Kikwete akubali kuhusika na wizi na benki kuu

Hiyo miezi sita aliyotoa Mheshimiwa sana Vasco ni ya nini hasa? Kuchunguza nini hasa wakati waliokomba mboga wanajulikana; isitoshe ripoti ya E&Y si anayo? Au ndio tutaambiwa kuwa huo uchunguzi ni mapendekezo ya ripoti hiyo nini?
 
HILI NI TATIZOLA KUWA NA HARAKA KULIKO WEPESI,TUME ZIMEUNDWA WAMEPEWA MIEZI SITA MNATAKA KUJUA KWA NINI HAJAKAMATWA.WATU HAWKATWI BILA TARATIBU NDUGU YANGU NI LAZIMA SHERIA ZIFUATE MKONDO WAKE.WAPENI MUDA MAWAZO YA UDIKTETA HAYANA NAFASI

Hivi, kama ninaweza kumpongeza M/Kike au M/Kjj kwa jumbe makini wanazotoa, Je, haki hiyo ninayopia kumsiriba mtu anayeleta pumba humu jamvini?

Kama jibu ni ndiyo, basi niseme: nasikia kut.p..ka kila nikisoma replies za Fisadi Mtoto. Nashauri kwamba hata kama kuna uhuru wa kutoa maoni, basi hapa JF watu kama huyu Mtoto wapewe uhuru wa kusoma na kusikiliza maoni mpaka hapo watakapokuwa wamekuwa. Hiyo ndiyo itakuwa haki na stahili yao.

Pili, jina huashiria matendo. Na mtazamo wetu wana JF lazima uendane na utambulisho wetu. Mwl aliwahi kusema "Kiongozi ukisema unaichukia rushwa, tukikuangalia wewe na matendo yako yatudhihirishie maneno yako" Huwezi kuruhusu kukaa na Mwanajeshi mpinzani katika kombania na ukampa haki na stahili zote sawa na za wale watiifu. Yamkini atawapotosha watiifu au itasaliti. Imekuwa tabia yetu ya damu Wadanganyika kila mara kutafuta fimbo baada ya kuumwa na nyoka au kukinga baada ya mvua kukatika. (Rejea tukio la Mushi). Hebu JK tujifunze mara moja maana tayari tulikwisha umwa na nyoka. Tungeyafanyia kazi ya JJ Mnyika Habari na historia ingekuwa Ushindi kwetu.

Hatujachelewa, maadamu JF bado iko mahali pake pa enzi, Moderator naomba kuwasilisha. Mpe limited access Fisadi Mtoto. Mwachie uwezo wa kusoma na kusikiliza audio au kuangalia video hapa JF.

Naomba kupingwa na kuungwa mkono![/QUOTE]

Hili halikubariki kumu limit mtu ku access sababu za hoja zake.

Ila ninacho unga mkono mie kama kweli wana JF tumejitoa kutetea haki bila woga wowote tutumie majina yetu halisi hili la kutumia majina bandia lina leta wrong signal aiza hoja ama isue inayoletwa huna uhakika nayo ni ya kupika au huna cha kujiamini na hoja zako ama wewe ni mwoga tu kama kunguru ambaye kamwe huwezi leta mabadiriko ktk jamii maana unaogopa kutumia jina lako wafisadi wasikupe wakati mgumu.

Kuhusu JK kumkamata Balali na wafisadi wengine kitu nachohisi tunakimiss ni kumtenganisha JK na ufisadi.
sasa nyie mnataka ajikamate mwenyewe na ajiweke jela mwenyewe kwani JK ni KUKU anayejitia jela mwenyewe kwa kuatamia mayai.?

Balali ni fisadi wa kutengenezwa lakini mwalimu wa ufisadi ni JK na Mkampa ndiyo maana fisadi mwanafunzi wamemficha na wao makomandoo wa ufisadi ma stering hawana haja ya kwenda mafichoni maana wana long experience nayo na watakabilia na ghasia zote na kutoka vifua mbele.
 
Ni Suala Amabalo Haliingi Akilini Wizi Kama Ule Unainvolve Watu Wengi As A Result Kafara Anatolewa Mmoja!
Keep It Up Mwafrika Wa Kike,keep It Up Wabunge Kwa Kutaka A Full Report.
Apa Inaonyesha Ni Kwa Jinsi Gani Uzalendo Ulivyokuwa Bidhaa Adimu Kwa Hawa Viongozi Wetu.
Manake Uku Ni Kukomba Mboga Ni Hii Inajidhihirisha Ya Kuwa Wengi Wao Walianza Kwa Kuiba Vibilioni Vichache Sasa Kwa Kuwa Walikuwa Hawachukuliwi Atu Wakaamua Kufanya Maasi Ya 133.
Watanzania Wanateseke At The Expense Of Few People.leo Nimesikia Kuna Watu 75 Wamekamatwa Apa Mbeya Kisa Wameshindwa Kulipa Sh 20,000 Ya Kujengea Zahati.
Nasikia Na Hukumu Imesomwa Jera Miezi Sita Ama Sivyo Fine Ya Tsh 75,000.
Watanzania Tunakwenda Wapi.mnyonge Mnyongeni Lakini Haki Yake Atimiziwe.
Ndani Ya Nchi Yako Unateswa Then Utakimbilia Wapi?
Tunakoelekea Watu Watachoka Then Yatafuata Yanayotukia Kenya
 
Back
Top Bottom