Kikwete, akutukanaye hakuchagulii tusi!

inabidi tuwe makini sana na hii gesi,naona dalili si nzuri kabisa.

Mkuu ebu tuweke sawa, Tz imewahi kuwa makini katika lipi kwa kipindi cha takribani miaka kumi hadi sasa, hadi utoe tahadhari ya kuanza kuona dalili isiyo nzuri katika gesi yake?
 
Tuliyataka wenyewe! Tuliambiwa na Mwalimu masikio tukayaweka pamba.... Huyu jamaa ana 'mental age' ya 'teenager'!
 
o9.jpg

Picha hii weka maneno yako mwenyewe kuhusiana na Kanada kumpa zawadi ya jezi rais Jakaya Kikwete.

Muone anavyofurahia, kweli kuna aina nyingi ya watu, na hii nayo ni aina pia!
 
Foleni dsm ni ishara ya maisha bora-Jk.
mjomba umetudhalilisha sn walivyokuja Ivory coast ulimpa drogba jez tukajua kwa sbb yule mchezaj wewe je! kulikon? hao wazungu wamekuchoka ipo cku watakupa kinga/salama...
 
Kama safari tu atazipata nyingi sana kwani wameona kuna mafuta,gesi,almasi,gold uranium

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
kwenye mjadala wa uraisi merekani Rommeny alimlaumu Obama ku-export kazi chini, sasa sisi kiongozi wetu ana export utajiri wetu na kazi canada na usa
 
Alipohongwa Suits mlisema, now kapewa jearsey ya mchezaji wa Akiba (tena sio top 11) mnasema. Wazungu wameshajua weakness ya Vasco ni nguo, sasa tunataka JK afanye nini?
 
Akili za kuambiwa...................................teh teh teh.............Mh akimtambulisha mchezaji mpya toka bagamoyo maeneo ya saigon.......Pigeni makofi tafadhali.
 
Lazima tujiulize namba 12 ina maana gani.....namba 12 is often used as sales unit in trade and is often refered as dozen.... changanua mwenyewe....
 
fedheha...brazil wakikupa jezi yao labda kwa kua kwao mpira wa miguu ni kitu muhimu na jezi yao inayojulikana dunia nzima...sasa canada wakikupa jezi ya mpira wa miguu maana yake nini?
 
Hawa wazungu nao wasitake kutuzingua sasa, kama vipi na wao wakija kwetu tuwape jezi za mtibwa shuga heh

JF members mbona hamuelewi....Rais wa nchi ni mwakilishi/symbol ya raia wake. JK kupewa maana yake tunastahili kupewa jezi.. sisi ni taifa la kucheza cheza.. we are not serious..mpoz...? Tumeyataka wenyewe... nataka mchangiaji yeyete aje na picha inayomuonyesha rais au kiongozi wa nchi zilizoendelea anayepewa vizawadi kama jezi...napinga...Chief Mangungo wa Korogwe naye alipewa shanga akatoa ardhi sisi wa leo leo tuantoa dhahabu na gesi...historia inajiridia. kWA TAAARIFA YENU NA PROF MUHONGO YOPO KWENYE MSAFARA..

Tutajiju.. na
 
UWT/TISS mpo...ilitakiwa mjue rais atapewa zawadi gani mapeme mmshauri akataie.. mambo ya jezi jezi ni udhalilishaji...TISS has always failed this nation.
 
fedheha...brazil wakikupa jezi yao labda kwa kua kwao mpira wa miguu ni kitu muhimu na jezi yao inayojulikana dunia nzima...sasa canada wakikupa jezi ya mpira wa miguu maana yake nini?

Ni kweli kabisa. Nimejiuliza lakini sijangamua nini maana ya jezi katika utamaduni wa Wakanada. Labda tupate ufafanuzi kutoka kwa watu wa protokali.
 
"Mtu ana chupa na wewe una almasi anakupa chupa unampa almasi halafu unakenua meno kama zuzu" Nyerere aliona mbali sana...

Inategemea na mahitaji yako ya wakati huo, mtu unaweza kumpa donge la dhahabu ili upate maji ya kunywa funda moja kutegemea na mahitaji yako.
 
Back
Top Bottom