Kikwete ahaha urais 2010

Timu hii mkuu, they have the same motto, same agenda, same mind, same focus, mtu yeyote akisogea karibu yao ni vita. yaani ndiyo unagundua kabisa.

Yaani reaction ya wanachama wengi wa chadema sipati picha kabisa, iko so defencive, yaani wala hauamini. kuna mtu anaitwa sera ya majimbo na (wengine baadhi), Mnyika, Slaa wako so polite kupokea criticism na kujibu kikomavu. Hawa wengine naona kabisa kama akina Komba, twende ukaimbe mtwara yumo, twende kilosa yumo, twende kigoma yumo!

I dont see the problem ya kusema vyama vya siasa ni dhaifu mtu a-react mpaka kutoka povu.

so their comment zitakuwa zina recycle kila siku, kwa mtu yule yule.

Wewe mpaka mwana CCM damu FMES anaanzisha thread ya mbwembwe na kuwajoke wapinzani kuwa CCM will rule forever na kila argument unaona ina support ukweli huu, still mtu anasema mimi mpenzi wa chama fulani, inakuwa mtu anaenda kwa mwendo wa konokono akigusa tu kitu anabdaili njia, akiend huku na kuona barrier anageukia huku, we need breakthrough!!!

The topic is Kikwete ahaha urais 2010 so what are you trying to tell us back to the topic pls
 
Tatizo huwa ni kwa sababu mko wengi kwenye hilo kundi hapo juu. Jaribu kufanya kazi pekee na sio kama timu. JF haipendi mamluki.. teh teh teh

teh teh teh
Mbona kazi yangu na team tumeshamaliza, kwamba kuna jamaa mmoja humu ana id mvuaaaa na id moja yenye umarufu nayo anaposti nyingi sana tena sana.teh teh teh
 
Slaa sio mnafiki.. usijaribu hata kujipa cheo usichokuwa nacho

Chadema haitaki watu wanafiki kama wewe. Thanks but no thanks!

mwafrika yuko kwenye mission kufukua mamluki wa ccm wanaojipendekeza hapa na kujivika vazi la upinzani. imekuwa tu bahati mbaya kwako kuwa wewe ndiye uko kwenye mwanga leo.

Mbona sasa hivi umesema wapinzani na sio chadema?

Mnafiki akisema ukweli siyo ukweli, mpaka asiwe mnafiki ndiyo unakuwa ukweli?
 
Ona sasa, umerudi kwenye play book ya timu yako... i hope kipindi hiki hutaanza matusi kama uliyotoa last time hadi ukafungiwa.
 
Mnafiki hawezi kusema ukweli... kwa sababu hakuna ukweli kwenye unafiki (to begin with).
 
The topic is Kikwete ahaha urais 2010 so what are you trying to tell us back to the topic pls

Mwandishi anasema JK ana mkono ndiyo maana, vyama havisimamishi wagombea. mwandishi anajaribu kutuaminisha kuwa vyama visiposimamisha wagombea wa urais basi ni JK kasababisha. Mimi binafsi nikaona ni uongo. nikasema ni kweli vyama ni dhaifu, lakini si kweli kuwa wasiposimamisha mgombea basi ni kwa sababu JK ametaka. Chadema hajasimamisha wagombea kwenye chaguzi 2. so vyama vinaweza kusimamisha au kutosimamisha kutokana na mipango yao.

My post ni kupinga hii kauli ya mwandishi na si otherwise.

Au unasemaje vyama visiposimamisha wagombea vitakuwa vimehongwa??
 
Mnafiki hawezi kusema ukweli... kwa sababu hakuna ukweli kwenye unafiki (to begin with).

kwa hiyo sasa humu JF nani hajui kuwa mimi mnafiki mpaka uwatangazie? maana kila mtu anajua hivyo, msukumo wako wa kusema mimi mnafiki unatokea wapi hivi sasa? nani asiyejua mimi mnafiki humu?

How can you debate na mnafiki?
 
Sijui unajaribu kumdanganya nani, hiki ndicho ulichoandika kwenye post yako (post namba 4)

waberoya said:
kwa hiyo vyama havisimamishi wagombea kwa sababu ya JK kafanya mpango huo? mmethibitisha, najua opposition wako weak kama mlenda, ila siamini kbaisa kama wamemezeshwa sumu na JK wasigombee urais. hata kama leo hii Slaa atasimamishwa, kushindwa lazima ashindwe tu.
 
Mnafiki hawezi kusema ukweli... kwa sababu hakuna ukweli kwenye unafiki (to begin with).

sijawahi kufingiwa kwa matusi.teh teh teh teh

Mwenyewe kazi zilinibana nikaomba wanifungie miezi miwili.teh teh teh, tafuta post yangu ya kuomba kufungiwa ,teh teh teh
 
kwa hiyo sasa humu JF nani hajui kuwa mimi mnafiki mpaka uwatangazie? maana kila mtu anajua hivyo, msukumo wako wa kusema mimi mnafiki unatokea wapi hivi sasa? nani asiyejua mimi mnafiki humu?

How can you debate na mnafiki?

Ili kumkomesha akome kabisaaaa .... kumbuka pia kuwa JF inapata members wapya kila siku, inabidi wakumbushwe kuwa kuna wanafiki, mamluki, na mapandikizi wa ccm (kama waberoya) wanaojifanya kuwa wao ni wapinzani.

Au hilo hulipendi?
 
Ona sasa, umerudi kwenye play book ya timu yako... i hope kipindi hiki hutaanza matusi kama uliyotoa last time hadi ukafungiwa.

unaogopa matusi kumbe? lazima wewe mstaarabu, kitu gani kingine unagopa? criticism? kuambiwa ukweli au?

sema na kama unaogopa criticism, tuache ku-post humu, ila sidhani mtu akisem Chadema ni NGO ni matusi, ni maoni tu, hupo?
 
sijawahi kufingiwa kwa matusi.teh teh teh teh

Mwenyewe kazi zilinibana nikaomba wanifungie miezi miwili.teh teh teh, tafuta post yangu ya kuomba kufungiwa ,teh teh teh

ha a ha ha,

mkuu sasa unataka kufanya watu kaa watoto. Yaani kwa logic yako, kazi zilikubana ndio ukaomba kufungiwa?!

Kazi zikibana watu, wanapotea hapa (ili kuendeleza kazi zao) na kisha wanarudi wakimaliza. Nakumbuka hiyo thread yako ya kuomba kufungiwa ila wewe na mimi wote tunajua kabisa kilichokuwa kinaendelea behind the scene.

Au unataka nimwage kuku wengi kwenye mchele opppsss ...?
 
LOL!

utakuwa katibu?

unafaa sana kwa kutetea hoja, vipi wazee wameku-recommend nafasi gani hapo Chadema?

Ungejua mimi hata huyo Mbowe na Slaa sijawahi waona kwa macho achilia mbali ila nawakubali kwa matendo yao
 
unaogopa matusi kumbe? lazima wewe mstaarabu, kitu gani kingine unagopa? criticism? kuambiwa ukweli au?

sema na kama unaogopa criticism, tuache ku-post humu, ila sidhani mtu akisem Chadema ni NGO ni matusi, ni maoni tu, hupo?

No matusi ni kama yale uliyomwaga hapa dhidi ya wachaga na watu wa mikoa ya kaskazini. Unayakumbuka? Yale ndiyo matusi..... haya mengine ni ya kawaida tu.
 
Ili kumkomesha akome kabisaaaa .... kumbuka pia kuwa JF inapata members wapya kila siku, inabidi wakumbushwe kuwa kuna wanafiki, mamluki, na mapandikizi wa ccm (kama waberoya) wanaojifanya kuwa wao ni wapinzani.

Au hilo hulipendi?

sasa anakomeshaje muda wote huu nina post na huku napata full throttle blue demon taratiibu.

unaweza kunisababishia nisiweze kutuma post? unataka kuwa Mods?

kwani Tanzania nani kasema kuwa CCM siyo sifa mpaka mtu ajifiche kwenye NGO ya chadema what is so special in chadema?

Yaani kuna level umejiweka na chama chako, unajua yeyote anayetaka kusogelea basi ni -MCCM, mmewapata wangapi humu JF na mmewafukuza wanafiki wangapi chadema, na mmebakiza wangapi?
 
Ungejua mimi hata huyo Mbowe na Slaa sijawahi waona kwa macho achilia mbali ila nawakubali kwa matendo yao

Nilisema ukiingia kwenye huu mjadala utaleta sura mpya, bora wewe! bora, bora ......, bora mtu wangu

Mkuu bora uwe shabiki, usisahau kutoa mchango kwa njia ya SIMU ila usiwasogelee karibu! wana kiongozi wa chadema mpaka 2015, 2020, 2035, mpaka 2050.

Strategy yako nzuri kabisa, fedha za michango zitasaidia kwenye kampeni, operation sangara na ziada watatumia kumlipa Mbowe!

si unajua mbowe anakidai chama, hili unataarifa nalo?
 
sasa anakomeshaje muda wote huu nina post na huku napata full throttle blue demon taratiibu.

unaweza kunisababishia nisiweze kutuma post? unataka kuwa Mods?

Amekoma kwa sababu siku hizi hajiiti tena kuwa ni mpinzani (kinafiki) kama zamani. Siku hizi akiandika, anaandika kama mwanachama wa chama cha kifisadi cha ccm.

Unafiki unakomeshwa kama kumsukuma mlevi niagara falls

kwani Tanzania nani kasema kuwa CCM siyo sifa mpaka mtu ajifiche kwenye NGO ya chadema what is so special in chadema?

Yaani kuna level umejiweka na chama chako, unajua yeyote anayetaka kusogelea basi ni -MCCM, mmewapata wangapi humu JF na mmewafukuza wanafiki wangapi chadema, na mmebakiza wangapi?

Kwa sababu ya unafiki - kumbuka kuwa wanafiki wanafanya kitu wasichopenda au kuamini. Unafiki tu ndio ulikufanya uanze kujitambulisha hapa kama mpinzani wakati wewe ni chama la kijani damu damu - hata makamba afadhali
 
Slaa sio mnafiki.. usijaribu hata kujipa cheo usichokuwa nacho

Chadema haitaki watu wanafiki kama wewe. Thanks but no thanks!

mwafrika yuko kwenye mission kufukua mamluki wa ccm wanaojipendekeza hapa na kujivika vazi la upinzani. imekuwa tu bahati mbaya kwako kuwa wewe ndiye uko kwenye mwanga leo.

Kwenye bold mimi pia niko hapa wala si kwa payroll ya mtu kama walivyo wengine kuelimisha bure wanaodharau na kuwabeza watu waliojitolea kupigania mali za taifa vile vile niko hapa kuwaumbua UWT wanaojifanya wako kambi ya upinzani kwa kujivika ngozi ya kondoo kumbe ni mbwa mwitu
 
Back
Top Bottom