Kikwete aamuru mitambo ya IPTL iwashwe mara moja!

Ina maana mapendekezo ya Zitto - kuwasha IPTL na kutaifisha Dowans - ndio silver bullet ya matatizo ya umeme Tanzania?

You say that. Nobody said that. Hakuna mwenye akili anayeweza kusema hivyo. Tunazungumzia kutatua tatizo la sasa wakati tunatekeleza hatua za kutatua tatizo la kudumu (kama watafanya....!)
 
JK mkuu, cha kufanya ni kuwaita Wartsila, Ericsson na GE hapo TZ very soon, kuwe na kikao na uwaambie TZ tunahitaji gas powered generators za 300MW kwenye fast track modality, watoe quotes na since hayo makampuni yote ni among the world best, mwenye quote ya bei ya chini ndie apewe hiyo tender ili say in 12 months, tuwe tumemaliza hii issue once and for all.

Mkiwasha IPTL week ijayo ukitokea uharibifu mwingine kwa juhudi za kina Rostam tutakuwa tumerudi palepale.

Hapa tunaweka plaster kwenye tatizo, KATA MZIZI WA FITINA JK watu tumove on na uwekezaji sio tunaact kama huu ni mwaka 1947.
 
Mkuu,

katika pita pita zangu katika thread hii sijaona mahali huu ushauri wa kutumia IPTL ukisifiwa kama unavyodai labda kama nimeona kengeza!

Wengi wa wachangiaji wanashangaa JK alikuwa wapi siku zote hizi haya maamuzi hayachukuliwa mpaka wawekezaji na wafanya biashara wakubwa walamike wakati kuna wazalendo kama akina Zitto walikwisha suggest similar things!

Unapo mshangaa JK kwa kutoitisha IPTL kuwashwa mapema una maana gani kuhusu IPTL?

1. ni suluhisho bora

2. Isi suluhisho bora

3. Havina uhusiano wowote
 
Mkuu,

katika pita pita zangu katika thread hii sijaona mahali huu ushauri wa kutumia IPTL ukisifiwa kama unavyodai labda kama nimeona kengeza!

Wengi wa wachangiaji wanashangaa JK alikuwa wapi siku zote hizi haya maamuzi hayachukuliwa mpaka wawekezaji na wafanya biashara wakubwa walamike wakati kuna wazalendo kama akina Zitto walikwisha suggest similar things!

Lakini JK amelaumiwa, na hapa hasitahili sifa yoyote. Imesemwa tayari kama Ngeleja ni bomu kwa nini alimchagua? anayesitahili kubeba lawama ya matatizo ya umeme ni yeye JK.
 
Solomon Vipi bana, kwani hujui hawa jamaa hawaoni mbali...zima moto...zima zima...wanapigania 140MW wakati watanzania 88% wako gizani, hili hawaongelei na wala hawalioni, hili ndilo kubwa zaidi.

Kwa hiyo hata alichosema Zitto pia ni zima moto?
 
Lakini JK amelaumiwa, na hapa hasitahili sifa yoyote. Imesemwa tayari kama Ngeleja ni bomu kwa nini alimchagua? anayesitahili kubeba lawama ya matatizo ya umeme ni yeye JK.

Hivi nini maana ya kuwa rais kuwa na wasaidizi????????

Maana kila kitu saa hivi ni JK!
 
Zitto aliongelea kwa solution ya haraka ya kuokoa Taifa na giza na hakusema ndiyo ufumbuzi wa kudumu .Zitto aliuliza kwa nini Nchi iko kwenye giza na mitambo ipo ?

Mkuu Lunyungu,

Kumbuka kuwa Zitto alisema almost the same thing a year ago (hata kabla ya emergence hii kuja). Ili suluhisho la haraka halina time limit?
 
Mkuu Kevo heshima mbele kiongozi.

JK alikuwa anajua waziri Ngeleja angeweza kutatua hili tatizo, kumbe hakujua jamaa ni bomu vibaya sana.

Si kila kitu anatakiwa kufanya yeye ndiyo maana ana mawaziri na mawaziri ni watu wakubwa sana serikalini, sisi wetu sijui hawajui hilo.
inawezekana ngeleja ni bomu ndio maana kampeleka mtu wake wa karibu kuwa katibu mkuu hapo madini na nishati
 
Hivi nini maana ya kuwa rais kuwa na wasaidizi????????

Maana kila kitu saa hivi ni JK!

JK anastahili kubeba lawama kwa sababu ya kuangalia sura ya mtu katika uteuzi wake na si uwezo. Vinginevyo tuseme kuwa CCM hakuna anayefaa.
 
Ninajiquote nilichosema tarehe 15/10/2009

Ninapendekeza;

  • Serikali ihakikishe mitambo ya IPTL inawashwa mara moja wakati mazungumzo yake na IPTL yakiendelea kwa kuharakishwa (fast tracking). Hali ya nchi ni mbaya, ni sawa na vita, haiwezekani serikali yenye mamlaka ishindwe kuhakikisha IPTL inazalisha umeme wakati mazungumzo yakiendelea. Haiwezekani.Labda kama haina uchungu na maisha ya watu wake.
  • Sikutaka kusema chochote nikiamini kwamba Shirika la TANESCO, Serikali, na kwa upande wa bunge, Kamati ya masuala ya Nishati na Madini, wangeweza kutoa majibu ya tatizo linatukabili. Badala yake, juhudi nyingi zimetumika kutafuta chanzo cha tatizo na kuchelea kutoa suluhuInaumiza sana kuona kuwa tunaendekeza siasa rahisi tunaposhugulikia masuala mazito ya kitaifa kama Nishati. Inasikitisha zaidi pale tunapoona kuwa serikali inashindwa kuchukua hatua mahususi za kuhami uchumi wa Taifa letu. Serikali na Bunge hazitoi suluhisho la hali hii na ni wazi kuna kutupiana mpira wakati nchi inaumia. Serikali imewekwa madarakani ili ifanye maamuzi na tuihukumu kwa maamuzi hayo. Serikali ni lazima sasa iamue.
  • Mazingira magumu kama haya yanahitaji maamuzi magumu (extra ordinary circumstances require extra ordinary decisions). Ninaamini serikali itazingatia ushauri wangu.
Mnisamehe kwa kujiquote!

Ikulu inasema wafanyabiashara ndio wamemwomba Rais. Ni sawa tu........





Baada ya kusema kuwa hali ya umeme ni kama vita (almost a year baada ya tatizo kuwekwa hadharani), sitakushangaa ukiandika hivi

Zitto said:
Sina swali tena.
 
Mimi nilikuwa wapi muda wote? Naomba urudie swali tafadhali.......

Mkuu nilishakukanya kwamba usipoteze muda na watu kama hao... Wataelewa mbele kwa mbele. Juzi walikuwa wanakupinga hapa leo aibu tupu.
 
Tusubiri utekelezaji wa ile amri/pendekezo lingine la Mh Zitto kuhusu Dowans. Maana yaonekana 'ndo wanazinduka ... waliishiwa ideas.
 
Mkuu nilishakukanya kwamba usipoteze muda na watu kama hao... Wataelewa mbele kwa mbele. Juzi walikuwa wanakupinga hapa leo aibu tupu.

Shapu,

aibu gani unayoiongelea? Eti kwa vile Kikwete amefuata ushauri wa Zitto basi hiyo tu inafanya tamko la zitto liwe mana toka mbinguni.

Kama hataki kupoteza muda na watu kama sisi, atapoteza muda na kina nani? wamiliki wa Dowans?
 
Back
Top Bottom