Kikwete akutana na baraza la Mawaziri leo

Mathias Byabato

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
1,020
691
Nimesoma hapa kwamba Mkubwa amekutana na baraza lake leo asubuhi,Lakini wanachojadili bado kujulikana

Nafikiri lie suala la bomoa bomoa la kumpiga stop magufuli litakuwepo.

mawaziri.jpg
 
........hata lile la maandamano ya CHADEMA,tiba ya babu wa Loliondo nayo nahisi kuwa yatajadiliwa(haya ni maoni yangu tu)
 
unafikiri ana lolote yule jamaa pale alipo?

natamani atumia mda huu kama anakuana nao then awaage na kuachia madaraka..........tuna miaka 5 huu wa 6 tunajiongoza wenyewe
 
unafikiri ana lolote yule jamaa pale alipo?

natamani atumia mda huu kama anakuana nao then awaage na kuachia madaraka..........tuna miaka 5 huu wa 6 tunajiongoza wenyewe

Yeah, the only country in the world, which it's citizens can get away and go on with their lifes in peace without having a leader/leadership
 
Nashukuru kwa taarifa lakini kikao chao ni lazima Sitta, Mwakyembe na Magufuli waonywe, maana hawa jamaa wamekaa kama CDM B vile!
 
Yote masanii hayana lolote (isipokuwa Sitta, Magufuri na Mwakyembe). Utakuta hapo tu kukaa kikao kimoja milion 35 zinaenda... Yanaogopana, yanatuibia, mwisho wa siku sisi walala hoi ndo tunabeba mzigo wa gharama za maisha.... Natamani ningepata salia la kombora ambalo halikulipuka Gongo la Mboto nikawarushia hapo mezani nao wakapata hata cheche za moto wapate akili za kufikiria na kutekeleza wajibu wao.
 
Back
Top Bottom