Kikwete Akubali Sera za Chadema, achangia harambee ya Chadema 10m/-

gambatoto

Senior Member
May 25, 2011
175
28
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, ameahidi kutoa Sh. Milioni 10 kwa kuchangia Mfuko wa Maendeleo ya Elimu ya Jimbo la Nyamagana linaloongozwa na Mbunge Ezekia Wenje wa Chama cha Maendeleo na Demokrasia (Chandema).

Mytake: Nampongeza Rais kwa kutokuwa mnafiki, ameonesha waziwazi jinsi anavyokunwa na sera za CDM za maendeleo

Source: Nipashe
Home
 
Mbona hii sio habari hapa? imesharipotiwa siku 3 zilizopita, tafuta thred yake utaiona.
 
Back
Top Bottom