Kikwete Akabidhiwa jukumu la kulinda maisha ya Dr Slaa!

Yah ni jambo la kidipromasia zaidi!

Walinzi wa rais Kabila wa Congo ni watz hii ilikuja baada ya serikali ya tz kushindwa jaribio lake la kumuua likiratibiwa na mkapa siku aliyouawa makamu wa rais watz
Baada ya kubumbuluka kabila alitaka kulifikisha suala hilo UN ndipo tz ikaomba radhi kwa kutembelea magoti kabisa, kabila akawaambia kuwa usama wa maisha yake anaukabidhi kwa tz!

Tangu hapo ulinzi wote wa ngazi ya juu pa Ikulu ya kinshasa ni wa kibongo!!

Ndio maana wakongo wengi wanatulalamikia kwamba Tanzania inamkono katika serikali ya Rais wao Kabila. Na wanasema kabila ni m'bongo sio mkongo. kigezo wanasema alizaliwa TZ. Kwa hiyo hajui mazingira ya watu anaowaongoza. Hawa wakongo wanalalamika sana kuhusu TZ kwamba inawanyima demokrasia. Sasa ndio ninaaza kupata majibu ya kuwa ni kweli wanacholalamika.

Mods washa izuia zaidi ya mara tatu nilijaribu bila mafanikio nikaambulia bun!

Achana na MOD. Nipe PM nitajua jinsi ya kuitumia. Ukishindwa nitakupa email yangu ya kiujweliukweli ya yahoo na huko ndiko kiboko ya wazuia mawasiliano na viblogu vyao. Email yangu ninaweza kusambaza message kwa watu 500 at a time.

dr-slaa-31.jpg

Kwa kawaida kwenye maisha hata uendeshaji wa nchi kuna siri kubwa lakini kwa hili la sasa hakuna tena usiri bali ni ukweli kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano Mh Jakaya Mrisho Kikwete ambaye pia ni mwenyekiti wa chama cha mapinduzi CCM amejiapiza kuongeza ulinzi kwa kiongozi mkuu wa upinzani nchini na katibu mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa.Ingawaje taarifa ambayo kwa mara ya kwanza inachapwa kwenye tovuti hii lakini ukweli utabaki hivyo kuwa kutokana na umaarufu unaozidi kukua wa Dr Slaa huku pia idadi yake ya maadui ikikua kwa kasi pia wadau mbalimbali wa ndani na nje ya nchi wamemtaka rais Kikwete kuhakikisha kuwa mwanasiasa huyo hadhuriwi na mtu kwa madai kuwa jambo lolote baya dhidi yake linaweza kuleta hali ya vurugu nchini au taharuki kutoka kwa maelfu ya wafuasi wake.
Hali hii imemshawishi rais Kikwete na serikali yake kuongeza ulinzi kwa kiongozi huyo huku taarifa zaidi zikibainisha kuwa licha ya kuwa mwanasiasa lakini pia Dr Slaa ni raia kama watanzania wengine na anahitaji ulinzi wa maisha yake pia.
Tovuti hii inatoa wito kwa watanzania wenye tabia ya kubisha pasipo hoja au utafiti kufanya upelelezi kwenye mikutano ya Dr Slaa na misafara yake ndipo watabaini ni jinsi gani uongozi wa rais Kikwete unafanya kazi ya kumlinda kikamilifu Dr Slaa ili asidhuriwe na wabaya wake.
from .novakambota.com
Mnakumbuka huyu Dogo anayejiita Nova Kambota,alidai amesoma Ilboru,alikuwa anapost nyingi sana za Kumkashifu Dr Slaa kipindi cha uchaguzi,alikuwa anajitanabaishsa kama mwanaharakat asiyevutiwa na Siasa za CHADEMA, leo hii kwa maneno yake anakubali kuwa Dr Slaa ni Tishio kwa CCM na serikali yake.
Na mtasema sana tu

mia

Tujiulize
Je dr slaa au Chadema kama chama wikipewa chambo ya kuuuziwa nyumba za serikali masaki au mikocheni kwa vingozi wake wakuu kama watatu kwa kivuli cha usalama watagoma??????????

Nijuvyao mimi sanaa za CCM wanaweza kupitisha sheria kuwauzia nyumba za serikali viongozi wa vyama tena inawezekana vyote vya siasa. I can see ni wachache wanaweza kuchomoa kwenye mtego huu

dr-slaa-31.jpg

Kwa kawaida kwenye maisha hata uendeshaji wa nchi kuna siri kubwa lakini kwa hili la sasa hakuna tena usiri bali ni ukweli kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano Mh Jakaya Mrisho Kikwete ambaye pia ni mwenyekiti wa chama cha mapinduzi CCM amejiapiza kuongeza ulinzi kwa kiongozi mkuu wa upinzani nchini na katibu mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa.Ingawaje taarifa ambayo kwa mara ya kwanza inachapwa kwenye tovuti hii lakini ukweli utabaki hivyo kuwa kutokana na umaarufu unaozidi kukua wa Dr Slaa huku pia idadi yake ya maadui ikikua kwa kasi pia wadau mbalimbali wa ndani na nje ya nchi wamemtaka rais Kikwete kuhakikisha kuwa mwanasiasa huyo hadhuriwi na mtu kwa madai kuwa jambo lolote baya dhidi yake linaweza kuleta hali ya vurugu nchini au taharuki kutoka kwa maelfu ya wafuasi wake.
Hali hii imemshawishi rais Kikwete na serikali yake kuongeza ulinzi kwa kiongozi huyo huku taarifa zaidi zikibainisha kuwa licha ya kuwa mwanasiasa lakini pia Dr Slaa ni raia kama watanzania wengine na anahitaji ulinzi wa maisha yake pia.
Tovuti hii inatoa wito kwa watanzania wenye tabia ya kubisha pasipo hoja au utafiti kufanya upelelezi kwenye mikutano ya Dr Slaa na misafara yake ndipo watabaini ni jinsi gani uongozi wa rais Kikwete unafanya kazi ya kumlinda kikamilifu Dr Slaa ili asidhuriwe na wabaya wake.

from novakambota.com

Dr Slaa ni nani ndani ya Tanzania.

Mimi ama Sheria zenu zinamtambuka kama mwananchi yoyote wa kawaida ambaye katika hiyo imeweka wazi kuwa anastahili kulindwa yeye pamoja na mali zake na vyombo husika vya dola kwa mujibu wa katiba na nafasi yake katika jamii.

hawezi kupewa ulinzi wa ziada kama atakao pewa waziri mkuu au jaji mkuu au hata Spika.

Porojo za Kambota kutoka Facebook hadi JF! Hivi huyu Dr Slaa si ndie yule Padri aliepora Mke wa Mtu? Sasa maadui wake kama Mshumbusi watamuacha? Dr Slaa ameona ana kosa la kupora wife wa mtu anataka Serikali impe ulinzi! Haahahaha janja ya Nyani kula hindi bichi! Lazima Mshumbusi akufanyie kitu mbaya Dr Slaa,malipo hapahapa duniani! Kamuombe radhi Mshumbusi yaishe uishi kwa amani Dr Slaa!

tupe chanzo cha taarifa acha maneno ya mtaani au umeeona kisha unahitimisha kwamba ulinzi ni wa kikwete kwa nini usiseme pengine chadema wameamua kuimarisha ulinzi wake?

Porojo za Kambota kutoka Facebook hadi JF! Hivi huyu Dr Slaa si ndie yule Padri aliepora Mke wa Mtu? Sasa maadui wake kama Mshumbusi watamuacha? Dr Slaa ameona ana kosa la kupora wife wa mtu anataka Serikali impe ulinzi! Haahahaha janja ya Nyani kula hindi bichi! Lazima Mshumbusi akufanyie kitu mbaya Dr Slaa,malipo hapahapa duniani! Kamuombe radhi Mshumbusi yaishe uishi kwa amani Dr Slaa!

Rotten propaganda!

Kwa kawaida kwenye maisha hata uendeshaji wa nchi kuna siri kubwa lakini kwa hili la sasa hakuna tena usiri bali ni ukweli kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano Mh Jakaya Mrisho Kikwete ambaye pia ni mwenyekiti wa chama cha mapinduzi CCM amejiapiza kuongeza ulinzi kwa kiongozi mkuu wa upinzani nchini na katibu mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa.Ingawaje taarifa ambayo kwa mara ya kwanza inachapwa kwenye tovuti hii lakini ukweli utabaki hivyo kuwa kutokana na umaarufu unaozidi kukua wa Dr Slaa huku pia idadi yake ya maadui ikikua kwa kasi pia wadau mbalimbali wa ndani na nje ya nchi wamemtaka rais Kikwete kuhakikisha kuwa mwanasiasa huyo hadhuriwi na mtu kwa madai kuwa jambo lolote baya dhidi yake linaweza kuleta hali ya vurugu nchini au taharuki kutoka kwa maelfu ya wafuasi wake.

Hali hii imemshawishi rais Kikwete na serikali yake kuongeza ulinzi kwa kiongozi huyo huku taarifa zaidi zikibainisha kuwa licha ya kuwa mwanasiasa lakini pia Dr Slaa ni raia kama watanzania wengine na anahitaji ulinzi wa maisha yake pia.

Tovuti hii inatoa wito kwa watanzania wenye tabia ya kubisha pasipo hoja au utafiti kufanya upelelezi kwenye mikutano ya Dr Slaa na misafara yake ndipo watabaini ni jinsi gani uongozi wa rais Kikwete unafanya kazi ya kumlinda kikamilifu Dr Slaa ili asidhuriwe na wabaya wake.

from novakambota.com

sasa cha ajabu ninini kama analindwa! Watu wengine mlishakosa mada za ku post humu

Baniani mbaya kiatu chake dawa?

Maisha hata Kikwete hana uwezo wa kuyalinda yake mwenyewe. mwenye kutulinda sisi sote ni Mwenyeezi Mungu, hakuna zaidi.

Back
Top Bottom