Kikwete alienda Ujerumani lini?

Machale yananicheza hapa.Mie nadhani ni masuala ya AFYA....don't quote me,labda Muungwana alienda ku-flush....kwa sababu kama ingekuwa ni suala la ndege ya ATC basi angeweza kusubiri hadi Bush aonodke then akasawazishe masuala,hasa ikizingatiwa kuwa ANA ZIARA NYINGINE YA ULAYA MAGHARIBI HIVI KARIBUNI.Lazima kitakuwa kitu cha haraka ambacho hakupaswa kusubiri.Inawezekana ilibidi iwe kimyakimya kwani ingetangazwa kuwa anakwenda kuchekiwa TENA afya yake watu wangeanza kukumbukia zile tetesi za wakati wa uchaguzi na lile hitimisho la kuanguka pale Jangwani.Conspirancy theory?Could be,but connection ya Lowassa na Richond started like a conspirancy theory until when he ended up being named and shamed by Kamati ya Mwakyembe.
 
Waliohudhuria mkutano ule wanasema aliposema, "thank you for coming back from Germany today" alimuelekea Rais wa Zanzibar, Amani Abeid Karume, ambaye alirejea kutoka Ujerumani ghafla. Na kwa neno "today" hapo Kikwete hayumo.

ANGALIZO

Hiyo ya Karume haiondoi uwezekano wa Kikwete kwenda Ujerumani kuangalia ndege...

Pia, kama kweli JK aliweza kutoroka na kurudi mara moja, basi nadhani ana jeuri na ujasiri mkubwa sana, lakini ujasiri na jeuri hiyo angeitumia mapema zaidi kumtimua Lowassa na si kumsubiri Mwakyembe na kundi lake.

No, sio ujasiri, we call that "recklessness" Rais mzima hatakiwi kuwa 'reckless' namna hiyo.
 
Back
Top Bottom