Kikwete ameunda Tume ngapi tangu aingie Madarakani?

Mzalendo80

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
2,508
1,338
Naomba Kuuliza swali Wana JF tangu Fisadi Kikwete ashike hatamu ya Uongozi katika Nchi yetu ameunda Tume ngapi? Je hizo Tume zinafaida gani kwa Taifa. Isjekuwa wanapeana ulaji Kijanja kwa Kutumia Tume halafu Tume inakufa baada ya Watu kupewa Mtaji wa kutafuna Kodi za Walalahoi.
Fisadi Kikwete amefanya kama Mtaji wa kutafuna Kodi zetu kwa kutumia Tume zisizokuwa na tija kwa Taifa, mwisho wa Tume hakuna Jibu kodi Zetu zimeliwa. Watu wanombea majanga mengine yatoke wafaidike na tume, Mi naona Kikwete amefanya Mtaji na Hizi tume.
Sasa Sijui Wa-JF mnalifikiraje hili swala la TUME mimi binafsi nimeshazichoka naona zinamaliza Kodi zetu halafu mwisho wa Tume hakuna Majibu tunaambiwa Siri za Serikali wananchi hawatakiwikujua wakati wanatumia Kodi zetu, tunataka kujua Kodi zetu zinatumikaje?
 
Hizi Tume hawa Mafisadi wamezigeuza Mitaji yao ya kutuibia Kodi kiulani kitu kidogo Tume, Ridh1 Kanya Tume, Pinda kalia Tume. Kwenye mambo ya muhimu wapo kimya, wajinga sana hawa Mafisadi
 
Utakuta anaunda Tume ya kuchunguza mikataba feki wakati TUKUKURU Ipo haifanyi kazi yoyote zaidi ya kuendeleza Ufisadi, wakiwa wanataka kutuibia Kodi mchana mchana wanaunda Tume ili waibe vizuri. Mi naona hizi Tume zifikie Kikomo sasa, zipo nyingi mno halafu hazitoi majibu yoyote zaidi ya kutafuna kodi zetu
 
A decision is the action an executive must take when he has information so incomplete that the answer doesnot suggest itself.Arthur W. Radford
 
Bingwa wa kuunda tume, kuanzia leo nambatiza raisi kwa jina "MZEE WA TUME"
 
Back
Top Bottom