MTK
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 8,927
- 6,850
Wingi wa sisimizi hao wachumia matumbo wanaousaka uraisi kwa hali na mali hawasukumwi na dhana ya "Wataifanyia nini Tanzania bali watanufaika kiasi gani katika kipindi chao cha kutawala bila kuulizwa chochote"
Uraisi na nafasi nyingine zote za kisiasa kwa sasa ni njia bora, salama na rahisi zaidi ya kujipatia utajiri usio kifani, no wonder hata wasomi wetu wengi sasa wanaacha taaluma zao kujiunga na siasa ili watajirike haraka sana kwa kuliibia taifa.