Kikwete amkacha Rostam Afrika ya Kusini

Siamini kuwa RA akitaka kumuona Kikwete anaweza kukwama

Mkuu naungana na wewe. Naamini kuwa Rostam ndiye mwenye uwezo wa kumzuia Kikwete asimuone na sio Kikwete amzuie Rostam kumuona. Hakuna asiyejua kuwa RA ndio chief mwenyewe, anayeweza kutoa order akiwa ndani na nje ya Tanzania. Kama ni kweli Kikwete alimzuia basi kuna litakalotokea in response to that.

Kitendo cha walinzi kutupiana mpira kinaonesha kuwa hata walinzi wanajua who is the boss, huenda hata wao wanamuogopa wanayemlinda kuliko anayepeleka ujumbe, na huenda ni yeye pia aliyefanya wawe kwenye kazi hiyo. Inawezekana wana conflict of interest. WanaJF wanaosema security ya mheshiwa wetu iwe scrutinized hawajakosea. Siku nyingi sana hapa JF ilisemwa kuwa Usalama wote unatakiwa ujue majukumu yao, na kuenda na wakati. Kwa sasa wako nyumba kama miaka mitano hivi na Tanzania iko mbele zaidi yao. Upper had waliyokuwa nayo sasa haipo tena, ndio maana hata wafanya biashara wanaweza kumchezea rais wetu.
 
Back
Top Bottom