Kikwete Akabidhiwa jukumu la kulinda maisha ya Dr Slaa!

Mnakumbuka huyu Dogo anayejiita Nova Kambota,alidai amesoma Ilboru,alikuwa anapost nyingi sana za Kumkashifu Dr Slaa kipindi cha uchaguzi,alikuwa anajitanabaishsa kama mwanaharakat asiyevutiwa na Siasa za CHADEMA, leo hii kwa maneno yake anakubali kuwa Dr Slaa ni Tishio kwa CCM na serikali yake.<br />
Na mtasema sana tu
<br />
<br />
Novatus Kambota ni mnafiki aliesomea Unafiki na Kukubuhu! Sasa ameanzisha Tovuti yake na kujifanya ni mwanaharakati na mbaya zaidi hapa JF ana ID kama 10 na zaidi! Huyu anarudisha nyuma mawazo ya kujenga Nchi yetu! Hafai kabisa! Hata tovuti yake inaonesha ni mtu ambae uwezo wake wa kufikiria ni mdogo sana!
 
Nimeshasikia mara nyingi tukiwa site kwamba walinzi wa kabila ni watz ila pa kuthibitishia ndio tatizo, so kamanda km kweli una data khs hilo hembu tujuze fresh.
 
Back
Top Bottom