Kikwete Abinafsisha Serengeti N.Park kwa Wamarekani.

we Kada we, unampinga Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Visiwa vyake, aliyechaguliwa na Mungu na kupakwa mafuta, ambaye ni Amiri jeshi wa Majeshi yote ya Ulinzi na Usalama (Polisi, JKT, Mgambo, Magereza, JWTZ, Sungusungu na Chipukizi)? Unathubutu vipi?

Mwanakijiji,

Rais JK kachaguliwa na Watanzania. Kama rais JK hatufai basi ni makosa ya Watanzania wengi waliomweka madarakani pamoja na kujua
katiba mbaya iliyotumika na mapungufu ya JK.

Kusema JK kawekwa na mungu naona ni SPIN na haina ukweli wowote.

Kinachotakiwa Tanzania ni kupigania mabadiliko ya katiba ili kiongozi yeyote atakayeingia madarakani asiwe na power kubwa kama ilivyo sasa.

Kikubwa zaidi ni kuwaelemisha Watanzania na hasa huko vijijini ili waelewe kwamba wana nguvu ya kuweza kuleta mabadiliko Tanzania kama watatumia vizuri kura zao.
 
Nadhani ni muhimu tubukue kidogo kujua zaidi kuhusu hii habari, maswali aliyouliza Madilu ni ya msingi sana. Labda kwa kuongezea tu ubia huo Kikwete kaingia kama mtu binafsi au kwa niaba ya serikali? magwanyo wa shares ukoje? nk

Nachelea tunaweza tukawa tunajadili suala lisilo kuwepo!
 
hotel inaitwa sasakwa Lodge,Per nite $1500,huko ndiko kinajengwa kiwanja cha ndege..
hivi unadhani kipindi kile anasema kwamba Mwacheni mkapa,alikuwa hajui alichokuwa anataka kukifanya?Jk ni Msanii vibaya sana,ila mie nafurahi wananchi wamejua ni mtu wa aina gani,
Mzee momose alishawahi kuhoji kama watanzania wanamjua vizuri huyu jamaa,walidhani sura ndio huwa inaongoza nchi kwa mvuto?
 
Katika maada zangu zilizotangulia niliwahi kusema kuwa Lowasa ni marketing manager wa Kikwete. Wana Ushirika huo. Lowasa ni mzuri wa uza uza na haribu haribu. Na amebobea katika pokeapokea. Na bado wana miaka kadhaa ijayo. uchaguzi wa mwaka 2010 waendelee tena. Mfano Mkapa miaka 5 ya kwanza alifanya kazi za nchi zaidi ya binafsi. Baada ya kutengenesa jina miaka mitano ya mwisho ndipo alipojikita katika kujilimbikizia.Sasa hawa marafiki zangu wameingia na top gia moja kwa moja. UZA UZA IMEZIDI JAMANI. Rais hatulii Nchini. Kila akitoka airudi linalipuka jingine. Na hii part I , je akianza malizamaliza ya Part II ya madaraka yake itakuawaje? Alishawasoma Watanzania anatujua. tukilambishwa pipi tu tunachekelea na tunajipnga kumpigia makofi. ARI MPYA NA KASI MPYA MNAIONA? KASI YA MIKATABA NA UFISADI. NA HASEMI KITU.
 
Let them do wot they want Lakini History one day will Crucify them. Siku wana wa nchi wakiamka, wakafumbua macho then watawafanya kama Chausesku wa romania!

Watanzania wataamka lini!!Mie naona kama wameshajifia tu na umasikini."KEEP THEM BUSY WITH POVERTY AND FATTEN YOUR BELLY"
 
yaani bado kuuzwa makabila...wachagga mtakua chini ya mwekezaji wa nchi ile,wasukuma kule..wahaya pale...wamakonde,wadigo etc yaani kuwe na departmentation kuanzia kwa makabila then hata familia zitauzwaaaaaa
 
Madela,
Na wewe si mmarekani,kwa nini ujibague.Mtoa hoja amesema wazi serengeti wameuziwa wamarekani na wewe ukiwa ndani ya jumba
 
Hii habari niliiisema juzi lakini watu mkaanza kusema oh mara vile mara hivi now here we are . Unajua bwana mambo haya magumu tetesi zangu huwa zinazaa ukweli leo mnasema ni kweli ? Mbona Masatu kanipinga na kuniita majina ya ajabu sana .Maana nilisema kuna mmarekani kanunua Serengeti now here we are .
 
Hii habari niliiisema juzi lakini watu mkaanza kusema oh mara vile mara hivi now here we are . Unajua bwana mambo haya magumu tetesi zangu huwa zinazaa ukweli leo mnasema ni kweli ? Mbona Masatu kanipinga na kuniita majina ya ajabu sana .Maana nilisema kuna mmarekani kanunua Serengeti now here we are .

Acha unafiki ulichosema ni hiki hapa;

Hili swali leo nimeulizwa na mzungu mmoja tukiwa pale Movenpick tunapata chai . Aliniona nimeshika gazeti moja na akaanza maongezi . Akanieleza jina lake na aksema anatoka US.Akasema aliweza kukutana na ujumbe wa Tanzania wakati JK akiwa US kuhudhuria mkutano wa UN.

Baada ya swali lake nikamuuliza kwa nini aliuliza maana kama ujuavyo sisi wabongo swali na swali juu si jibu . Akasema amekuja kuangalia mazingira ya kuwekeza lakini anakuta watu ni masikini na anasoma ma scandal kibao wakati US alishuhudia JK anaishi Hotel ya bei mbaya sana ukilinganisha na maisha ya watanzania kwa muda wa wiki 3 akiwa US.

Nina ncontact za huyu jamaa mkitaka nitawapa na sasa naomba kujua nyie wwatu wa majuu . JK kwa muda wa wiki 3 alijifungua katika Hotel lipi ambalo huyu mzungu anashangaa ? Maana anasema mimi pamoja na pesa zangu siwezi kuishi Hotel ile maana ni ghali .Je rais kwa wiki 3 anawezaje kukaa mle ?

Mimi nawauliza Mzee alipumzika hotel ipi huko US ?


 
Masatu from now nitakuwa siwezi kukujibu maana wewe naona ni bonge la mnazi na hasa when it comes to me .Nitakuwa sasa najenga hoja na kujibizana na wenye hoja unazi nakuachia
 
Masatu from now nitakuwa siwezi kukujibu maana wewe naona ni bonge la mnazi na hasa when it comes to me .Nitakuwa sasa najenga hoja na kujibizana na wenye hoja unazi nakuachia

Mkuu una khiari ya kunijibu au kutonijibu ni haki yako ya kimsingi sina mamlaka nayo.

Lakini unatia aibu kwa upotosha wa hali ya juu na kwa hilo lazima uambiwe
 
we mwanakijiji unaongea nini?????
na wewe ni zuzu tu ka huyo rais!!!!!!!!!
kama huna hoja c lazima uandike soma tu
 
we mwanakijiji unaongea nini?????
na wewe ni zuzu tu ka huyo rais!!!!!!!!!
kama huna hoja c lazima uandike soma tu

Jamani matusi na dharau za nini? haya ndo yanapelekea watu kutochangia mijadala humu, tuheshimu mawazo ya watu na michango yao bora yasiwe matusi. lo!
 
"There is no fear but fear it self" Tanzania is Doing fine. Mr president is just building a hotel, just hotel what is the big deal? Let him enjoy his peace of pie, that is Tanzania dream. The dream that you cant acquire unless your part of dreamers.
 
na bado,

miaka mitano ya kikwete ikiisha, kutakuwa na loliondo skendo kama mia 5 hivi. This guy amewekwa hapa na mafisadi kina Rostam for a reason! just wait and see muone kama hamtaanza kutafuta nchi ya kupokea wakimbizi zaidi ya million 30!
 
"Sasa ni vita anakaribisha Tanzania siwezi kuvumilia kwa hili ndiyo sababu wamegawana hoteli yeye na Lowassa, kamnakumbuka niliuza kuhusu safari za JK Serengeti zimekuwa ngingi kwa nini?"
"je tutafika ....?????[/QUOTE]"

Naelekea Kufikiri Ndo-washafika tena Hivyo!,Japo Safari yao hawa Mabwana ilikuwa ndefu kidogo,kama utakumbuka Kuna wakati Waliitwa 'WAHUNI','VIJANA' na hatimaye 'BOYS2MEN'.Wachache tulielewa Maana yake,lakini kwa walio Wengi ndo-hivyo tena, wakasema Ndo-haohao wanaowataka,wanakubalika,wataboresha maisha ya mtanzania wa kawaida,ukafanyika Uchaguzi wakashinda eti kwa kishindo!,sasa hii leo utawaambiya nini bwana?
**Siku zote Majuto Mjukuu**
 
Naambiwa kuwa Bw.JK ndiye alikuwa Mgeni Rasmi ktk ufunguzi wa Hoteli Ya Ngurdotto,bila shaka aliondoka Mahala pale akiwa na Mawazo mengi Kichwani,bila shaka NgurKulwa likiwa mojawapo!!
kama 'uwazi na ukweli' umezaa Ngurdoto, sembuse 'Ari mpya na Kasi Mpya' visizae Ngurkulwa?
**Yetu Macho Tu!!**
 
Haya mapya lakini kabla ya kutoa maoni yangu ni kua nayatafiti kwanza kujua kama ni ya kweli lakini kama ni kweli basi JK anatupeleka pabaya sana .
 
Back
Top Bottom