Elections 2010 Kikwete ameweka historia ya kuporomoka kwa kishindo

KIDUNDULIMA

JF-Expert Member
Aug 18, 2010
966
536
Tangu kuzaliwa kwa nchi ya JMT, katika marais wote waliopita, Kikwete amekuwa rais wa kwanza kuweka historia ya kuporomoka umaarufu wake kwa kishindo. Mwaka 2005 aliingia kwa kishindo na mwaka 2010 akaingia kwa ushindi wa kulazimisha baada ya umaarufu wake kuporomoka. katika hali hii atakuwa na uwezo wa kupanda ndege kwenda majuu kama alivyokuwa akifanya au atakaa nyumbani akihofia kiti chake kupinduliwa?
 
Mwacheni Mkwere ni mgonjwa subirini akipona ndo muanze kumwongelea au mmesahau alivyokuwa akianguka wakati wa kampeni
 
Any hope of recovery? Challenges ziko nyingi mbele yake, hivyo that hope seems to be slim
 
Fall zaidi iko hii miaka mitano. Dah yani jamaa hata hatamkiki kwa sasa na naamini anakerwa sana na Dr. maana atention wala haiko kwake. Kuanzia wanCHADEMA, wana CCM wenyewe na wasio na vyama wametegesha antena zao kuona kama watanasa mawimbi ya Dr. na kumfanya raisi kama vile yupo hayupo. JK dalili ya mvua ni manyunyu, anua nguo mapema maana utapoteza umaarufu haraka zaidi ndani ya mda mfupi ujao
 
Unajua chanzo cha kupromoka?????? Ni kwa sababu amefungamana na washrikina/wachawi/wanajimu nk badala ya Mungu. Aliye rafiki wa hawa ni adui wa Mungu!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Huu ndiyo ukweli!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Siku akiachana na hawa utaona tu mara moja mambo yake yanaanza kunyooka!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
What we're witnessing in Tanzania is excellent; People now have very mixed feelings towards the ruling party. As a result of the said mixed feelings, the CCM party is now weaker than it ever was.

And this is very good news :)
 
What we're witnessing in Tanzania is excellent; People now have very mixed feelings towards the ruling party. As a result of the said mixed feelings, the CCM party is now weaker than it ever was.

And this is very good news :)

good newz......very good
 
Sisi kwetu huwa mtu akitaka kuwa maarufu kwa kufoji huwa anaenda kwa wanganga wa kienyeji akaoshwa nyota yake ili watu wampende.
Mimi niliwaambia watu huyu jamaa alituendea kwa waganga in 2005 akatupumbaza akili zetu na hasa akina mama. Sasa naona maombi ya watumishi ya mwaka huu yamewashinda waganga wake ndo maana hoiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
Na bado .... tutaendelea kumwomba Mungu mpaka kielewekeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Naona safari hii ujasiri wake umeshuka kwa asilimia 80% si zani kama safari zake zitakua na tija tena mana tumeshajua kuwa hizo safari hazina tija kwa maslahi ya taifa.

Mzee gomezi
 
Ee mungu isaidie tanzania mana imechoshwa na mafisadi, ilichukua miaka 400 pale ulipo wakumbuka wana wa israel misri bali ilichukua miaka 2 tu ulipo mkumbuka yusufu gerezani, tunaamini watanzania wote kuwa haitachukua muda mrefu kuimbuka tanzania.

Mzee gomezi
 
Back
Top Bottom