Watanzania mna moyo; mmekaa, mmeombea, mmesubiria na hatimaye mmepewa mlichotaka. Na nyinyi wa kwenye mitandao ndio mtakiona cha mtema kuni kwa kuisababisha CCM hasara sana 2010... sasa kichaa kapewa sime sokoni..
hii kaka ni kuona aibu tu kwa sababu mwandosya ni mzuri lakini ki ukweli, na pengine ametpka afadhali ameingia potelea mbali. kuna wengine humo kwa speed ya bunge la sasa hawatadumuJK bana......mtu anapewa ubunge saa 9 mchana....saa kumi anaukwaa u-naibu waziri!! ni Tanzania pekee utakutana na hii kitu. Mwandosya waziri asiye kwua na wizara maalumu - what the **** is this??? Labda ni favour ili hospital bills zilipwe, akishapona tu, atatemeshwa uwaziri! Wassira, Malima, Sophia Simba.....tunalo!
Nilikuwa Nimelalala Zangu sikuwa na Muda wa Kufuatilia koz sikutegemea La Maana.
KAKA KIGODA UMEMSAHAU ENZI ZA MKAPA NA WAKINA JUMA NGASONGWA HAWA NDio walituuzia viwanda vyetu leo tunalia hata kiwanda cha kiberi kibo match moshi kimekufa halafu unamshangilia pole sana nduguyangu? huyo mtoto wa mwinyi na kawambwa waliwahi kuwepo hizo wizara walifanya nini??? JK AMALIZE AKAFIE MBELE TU HANA MAANA.... WOTE NI WALE WALE.. HOVYOKABISAAA