekana ghafla wakati wa utawala wake ndio wanasheria wengi wamekuwa na weredi mkubwa sana, no wonder hata malaymen wanaweza kuquestion maamuzi ya majaji wetu wa sasa.
 
What ever namanisha amemteua wakili kuwa jaji wa mahakama, labda kutokana na handling ya kesi ya Lulu imempandisha Chat.

Wakuu wanamkingia kifua kwa manufaa ya wanawe mlalahoi ameokoka.

Kama hujui kigezo kilichotumika katika uteuzi si ukae kimya kuliko kujifanya much know, mnajishushia hadhi zenu bure pale unapotaka tukuone unajua jambo fulani wakati hujui, ni bora mkaanzisha kikundi cha mipasho ambayo sio lazima ujue sababu ya unaloliongea, Halafu unataka tukuone nawe ni great thinker???
Kwa staili hii nchi yetu haita endelea hata aje nani.

HII NDIO SABABU ILIYOFANYA ATEULIWE NA SIO UNAVYOPOTOSHA WATU KWA CHUKI ZAKO BINAFSI,

Tuesday, 19 June 2012 21:30
0digg
Leon Bahati
RAIS Jakaya Kikwete amemwapisha kuwa Jaji wakili wa kujitegemea, Joaquine De-Mello ambaye alikuwa akimtetea msanii wa filamu Elizabeth Michael (Lulu) anayetuhumiwa kwa mauaji ya msanii mwenzake, Steven Kanumba.

Wakili huyo, ambaye ni mshindi wa tuzo ya Mwanamke Jasiri Tanzania ya Martin Luther King ya mwaka 2012 na ambaye alikuwa pia alikuwa mmoja wa makamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (CHRAGG) ni miongoni mwa majaji 10 walioapishwa jana na Rais Kikwete, Ikulu Jijini Dar es Salaam.
De-Mello ni miongoni mwa mawakili wanne waliojitokeza Aprili mwaka huu kumtetea Lulu katika kesi hiyo ya mauaji inayomtuhumu kumuua usiku wa kuamkia Aprili 7, mwaka huu.
Rais amteua wakili wa Lulu kuwa Jaji
 
Unaposema nchi yetu haitaendelea hata aje nani unamaanisha nini? ni nani amekuambia hii nchi itaendelezwa na wageni? Kichwa maji kabisa wewe.
 
Hivi hakuna limit ambayo ya majaji wa kuteua kwa Rais? sababu hata jana kuna kiongozi nadhani naibu waziri wa sheria kama sikosei kasema Kikwete ndio Rais anayeongeza kwa kuchagua majaji wengi mpaka sasa toka nchi yetu ipate uhuru.

Au ndio anajiwekea shield mapema?

Unaonekana hata hujui idadi ya Majaji wanaotakiwa unaanza kuzungumzia habari ya limit,

Tafuta kwanza habari kamili ili ujue kama wamezidi mahitaji ya nchi then anza kuzungumzia habari ya limit.

kwa taarifa yako hata idadi ya haoaliowateua ukijumlisha na waliokuwepo hawatoshelezi mahitaji.
 
uchache wa majaji unajulikana na unakera lakini hiyo sababu tosha ya kuchagua majaji kiholela kila kukicha. Unatakiwa kukumbuka kwamba Majaji wanatakiwa kuwa ni watu wenye weledi wa hali ya juu wa sheria na zaidi wawe ni watu independent kiasi cha kutosha kabisa kufanya maamuzi yao bila kuingiliwa na nguvu zozote kutoka nje, including rais wa nchi.

Kwa hapa tulipofikia, hivyi vyeo naona vinatolewa kama zawadi
 
Hatakuwa mtetezi wa Lulu tena, bali atakuwa jaji atakayepangiwa kutoa hukumu kesi ya Lulu. Nimesomeka na umelisoma tukio lenyewe?

Mkuu Candid Scope, De Mello ameteuliwa kuwa jaji wa mahakama kuu, ila hatokuwa jaji kwenye kesi ya Elizabeth Michael (Lulu). Kumbuka kuna kanuni kwenye sheria kuwa huwezi kuwa jaji/muamuzi kwenye kesi ambayo inakuhusu ie una 'interests'. Akipangwa kuwa jaji upande wa mashitaka unaweza mtaka ajitoe maana ashakuwa wakili wa Lulu.
 
jaji.JPG
huyu ndo mwenyewe....she deserves that post
 
lulu ni malaya tu.. Kama malaya wengine huko mtaani.. Na umalaya wake lulu ndo umem3mfanya ashindwe kutulia na kanumba.. Bcoz lulu ana jini mahaba.. Na kama lulu angekuwa muaminifu haya yote yasingetoke..!
huyo jaji ameteuliwa .. Jaman kikwete tumeisha ambiwa ni DHAIFU ..Sasa inamaana kama yeye ni dhaifu ndo maana anashabikia majaji dhaifu na watendaji dhaifu.. Dhaifu mno.. Na kuwapa vitengo na uongozi watu dhooful hali..Juzi hapa jamaa zake riz1 wamepewa ukuu wa wilaya..na huyo mama ndo wale wale kasoro majina...!
 
tatizo kama hujui hujui tu...sioni tatizo la kumteua huyu mama..ni wakili wa mda ,refu ,wenye uzoefu katika nyanja ya sheria nimeshafanya naye kazi na ni mtu mzuri tu sio ni ubaya kuteuliwa kuwa jaji...mawakili wengi wanateuliswa kushika hizo nafasi..kama aliekua rais wa tls Dr. fauz twaib...kuna ubaya hapo????? udhaifu wa kikwete uko wapi hapo???
 
uchache wa majaji unajulikana na unakera lakini hiyo sababu tosha ya kuchagua majaji kiholela kila kukicha. Unatakiwa kukumbuka kwamba Majaji wanatakiwa kuwa ni watu wenye weledi wa hali ya juu wa sheria na zaidi wawe ni watu independent kiasi cha kutosha kabisa kufanya maamuzi yao bila kuingiliwa na nguvu zozote kutoka nje, including rais wa nchi.

Kwa hapa tulipofikia, hivyi vyeo naona vinatolewa kama zawadi
Majaji hawatoshi...nyie ambao mpo nje ya proffession hamjui kero zilizomo...basi kama hamjui uchache wa majaji ndio mojawapo ya sababu kubwa za rushwa katika mahakama maana kuahirishwa kwa kesi mara kwa mara kutokana na wingi wamashauri na uchache wa majaji na mahikimu..wafanyakazi wengine wa mahakama hutumia mwanya huo kufanya michezo michafu kwa minajili ya kujipatia kipato..ila kama mashauri yanasikilizwa kwa wakati basi hata mianya ya rushwa itapungua
 
tatizo sio uteuzi wa huyo mama kua jaji ..bali ni jinsi media ilivyotoa hiyo habari..kwa kutumia title ya kuuzia magazeti which was very unnecessary " Raisi amteua wakili wa "LULU" hapo "LULU" katumika kuuzia magazeti...ila title ingekuwa " Rais kamteua mwanasheria wa mda mrefu kuwa jaji , gazeti lisinge uza wala kusingekua na mijadala
 
uchache wa majaji unajulikana na unakera lakini hiyo sababu tosha ya kuchagua majaji kiholela kila kukicha. Unatakiwa kukumbuka kwamba Majaji wanatakiwa kuwa ni watu wenye weledi wa hali ya juu wa sheria na zaidi wawe ni watu independent kiasi cha kutosha kabisa kufanya maamuzi yao bila kuingiliwa na nguvu zozote kutoka nje, including rais wa nchi.

Kwa hapa tulipofikia, hivyi vyeo naona vinatolewa kama zawadi

http://www.mwananchi.co.tz/habari/5-habari-za-siasa/24043-rais-amteua-wakili-wa-lulu-kuwa-jaji

Yupi katika walioteuliwa unafikiri hana weredi?
Nashauri tuwe tunafuatilia kwanza weredi wao ndio tuseme huyu hafai huyu anafaa.
Hapo juu nimetoa link ambayo unaweza pata kwa kifupi weredi wa huyo tunaemjadili hapo na si tujadili sababu alikuwa wakili wa Lulu kama wengi wanavyoelezea hapo.

Pia kuteuliwa haimaanishi lazima uwe kibaraka wa aliyekuteua hata siku moja, hiyo ni hulka ya mtu binafsi kama ana dhana ya uoga hata asipoteuliwa akipewa nafasi fulani atakuwa hivyo tuu. Tunao watu wa namna hiyo wengi tu na sio wa nafasi za kuteuliwa, pia wapo wa nafasi za kuteuliwa ambao wanafanya kazi kwa kufuata
sheria misingi na Taratibu.
 
Majaji hawatoshi...nyie ambao mpo nje ya proffession hamjui kero zilizomo...basi kama hamjui uchache wa majaji ndio mojawapo ya sababu kubwa za rushwa katika mahakama maana kuahirishwa kwa kesi mara kwa mara kutokana na wingi wamashauri na uchache wa majaji na mahikimu..wafanyakazi wengine wa mahakama hutumia mwanya huo kufanya michezo michafu kwa minajili ya kujipatia kipato..ila kama mashauri yanasikilizwa kwa wakati basi hata mianya ya rushwa itapungua

Acha kujishaua, Kama ujaji ni profession, ni profession inayowajibika kwa UMA, unaposema hapa kwamba iko corrupted hauwezi kujustify kwamba ongezeko la majaji litapunguza corruption.

Kama kuna incompetence yoyote ambayo inajikita kwenye mahakama zetu kutokana na appointment za namna hii, utegemee Rushwa kuongezeka zaidi.

Labda niende kwenye Point sasa.
Rais Kikwete ni maarufu sana kwa kufanya teuzi za watu dhaifu kwenye utendaji wao, tunaendelea kuliona hili kutoka kwenye baraza lake la mawaziri, wakuu wa mikoa na wilaya, na wakurugenzi wa mashirika ya UMA na hata kwenye Chama, analalamikiwa kwamba anafanya teuzi hizi kwa misingi ya ulafiki na mahusiano ya kifamilia mpaka mahusiano ya Kingono, sasa kwa namna tunavyoelewa umuhimu wa majaji katika mahakama zetu au Taifa kwa ujumla unategemea ni kwa nini nisiwe na wasi wasi kwamba uteuzi wa namna ile ile unatumika kutupatia majaji. Unanihakikishia vipi professionalism katika mazingira kama haya?
 
Back
Top Bottom