Elections 2010 Kikwete Alivyoanguka Jangwani

Ngareni3

Member
Dec 4, 2006
31
2
Mimi kila nikiangalia hii thread machozi yananitoka. Kwa kweli inatia huruma sana. Rais ana huruma au nini? Mimi nadhani kwa sasa lazima Waziri wa Afya aingilie kati _ Dr Mfisi should be out kwa kuwa kiungwana aliwaahidi watz kuwa watakuwa makini na afya ya Rais baada ya tukio la Mwanza na kwa kuwa hawajakuwa waangalifu ajitoe. Huyo mpambe naye out. Rais alishaonyesha dalili zooote za kuanguka yeye kasimama tu kama mshumaa, naye out.

Hebu itazame na wewe kama alivyokuwa nayo Mwanakijiji.............

Kuanguka kwa Rais Kikwete Jangwani? Kwanini asijiengue?
 
Wanadai wamempunguzia siku za kampeni na kwamba eti sukari ilishuka kwa sababu ya swaum. Simple answers for difficult questions! Afichaye maradhi....!
 
Swaumu hapana. kwa kuwa naamini Daku analopata Rais si la mchezo. anaweza kukaa na njaa wiki moja. Sukari nayo ni out. Wataalamu wanasema hadi ifikie kukolapse ni muda mrefu sana na pia si rahisi kwa well taken care kama Rais. Wengine wanadhani ni Skadi la yahya alisahau sehemu kumbe kaweka negative no kwa direction kumbe alitakiwa kuweka positive na hivyo skadi likarudi nyuma....
lakini kikubwa ni ile huzuni. hata mimi nikianguka katika kibanda changu cha mkaa tu ntaficha uso. sembuse rais.... dunia nzima imeandika hilo tukio ambalo ukiligoogle sasa hivi lipo kila nchi. china, india, zambia, etc etc. Mimi namwombea Mungu tukio hili liwe la mwisho kwake.....
 
Kauli ya mwisho kabla ya kuanguka

.........tutatekeleza mengi na tutafanya mengi zaidi.............Aiseeeee............. tupeni ridhaa yenu tutayafanya zaidi tutafanya..........mamu.....mamunguooo.....................

Inasikitisha sana ila sitaki rais anayeanguka anguka ovyo kwa hilo sifichi mbali ya yeye kufedheheka inatufedhehesha watanzania wote. Nilikuwa naongea na Mkenya mmoja akaniambia nasikia rais wenu ana kifafa nikamuuliza nani kakwambia, nimemuona kwenye You Tube kwanini mnachagua rais mgonjwa na mimi nikamwambia kwa nini na nyie mnachagua rais kilema si alivunjika mguu. Lakini ukweli nilisononeka.
 
piga chini madaktari wa raisi ni wazembe na hawamshauri vizuri!! Kuna siku yatatokea makubwa zaidi ya haya!!!
 
Swaumu hapana. kwa kuwa naamini Daku analopata Rais si la mchezo. anaweza kukaa na njaa wiki moja. Sukari nayo ni out. Wataalamu wanasema hadi ifikie kukolapse ni muda mrefu sana na pia si rahisi kwa well taken care kama Rais. Wengine wanadhani ni Skadi la yahya alisahau sehemu kumbe kaweka negative no kwa direction kumbe alitakiwa kuweka positive na hivyo skadi likarudi nyuma....
lakini kikubwa ni ile huzuni. hata mimi nikianguka katika kibanda changu cha mkaa tu ntaficha uso. sembuse rais.... dunia nzima imeandika hilo tukio ambalo ukiligoogle sasa hivi lipo kila nchi. china, india, zambia, etc etc. Mimi namwombea Mungu tukio hili liwe la mwisho kwake.....
Ni kweli mkuu dunia nzima sasa inajua kuwa rais wa Tanzania ni mgonjwa habari zinasambaa kama nini ni sawa na habari za ugonjwa wa Umaru Yar'Adua RIP wa Nigeria, sema vyombo vya nje havina interest kumbwa na nchi yetu kama Nigeria ingekuwa balaa. Lakini nafikiri litaibuka siku za mwishoni mwa kampeni ambapo vyombo mbalimbali vya nje vitakapoanza kufatilia uchaguzi lazima vitamhoji.
 
Watu wa Dar hamna adabu kabisaaaa. Nimepata habari kuwa Mkwere mumemfanya Mpare sasa!!!!

Mtamwitaje mtu Mrisho JK Mziray????
 
piga chini madaktari wa raisi ni wazembe na hawamshauri vizuri!! Kuna siku yatatokea makubwa zaidi ya haya!!!

Msiwasingizie madaktari, Dr. anaanzia ku-deal na issue ya mgonjwa baada ya kupewa maelezo ya mgonjwa. sasa kama halalamiki chochote kwa Dr, Daktari atajuaje kama ana matatizo? ukweli ni kwamba Wa- Tz kumekucha, hebu tupige moyo konde. tusiongozwe na watu wanaopoteza fahamu mara kwa mara. Ndo maana wajanja wana yajua haya, wanachota pesa harafu wanajua aliyeko madarakani ni mgonjwa hawafanyi lolote!
 
Wanadai wamempunguzia siku za kampeni na kwamba eti sukari ilishuka kwa sababu ya swaum. Simple answers for difficult questions! Afichaye maradhi....!

Hakuna cha sukari wala nn.Mnajua pale jangwani ni patakatifu sana papa keshafanya mkutano pale na mikutano mingi ya injili inafanyika pale pia.Sasa rais wenu na zile HIRIZI
na wale waganga 50 waliokuwa pale mlitegemea nn?
 
Back
Top Bottom