Kikwete akubali kukutana na CHADEMA

chadema huwa wanacheza na akili za watanzania. Wanatafuta cheap popularity.

Ngoja wakaonane na rais wao.

Ndugu ebu tufanye mizaha na ushabiki katika mambo mengine ya kijinga siyo Katiba. Kama CDM wameona ni busara kushauriana na Rais tupongeze hiyo hekima ya viongozi wa CDM. Na kwasababu Rais ametumia busara kukutana na CDM tumpongeze. Katiba inahusu maisha yetu wote,watoto wetu,wajukuu wetu na watoto wao! Acha ushabiki wa Simba na Yanga katika issue nyeti kama hii. Wengine wamefikia hapo baada ya kumwaga damu nyingi na kusambaratisha mataifa yao.
 
Acha porojo wewe Tundu Lissu angekuwa anajua hayo angetoka bungeni?
 
Ndugu ebu tufanye mizaha na ushabiki katika mambo mengine ya kijinga siyo Katiba. Kama CDM wameona ni busara kushauriana na Rais tupongeze hiyo hekima ya viongozi wa CDM. Na kwasababu Rais ametumia busara kukutana na CDM tumpongeze. Katiba inahusu maisha yetu wote,watoto wetu,wajukuu wetu na watoto wao! Acha ushabiki wa Simba na Yanga katika issue nyeti kama hii. Wengine wamefikia hapo baada ya kumwaga damu nyingi na kusambaratisha mataifa yao.

kwanini waliamua kutoka bungeni, mapendekezo yao wangewasilisha bungeni.
 
Mmegundua kitu?...

Just JK kukubali kukutana na Ujumbe wa CDM tayari upepo wa kisiasa umegeuka... Yaonyesha wananchi wako pamoja isipokuwa haya maswala ya ushabiki wa Yanga na Simba ndio tatizo la nchi yetu..
 
Mkuu hiyo isikupe shida kumbuka huu mjadala wa katiba mpya ilivyokuwa ikipingwa na mashabiki wa CCM, viongozi wa CCM na hata viongozi waandamizi serikalini. jK aliposema tu kuna haja hiyo ghafla upepo ukabadilika, ooh JK msikivu, katiba mpya hoja ya CCM, bila JK katiba mpya mngeisikia redioni etc.. Usije shangaa baada ya majadiliano hayo JK say akiwaambia wabunge wa ccm kwamba CHADEMA wana hoja na maoni yao yazingatiwe. Same pple wakahama from their previous positions and premises. Hivyo ndivyo Tanzania na watanzania walivyo, need I say more?
 
Ninavyoona, Rais wetu anaangalia mbali kuliko ushabik wa kisiasa. It is an opportunity for him to go down in history AS THE GREATEST STATESMAN THIS NATION HAS HAD. Akifanikiwa kuleta constitution FOR THE PEOPLE BY THE PEOPLE, atakumbukwa zaid ya mtawala YEYOTE aliyoongongoza hii nchi.

He needs our support!

Jipe Moyo.......!!
 
Mkuu hiyo isikupe shida kumbuka huu mjadala wa katiba mpya ilivyokuwa ikipingwa na mashabiki wa CCM, viongozi wa CCM na hata viongozi waandamizi serikalini. jK aliposema tu kuna haja hiyo ghafla upepo ukabadilika, ooh JK msikivu, katiba mpya hoja ya CCM, bila JK katiba mpya mngeisikia redioni etc.. Usije shangaa baada ya majadiliano hayo JK say akiwaambia wabunge wa ccm kwamba CHADEMA wana hoja na maoni yao yazingatiwe. Same pple wakahama from their previous positions and premises. Hivyo ndivyo Tanzania na watanzania walivyo, need I say more?
Kweli kabisa, si mnakumbuka wakati wa kura za maoni wakati wa kuamua kama tuwe na vyama vingi au la..? Wa upande upi walikuwa wengi..? Na si mnakumbuka nini kiliamuliwa..? Jaji mkuu alikataa katiba mpya, waziri wa katiba mpya lakini mara baada ya kikwete kusema tofauti na wao hakuna aliyepinga. Hivyo hata JK akiamua tofauti na misimamo yao bado watakubali kwa mbwembwena VISWAHLI vingiii..
 
Jamani tuache unafiki,hivi mtu aliyewaponda katika kauli zake leo anasema eti amefurahi wao kuomba kukutana naye na kusema ni jambo jema,Hivi anajifanya hajui kwa nini wanataka kuonanan naye?Je atakubaliana na matakwa yao au ndo kutuzuga watanzania kwamba yuko pamoja nasi?Wanahabari wetu angalieni maneno mnayotuambia kwani siyo yote yanaleta tija
 
Wakuu wana jf kumbukeni hili CHADEMA walimkimbia J.K BUNGENI,wakidai uchaguz haukuwa wa haki sasa leo IKULU wanakwenda kujadili na nani kuhusu KATIBA?
 
Back
Top Bottom