Kikwete aambulia "C" kwa ubora wa marais AFRICA

Gold Addict

Senior Member
Sep 5, 2011
150
42
Kufuatia tafiti iliyofanywa na gazeti lisilo fungamana na upande wowote la East African 06/02/2012 kuhusu ubora wa marais wa Africa,Kikwete ameambulia grade C.Utafiti huo ulizingatia vigezo vifuatavyo;
Mo Ibrahim- 15%
Democracy Index-15%
Corruption Index-15%
human development Index-5%
NMG political Index-15%

Kwa vigezo hivyo hapo,grade zilikuwa kama ifuatavyo:
100-70:A
70-60:B
60-50:C
50-45:D
45-40:F
40-30:Intensive Care Unit(ICU)
30-0:morgue

attachment.php




Kwa habari zaidi ingia humu
The East African: Understanding The Region*- Magazine
 

Attachments

  • african scorecard.jpg
    african scorecard.jpg
    53.2 KB · Views: 1,179
Kwa hiyo ame drop toka B- kwenda C ktk pindi cha 2010/2011.
 
kama ndani ya mwaka mmoja ameweza kuanguka namna hiyo,vipi ikifika 2015?nadhani atakuwa ICU
 
iyo ni C negative! Kwa neno lililozoeleka..Karai! Au kwa maana nyingine yuko kwenye chaki!
 
Kufuatia tafiti iliyofanywa na gazeti lisilo fungamana na upande wowote la East African 06/02/2012 kuhusu ubora wa marais wa Africa,Kikwete ameambulia grade C.Utafiti huo ulizingatia vigezo vifuatavyo;
Mo Ibrahim- 15%
Democracy Index-15%
Corruption Index-15%
human development Index-5%
NMG political Index-15%

Kwa vigezo hivyo hapo,grade zilikuwa kama ifuatavyo:
100-70:A
70-60:B
60-50:C
50-45:D
45-40:F
40-30:Intensive Care Unit(ICU)
30-0:morgue

attachment.php




Kwa habari zaidi ingia humu
The East African: Understanding The Region*- Magazine

Kama matokeo yenye kwa nchi zingine za Africa ndo haya, basi Tanzania imejitahidi sana. Kwa Africa Mashariki imeburuza nchi zote kasoro Kenya ndo wametupita kidogo. Hizo nyingine za Africa ndo hohehahe totally, has huo upande wa kulia....
 
Lakini mkuu, Kuliko kuwa kama Zimbabwe kabla ya kufika mwaka 2015, naona ni bora abaki ktk status quo yake ya C.
 
Nayatilia shaka haya matokeo, siamini kama Rwanda tumewazidi ambao hapa Jf imekuwa SI unit, hata jana tu askofu Kilaini katolea mfano Rais wa Rwanda.
 
Back
Top Bottom