Kikwete amekwama mara 7

Hadithi nyingine ni nzuri lakini ukiwa mwerevu utajua tu kwamba ni vita ya kisiasa na mdomo kuingia kinywani kunakosababisha yote haya.
 
Nyerere alitubana sana kuzungumza kwa uhuru sasa tumeachiwa uhuru. uhuru usio na mipaka pia ni ukosefu wa maarifa hauwezi kuleta maendeleo
 
sioni mshiko kwenye andishi la mtuma post bali ni tofauti tu ya maneno na kucheza na lugha, umecheza na maneno mengi ili kutuzuga tuone una point mpya wakati kiukweli hauna point mpya.
 
memwaga pumba bila ushahidi wowote, ngoja nikupe ushahidi kuwa Kikwete Rais, bora.

Tanzania kwa mara ya kwanza kabisa imepata tuzo ya Utawala bora kutoka Umoja wa Mataifa, ulishasikia tuzo kama hiyo kabla ya Kikwete?

Halafu kwa mara ya kwanza Tanzania imepanda chart ya Kuishi, kama afya haijaimarika tu genpa kutoka kuishi miaka 50 mpaka kufikikia 56 kwa kipindi kifupi cha Kikwete? jiulize.

Mengine yote uliyoandika ni pumba tupu. Nioneshe moja tu ambalo Kikwete hajafanya zaidi ya Rais mwingine wowote wa Tanzania. Nnakuhakikishia hauna.

ww nyumba ndogo ya kikwete nini ebu nipe mapungufu ya jk kama kweli ww great thinker! si umetoa mazuri yake! maana navyojua kila kitu kina duniani hata ww there is +ve and -ve!
 
si bora ya kikwete kuliko nyerere ambaye alitawala watu mpaka wakatembea uchi kule mtwara !
 
Umetumwa? Kajipange halafu uje na hoja zinazoeleweka kuliko hizi porojo.
 
Mbona hii thread imevamiwa na vibaraka wa sisiem? Tena wasiokwenda hata shule masikini. Kwani mwanaharakati ana tatizo gani kueleza ukweli. Tatizo kanga za bure na pilau zinawafanya mumwone jk kuwa ni malaika. Mimi nadhani kama ni bidhaa basi hii ya kichina.
 
si Jk tu kashindwa hata Dr Slaa na Mbowe, Mrema, Mbatia woooote ni kapu moja

Tena hawa wakipata ndiyo tabu tupu, japo kwao bado ni ndoto kubwa kuongoza nchi. Wataishia kuwatuma hawa Edson kuleta majungu tu humu JF then wao wanaenda kunywa chai na juice na mkulu magogoni.
 
Mbona hii thread imevamiwa na vibaraka wa sisiem? Tena wasiokwenda hata shule masikini. Kwani mwanaharakati ana tatizo gani kueleza ukweli. Tatizo kanga za bure na pilau zinawafanya mumwone jk kuwa ni malaika. Mimi nadhani kama ni bidhaa basi hii ya kichina.

Hakuna wana CCM humu, kuna wanaJF na kama wapo na wewe ni wa chama gani?
 
Hili ndio tatizo la nchi kuongozwa kiushikaji,na bado kufikia 2015 nchi itakuwa muflisi,na huyo watu wanaompigia debe utazani wamelogwa ndio atakuja kuizika tanzania na marafiki zake, hakutakuwa na kuwajibishana na kikubwa itakuwa eti wamepigania pamoja kipindi cha mpito,maskini tanzania inaendelea kuwa ya kikundi cha watu wachache badala ya wote.
 
ungefupisha maneno tusome wengi. sina comment sijamaliza kusoma ninachoona tu ni kama una chuki binafsi na Jk au uko chama cha upinzani au mwanaharakati

Uvivu wa kusoma na kufikiri vinakusumbua!Kwa hiyo hujamaliza kusoma,halafu ukahisi ni chuki binafsi za upinzani?Foolish!!!
 
huna jipya ni yale yale na kibwagizo kilele na waimbaji walewale. aliyekutuma mwambie angoje hadi 2015 atapata maumivu makali moyoni kama hataki kukubaliana na hali halisi kwamba Jk ndiye Rais wake ama kama alimpa kura au hakumpa kura.

Yeah,atangoja,lakini maumivu ya huyo katu*i wa hapo magogoni nawe utayapata,labda uhame nchi!Maisha yanazidi kuwa magum,na kwa jinsi ulivyo andika inaonesha unasumbuliwa na njaa ya siku nyingi!
 
memwaga pumba bila ushahidi wowote, ngoja nikupe ushahidi kuwa Kikwete Rais, bora.

Tanzania kwa mara ya kwanza kabisa imepata tuzo ya Utawala bora kutoka Umoja wa Mataifa, ulishasikia tuzo kama hiyo kabla ya Kikwete?

Halafu kwa mara ya kwanza Tanzania imepanda chart ya Kuishi, kama afya haijaimarika tu genpa kutoka kuishi miaka 50 mpaka kufikikia 56 kwa kipindi kifupi cha Kikwete? jiulize.

Mengine yote uliyoandika ni pumba tupu. Nioneshe moja tu ambalo Kikwete hajafanya zaidi ya Rais mwingine wowote wa Tanzania. Nnakuhakikishia hauna.
Hiyo tuzo ina faida gani kwa Mtanzania aliye maeneo ya Bagamoyo ama Lugoba ama hata mimi mtu wa Kijijini? Hajaitangaza Chalinze kuwa Wilaya.
 
Back
Top Bottom