Kikwete amteua Peter Noni Mkurugenzi mpya TIB!

Sasa bushman kid hapa hueleweki. Mwenye contact tena kivipi wakat i swahiba wake Mtimti ameshajipambua kuwa yko karibu naye kuliko hata mkewe. Mwambie akupe contact ambazo anazo kwa kina.

nashukuru kwa matusi yako...!nisingependa kuona watu wanakuita pumbavu,mjinga na mwenye akili za kushikiwa....naamini wewe ni muungwana.!
 
Mko wengi mnaofaidika na wizi wake. Bahati nzuri kwenu na bahati mbaya kwa wanaharakati wa JF sheria za JF haziruhusu kuanikana hadharani lakini mnafahamika mlivyokuwa mnamganda huyo noni wakati wa vikao vya harusi vya mwizi mwingine noni type (mtoto wa jenerali mstaafu Mayunga)mwaka 2006.

mi nilifikiri ni ufisadi ndio unaotusukuma kukata issue hapa,kumbe wengine ni wivu tu ndio unaokusumbua kutokana na maisha kuwachapa?wenzenu walivyokuwa wanaamka asubuhi kwenda shule wengine walikuwa wanavuta shuka...bwa hah aha ahahahaha
 
Hakuna shule yeyote hapa ulimwenguni inayofundisha WIZI. Na kama ipo basi I HAVE NO REGRET FOR NOT ATTENDING. Lakini kumbukeni za mwizi ni arobaini. Kama Ben Mardoff pamoja na mihela yake kuliko hizo za Noni anaishi kwenye ki-cubic ni Noni.
 
Jamani MD mpya wa TIB naona anastahili maana qualifications zake na experience vinanipa imani kwamba anafaa, tupige kelele kwa watu kama David Mattaka, au Mustafa Mkullo.
 
nashukuru kwa matusi yako...!nisingependa kuona watu wanakuita pumbavu,mjinga na mwenye akili za kushikiwa....naamini wewe ni muungwana.!

Aliyeshikiwa akili ni nani? Kama pamoja na ushahidi wote uliotolewa kuhusu kuhusika kwake na kagoda wewe umeng'ang'a ni msafi na muadilifu bila kupinga huo ushahidi si kielezo cha kushikiwa akili basi ni kitu gani?
 
Aliyeshikiwa akili ni nani? Kama pamoja na ushahidi wote uliotolewa wewe umeng'ang'a ni msafi na muadilifu bila kupinga huo ushahidi si kielezo cha kushikiwa akili basi ni kitu gani?

kuna ushahidi hapa?au unafuata mkumbo tu kwa kuwa unaemwamini wewe hapa JF anapinga nawe unapinga?tuangalie tusije kufanywa wafuasi ka wa kibwetele..!
 
kuna ushahidi hapa?au unafuata mkumbo tu kwa kuwa unaemwamini wewe hapa JF anapinga nawe unapinga?tuangalie tusije kufanywa wafuasi ka wa kibwetele..!

mtimti,

a. Peter Noni alikuwa na jukumu gani wakati wizi wa fedha za EPA unatokea?

b. Je alilitekeleza jukumu hilo vilivyo?
 
Jamani MD mpya wa TIB naona anastahili maana qualifications zake na experience vinanipa imani kwamba anafaa, tupige kelele kwa watu kama David Mattaka, au Mustafa Mkullo.

Kwani Mkulo ana tatizo gani kielimu hata apigiwe kelele?

1. Swali hapa limeulizwa na sijaona jibu lake. Kufuatana na taarifa za Noni mwenyewe, nyaraka za (kugushi) zilikuwa zinapelekwa kwa Gavana Balali, kisha zinapitia kweke naye anazipeleka kwa Mwakosya. Zikisha shughulikiwa zinarudi kwake kisha anazipeleka kwa Gavana kisha zinalipwa. Sasa inakuwaje Gavana na Mwakosya wanatiwa hatiani wakati yeye mtu wa kati anapandishwa cheo?

2. Kuhusu experience, kila Banker anafundishwa namna ya ku detect fraud. Sasa ilikuwaje external auditors kwa muda mfupi tu waone makosa kobao ya documents fake zilizo tumika wakati Noni alikuwa na muda mrefu zaidi kuzikagua. halafu si document moja tu bali kibao.

3. Wizi wa Shs. 133 Bil umefanyika chini ya macho yake. Utetezi wake eti alimtahadharisha Gavana kwa MDOMO. Jee huyu anajua hata utaratibu wa kazi?

Jee hivi hii TIB itapona kweli?
 
mtimti,

a. Peter Noni alikuwa na jukumu gani wakati wizi wa fedha za EPA unatokea?

b. Je alilitekeleza jukumu hilo vilivyo?

By opinionatedly and debatably devised decision I am undoubtedly rating this question as the trillion dollar question.

maswali haya angekuwa anajiuliza kila mtanzania kabla ya kupiga kura, Kikwete asingekuwa madarakani. Hata hao wanaopinga ukweli huu si ajabu kwani hawakujiuliza tangu mwanzo!
 
kuna ushahidi hapa?au unafuata mkumbo tu kwa kuwa unaemwamini wewe hapa JF anapinga nawe unapinga?tuangalie tusije kufanywa wafuasi ka wa kibwetele..!
READ THIS (BY tk) YOU CRETIN!!

1. Swali hapa limeulizwa na sijaona jibu lake. Kufuatana na taarifa za Noni mwenyewe, nyaraka za (kugushi) zilikuwa zinapelekwa kwa Gavana Balali, kisha zinapitia kweke naye anazipeleka kwa Mwakosya. Zikisha shughulikiwa zinarudi kwake kisha anazipeleka kwa Gavana kisha zinalipwa. Sasa inakuwaje Gavana na Mwakosya wanatiwa hatiani wakati yeye mtu wa kati anapandishwa cheo?

2. Kuhusu experience, kila Banker anafundishwa namna ya ku detect fraud. Sasa ilikuwaje external auditors kwa muda mfupi tu waone makosa kobao ya documents fake zilizo tumika wakati Noni alikuwa na muda mrefu zaidi kuzikagua. halafu si document moja tu bali kibao.

3. Wizi wa Shs. 133 Bil umefanyika chini ya macho yake. Utetezi wake eti alimtahadharisha Gavana kwa MDOMO. Jee huyu anajua hata utaratibu wa kazi?

Jee hivi hii TIB itapona kweli?
 
Jaquline Noni, mke wa Peter Noni, ndiye aliyekuwa akiandamana na Salma Kikwete wakat wa kampeni za 2005
Basi uteuzi huu utakuwa na mambo mengi sana yaliyojificha na kupangwa siku nyingi zilizopita
 
Noni ni mchapa kazi mzuri sana. SIna shaka na uteuzi wake. Namfahamu vizuri na sina interest yeyote kwake. Ameenda shule vizuri na ni muwajibikaji.

Uwajibikaji kwa directives za wakubwa bila kufuata ethics za kazi ni tatizo kubwa. nashindwa kuelewa uwajibikaji wa jinsi hii una maslahi gani kwa wa TZ. nina interest na waTZ
 
Rostam anaangalia mlo mpya (TIB) na kumwekeza kibaraka/mshirika wake. Kweli JK kapotoka au ndio sikio la kufa halisikii dawa?
 
nimegundua kuwa wengi hapa mnaandika ama mnashabikia tu kitu ambacho hamkijui,katika mabandiko yote sijaona hata moja lenye kumhusisha noni na ufisadi zaidi ya ushabiki tu ufisadi,ufisadi,ufisadi.
wengi humu ama hamjui au hamna history ya noni hivyo mnajaribu kuunganisha unganisha sentensi za uongo na ushabiki ili kumweka kwenye kundi la mafisadi,mmoja kasema kuhusu jaq noni kuwa swahiba na mama salma,hiyo ni kweli lakini haimfanyi kikwete kuchagua watu wabovu kwenye serikali yake.
kuna watu wamenichana sana kwenye mabandiko yao kuwa nanufaika na pesa za noni ama mimi ndio noni mwenyewe lakini nasema kwamba,kumjua na kumfahamu noni hakutonifanya nimfichie madhambi yake,namfahamu noni kuwa ni mtu mwadilifu,mwenye busara na heshima na mwenye kufuata maadili ya kazi,hivyo sintoacha kumtetea kwa nguvu zote pindi nnapoona watu ambao hawamjui wala hawajui lolote kuhusu noni wakileta ushabiki wao tu hapa wa kufuata mkumbo
nawasilisha
Mkuu Mtimti, hakuna haja ya kujua historia ya mtu ili kuweza kuona alipopotoka. Amepotoka, au hakupotoka katika sakata la EPA?

Mimi sina wasiwasi na uwezo wa Noni katika kufanya kazi (labda ndio maana alitumika kufanya yaliyofanywa BoT). Vile vile sina wasiwasi na elimu yake, heshima yake ya awali na mengine yote uliyoyasema. Nina wasiwasi na utashi wake kama ulivyotumika katika issue ya EPA. Si ajabu baada ya issue ile, akaendelea kuharibu kabisa taaluma yake, heshima yake, na uwezo wake wote kama ataendelea kufanya aliyoyafanya. Vile vile, si ajabu akarudi kuwa mtu mwema, uchapakazi hodari na mwenye kulinda na kujenga heshima yake kama ulivyosema. Ila pamoja na yote, ametuliza kinoma katika EPA (aidha kwa kujua au kutokujua).

Ni katika issue hii peke yake ndio wote hapa tunapoulizia uwezo wake, heshima yake na nia yake nzima na kuhusisha na EPA. Tuambie mkuu, hivi ni kweli katika wote, yeye tu ndie safi katika walioshughulika na EPA? Ama analindwa? Kama ndivyo kwanini hasa alindwe peke yake
 
Back
Top Bottom