Freema Agyeman
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 3,666
- 3,524
Viongozi wana tokana na jamii hiyo hiyo ya wananchi kwa hiyo na wananchi nao hawa wezi kuepuka lawama.
Viongozi ni reflection ya wananchi wanaowaongoza. Kama wananchi ni wabishi, wapenda majungu na mijisifa unadhani hao viongozi watakuwa tofauti na jamii inayowazunguka. Let statr changing our mindset first.