Kikwete afanya mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri - Aprili 2012

kwa mtazamo wangu jk alitakiwa amwombe lyatonga mrema amsaidie kwenye hiyo wizara ya TAMISEMI maana ndio imejaa wababe wanaosubiri 2pesa zifike wazihamishie kwenye mifuko yao.namtaja mrema kwa kuwa mara nyingi anamuungaga mkono,nishati na madini apewe magufuri co yule prophesor kisa anajua miamba,ina maana atakuwa anaingia yeye kukagua kama inamadini au haina?.mwakyembe ujenzi.kigoda cjui karudi kufanya nn?aaa nimekumbuka anataka kuongezea yale mabasi yake yanitwa SWABRA na ckuhizi cyaonioni sana,cjui yapo?yule alie2katalia katiba mpya cjui ni wa nn tena?akh nimechoka
 
Nape hana jipya bt muangalie madhara ya nape pia kugeuka msemaji wa rais,alitamka KULIUNDA AMA KULISUKA UPYA.yaliyojir hapo jana ni michosho na usanii
 
wakuu, kipindi wanatangazwa hawa mawaziri waliotemwa jana walisifiwa kwa sifa kemkem, haya sasa mmetajiwa wengine ishaanza misifa ya ajabu. jiulizeni, aliyewateua kina ngeleja ni tofauti na aliyewateua kina kigodaaaaaa!
kwa maneno ya kichumi ni kuwa ccm ya kikwete imeturudisha nyuma hatua zaidi ya kumi!

MTAZAMO:
ccm ya kikwete inajifunza kutawala,

USHAHIDI:
hii ni mara ya tatu anafukuza mawaziri wake kwa kushindwa kazi. (i stand to be corrected)

MSEMO/NAHAU/METHALI:
Kwenye pakacha samaki mmoja akioza jua wameoza wote

TAFSIRI:
Pakacha = ccm
Samaki = wabunge na rais walioko kwenye pakacha.

SULUHUSHO:
Liepukeni pakacha kwa kadri muwezavyo, nanyi mlio ndani yake mnaodhani hamjaoza tokeni humo bila kujali mna wadhifa gani.

HITIMISHO:
Chukua hatua sasa®©
 
Tokea kutangazwa baraza jipya la mawaziri kumekua na posts nyingi sana ambazo zinatoa tathmini tofauti tofauti za baadhi ya mawaziri na manaibu waziri waliopo kwenye baraza jipya. Kutokana na hilo nimeona ni bora nikaanzisha THREAD yenye lengo la kutathmini baraza hilo jipya kwa kirefu zaidi kwa maslahi ya taifa letu. Orodha hiyo ya baraza jipya la mawaziri jipya la mawaziri ni kama ifuatavyo;

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
ORODHA YA MAWAZIRI NA NAIBU MAWAZIRI






MAWAZIRI



1. OFISI YA RAIS



Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu)
Ndugu Stephen M. Wasira, Mb.,



Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, (Utawala Bora)
Ndugu George Mkuchika, Mb.,



Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (UTUMISHI)
Ndugu Celina Kombani, Mb.,






2. OFISI YA MAKAMU WA RAIS



Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (MUUNGANO)
Ndugu Samia H. Suluhu, Mb.,



Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (MAZINGIRA)
Dr. Terezya P.L. Huvisa, Mb.,






3. OFISI YA WAZIRI MKUU



Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji)
Ndugu Mary M. Nagu, Mb.,



Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI)
Ndugu Hawa Ghasia, Mb.,



Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge)
Ndugu William V. Lukuvi, Mb.,






4. WIZARA



Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Ndugu Samuel J. Sitta, Mb.,



Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
Ndugu Shamsi Vuai Nahodha, Mb.,



Waziri wa Ujenzi
Dr. John P. Magufuli, Mb.,



Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii
Dr. Hussein A.H. Mwinyi, Mb.,



Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi
Dr. Shukuru J. Kawambwa, Mb.,



Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
Ndugu Sophia M. Simba, Mb.,



Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
Ndugu Bernard K. Membe, Mb.,



Waziri wa Katiba na Sheria
Ndugu Mathias M. Chikawe, Mb.,



Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi
Ndugu Emmanuel Nchimbi, Mb.,



Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
Dr. David M. David, Mb.,



Waziri wa Kazi na Ajira
Ndugu Gaudentia M. Kabaka, Mb.,



Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia
Prof. Makame M. Mbarawa, Mb.,



Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Prof. Anna K. Tibaijuka, Mb.,



Waziri wa Maji
Prof. Jumanne Maghembe, Mb.,



Waziri asiyekuwa na Wizara Maalum
Prof. Mark Mwandosya, Mb.,



Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika
Eng. Christopher Chiza, Mb.,



Waziri wa Uchukuzi
Dr. Harrison Mwakyembe, Mb.,



Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
Dr. Fenella E. Mukangara, Mb.,



Waziri wa Maliasili na Utalii
Ndugu Khamis Kagasheki, Mb.,



Waziri wa Viwanda na Biashara
Dr. Abdallah O. Kigoda, Mb.,



Waziri wa Fedha
Dr. William Mgimwa, Mb.,



Waziri wa Nishati na Madini
Prof. Sospeter Muhongo, Mb.,






5. NAIBU MAWAZIRI






OFISI YA RAIS



HAKUNA NAIBU WAZIRI






6. OFISI YA MAKAMU WA RAIS



Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa Rais
Ndugu Charles Kitwanga, Mb.,






7. OFISI YA WAZIRI MKUU



Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI)
Ndugu Majaliwa K. Majaliwa, Mb.,



Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI)
Ndugu Aggrey Mwanry, Mb.,



8. WIZARA MBALIMBALI



Naibu Waziri wa Kazi na Ajira
Dr. Makongoro M. Mahanga, Mb.,



Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika
Ndugu Adam Malima, Mb.,



Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi
Ndugu Pereira A. Silima, Mb.,



Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara
Ndugu Gregory G. Teu, Mb.,



Naibu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
Ndugu Benedict N. Ole-Nangoro, Mb.,



Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
Ndugu Mahadhi J. Maalim, Mb.,



Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,
Ndugu Goodluck J. Ole-Medeye, Mb.,



Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
Ndugu Ummy A. Mwalimu, Mb.,



Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi
Ndugu Philipo A. Mulugo, Mb.,



Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Dr. Abdulla Juma Abdulla, Mb.,



Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii
Ndugu Lazaro Nyalandu, Mb.,



Naibu Waziri wa Ujenzi
Ndugu Gerson Lwenge, Mb.,



Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,
Dr. Seif Suleiman Rashid, Mb.,



Naibu Waziri wa Nishati na Madini
Ndugu George Simbachawene, Mb.,






Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia
Ndugu January Makamba, Mb.,



Naibu Waziri wa Uchukuzi
Dr. Charles J. Tizeba, Mb.,



Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
Ndugu Amos Makala, Mb.,



Naibu Waziri wa Maji
Eng. Dr. Binilith Mahenge, Mb.,



Naibu Waziri Nishati na Madini
Ndugu Stephen Maselle, Mb.,



Naibu Waziri wa Katiba na Sheria
Ndugu Angela Jasmine Kairuki, Mb.,



Naibu Waziri wa Fedha
Ndugu Janet Mbene, Mb.,



Naibu Waziri wa Fedha
Ndugu Saada Mkuya Salum, Mb.,



Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu.
Dar es Salaam.
4 Mei, 2012

 
Kama ni kusuka kweli limesukwa, natamani lingenyolewa maana kusuka, nywele ni zile zile tofauti ni mtindo tu.

Suala kubwa linalohtajka ni kukata kchwa kabisa(kuondoa ccm) kunyoa haina tija kabisa kwani nywele zitaota haf mtu anaamua tena asuke ama anyoe tena.
 
kweli ukistaajabu ya musa... Mkuchika,malima,wasira, sofia na kawambwa bado wamerudi kwa ufanisi upi??
 
dah rais kikwete kajitahid sana ila without mistake and failure hututaweza jua kuawapi tumekosea na wpi tumeimarisha big up kikwete hope ccm will be back in the league next election 2015 chadema wamewapa challeng so it's a gud thing mmejua wapi mmekosea napenda kusema kidumu chama cha mapinduzi
 
Hatimaye Rais Jakaya Kikwete amefanya mabadiliko katika baraza la mawaziri ambapo mawaziri kadhaa wameondolewa, wapya wameingizwa na wengine kuhamishwa wizara huku kadhaa wakiendelea kushika nafasi zao.

[video=youtube_share;vLYw0ZkF_-g]

- Rais amemteua mbunge mwingine mpya - Bi. Saada Mkuya Salum
  • Imeelezwa kuwa tukio hili litakuwa LIVE kwenye vituo vya televisheni na baadhi ya redio.
  • Wizara ya Nishati na Madini itaongezewa naibu waziri na ikibidi baadae itaweza kugawanywa...
  • Mawaziri watawajibishwa kisiasa lakini waliosababisha waziri awajibike hawataachwa!
  • Kuanzia sasa akiwajibishwa Waziri basi na watendaji wote walio nyuma yake watawajibishwa\

NAAM:
ORODHA YA MAWAZIRI NA NAIBU MAWAZIRI


MAWAZIRI

1. OFISI YA RAIS

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu)
Ndugu Stephen M. Wasira, Mb.,

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, (Utawala Bora)
Ndugu George Mkuchika, Mb.,

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (UTUMISHI)
Ndugu Celina Kombani, Mb.,


2. OFISI YA MAKAMU WA RAIS

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (MUUNGANO)
Ndugu Samia H. Suluhu, Mb.,

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (MAZINGIRA)
Dr. Terezya P.L. Huvisa, Mb.,


3. OFISI YA WAZIRI MKUU

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji)
Ndugu Mary M. Nagu, Mb.,

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI)
Ndugu Hawa Ghasia, Mb.,

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge)
Ndugu William V. Lukuvi, Mb.,


4. WIZARA

Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Ndugu Samuel J. Sitta, Mb.,

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
Ndugu Shamsi Vuai Nahodha, Mb.,

Waziri wa Ujenzi
Dr. John P. Magufuli, Mb.,

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii
Dr. Hussein A.H. Mwinyi, Mb.,

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi
Dr. Shukuru J. Kawambwa, Mb.,

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
Ndugu Sophia M. Simba, Mb.,

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
Ndugu Bernard K. Membe, Mb.,

Waziri wa Katiba na Sheria
Ndugu Mathias M. Chikawe, Mb.,

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi
Ndugu Emmanuel Nchimbi, Mb.,

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
Dr. David M. David, Mb.,

Waziri wa Kazi na Ajira
Ndugu Gaudentia M. Kabaka, Mb.,

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia
Prof. Makame M. Mbarawa, Mb.,

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Prof. Anna K. Tibaijuka, Mb.,

Waziri wa Maji
Prof. Jumanne Maghembe, Mb.,

Waziri asiyekuwa na Wizara Maalum
Prof. Mark Mwandosya, Mb.,

Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika
Eng. Christopher Chiza, Mb.,


Waziri wa Uchukuzi
Dr. Harrison Mwakyembe, Mb.,

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
Dr. Fenella E. Mukangara, Mb.,

Waziri wa Maliasili na Utalii
Ndugu Khamis Kagasheki, Mb.,

Waziri wa Viwanda na Biashara
Dr. Abdallah O. Kigoda, Mb.,

Waziri wa Fedha
Dr. William Mgimwa, Mb.,

Waziri wa Nishati na Madini
Prof. Sospeter Muhongo, Mb.,


5. NAIBU MAWAZIRI


OFISI YA RAIS


HAKUNA NAIBU WAZIRI


6. OFISI YA MAKAMU WA RAIS

Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa Rais
Ndugu Charles Kitwanga, Mb.,


7. OFISI YA WAZIRI MKUU

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI)
Ndugu Majaliwa K. Majaliwa, Mb.,

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI)
Ndugu Aggrey Mwanry, Mb.,



8. WIZARA MBALIMBALI

Naibu Waziri wa Kazi na Ajira
Dr. Makongoro M. Mahanga, Mb.,

Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika
Ndugu Adam Malima, Mb.,

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi
Ndugu Pereira A. Silima, Mb.,

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara
Ndugu Gregory G. Teu, Mb.,

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
Ndugu Benedict N. Ole-Nangoro, Mb.,

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
Ndugu Mahadhi J. Maalim, Mb.,

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,
Ndugu Goodluck J. Ole-Medeye, Mb.,

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
Ndugu Ummy A. Mwalimu, Mb.,

Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi
Ndugu Philipo A. Mulugo, Mb.,

Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Dr. Abdulla Juma Abdulla, Mb.,

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii
Ndugu Lazaro Nyalandu, Mb.,

Naibu Waziri wa Ujenzi
Ndugu Gerson Lwenge, Mb.,

Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,
Dr. Seif Suleiman Rashid, Mb.,

Naibu Waziri wa Nishati na Madini
Ndugu George Simbachawene, Mb.,

Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia
Ndugu January Makamba, Mb.,

Naibu Waziri wa Uchukuzi
Dr. Charles J. Tizeba, Mb.,

Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
Ndugu Amos Makala, Mb.,

Naibu Waziri wa Maji
Eng. Dr. Binilith Mahenge, Mb.,

Naibu Waziri Nishati na Madini
Ndugu Stephen Maselle, Mb.,

Naibu Waziri wa Katiba na Sheria
Ndugu Angela Jasmine Kairuki, Mb.,

Naibu Waziri wa Fedha
Ndugu Janet Mbene, Mb.,

Naibu Waziri wa Fedha
Ndugu Saada Mkuya Salum, Mb.,
 
Waziri asiyekuwa na wizara maalum , ( moja ya nyazifa za kisenge kabisa kuwah kuwekwa)
 
Back
Top Bottom