Kikwete aishukuru Tume ya Taifa ya Uchaguzi

Chimemena

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
1,376
451
Kwa kazi kubwa waliyomfanyia kuiba kura na kuchakachua matokeo ya uchaguzi 2010.
Ama kweli kuna kazi kuitoa CCM madarakani kama mambo ndo haya.
soc: ITV news bullet
 
duh! Kama ndiyo hivyo basi mkweree ni noma! Yaani anawashukuru live kwa kazi kubwa ya kuiba kura na kuchakachua matokeo, kweli magamba wana kazi kubwa!!
 
Siku zote alikua hajashukuru tu!
Au leo kaamua kushukuru hadharani!!?
 
Ripoti inakabidhiwa baada muda mrefu hivi? muda wote walikuwa wanaandaa nini?
 
****** anatia aibu sawa aliiba kura lakini sasa nayeye mpaka awashukuru waziwazi,kweli JK noma,basi na RITH yeye ashukuru,au mkuu wa kaya alishukuru kwa niaba ya familia
 
Ulitegemea nini? Bado kutoa shukurani kwa Lipumba, Mrema, Mbatia na APPT maendeleo kwa kumsaidia kupunguza kura za dk wa kweli? Hongera Kikwete, lakini miaka mitano inakaribia kuisha utaingia katika mahakama ya umma kwa kuvuruga taifa.
 
Na walioibiwa wanaangalia kama ma kondoo, haya majitu safi sana yaan yanafanywa vile JK anavyotaka kuyafanya.
 
Nilimwona anachekacheka kinafiki huku kama anaona aibu.
Eti akaahidi kufanya marekebisho kuondoa kasoro!! Jk inakiwa tume huru wewe usitie mkono hapo!
Kwa mwendo tutarajie mgogoro mkubwa na uvunjifu wa amani kwenye uchaguzi mkuu ujao! Jk nae kumbe ni kama kia Mugabe, Gaddafi!
 
Lazima awashukuru wanatume, ila kawasahau wanajeshi,usalama wa taifa waliopita kituo kwa kituo cha kupigia au kuhesabia kura na kuzichakachua kura. Au hao atawashukuru siku nyingine? au alishawashukuru?

Nawashukuru baadhi ya polisi waliotutonya tulipokuwa tunalinda kura kwamba tusiruhusu magari ya jeshi kusogea vituoni. Maeneo mengi ambayo wananchi wapenda haki walikojulishwa njama hizi za jeshi na usalama wa taifa na wananchi wakawa makini angalau uchakachuaji haukufanyika.
 
shida ni moja turimumini sana ndo iyo faida yake.ngema ukimsifia utia maji ndoo uyu baba akumbuki kiama
 
wivu huo kiongozi wa nchi asishukuru ili iweje acheni unafiki mapoyoyo nyie
 
Kwa kazi kubwa waliyomfanyia kuiba kura na kuchakachua matokeo ya uchaguzi 2010.
Ama kweli kuna kazi kuitoa CCM madarakani kama mambo ndo haya.
soc: ITV news bullet

Umesahau, amesema pia atawasaidia katika deni lao lililotokana na mambo ya uchaguzi kiasi cha 2 billion, hii ndiyo Tanzania
 
Watanzania hatuna aibu, hivi kwa madudu yale ya Makame na wenzake JK anawashukuru, najua ni sababu ya kumfanya arejee madarakani maana kamba tayari ilikuwa imeshakatika.
 
Tunasubiri waitoe hadharani tuone uongo wao. Chakusitaajabisha jamaa wamekaa wakaona kazi kubwa walioifanya ya kuchakachua matekeo hadi JK karudi madarakani, hivyo wameona wapewe cha juu bilioni 2.5 kwani JK hataweza kukataa, lazima azitoe kama shukurani. Lakini NEC wakumbuke kwamba huo mchezo wao ulitaka kuleta umwagikaji mkubwa wa damu hapa nchini kama Rwanda!. Wao wanachojali ni hayo mabilioni wayaweke mifukoni mwao. Mungu hapeni jambo - NEC watubu wamurudie muumba wao.
 
pole sana km kuna wana cdm wanaohisi nchi haitatawalika me nawaonea huruma mana wanawaza pua na mdomo.ccm inazidi kuwa pigia ngoma na wachezaji ndo nyie cdm ila hamjatambua mchezo.msisahau kucheza kiduku basi.
 
Back
Top Bottom