Kikwete aagiza Nyumba za Serikali zilizouzwa zirejeshwe

duh! kumbe ni "mzuka" wa habari,
nimetengua nyonga kwa kukimbilia kufungua uzi nikidhani "shetani katubu" unasubiriwa msamaha wa wa wa waaaa
(nina kiguguguguuuuuuguugugugggu-mizi malizieni)
 
Nilijua CCM sasa inaanza mikakati 2015, Mleta uzi unabip nyoyo za watu eeeh.
 
Nilijua CCM sasa inaanza mikakati 2015, Mleta uzi unabip nyoyo za watu eeeh.


Mleta mda anaonyedha jinsi baba Ritz asivyo mkweli. Hili n i moja kati ya maelfu ya bra bra alizokwisha wahi kuziongea, Ikiwemo ya jana ya viongozi wa vyama vya siasa. Kwa ufupi jama huwa hamaanishi anachokiongea, wadhungu wanasema "he very rarely walk the talk"
 
Huo ni uamuzi MGUMU sana kwake. Mizigo imemshinda, PESA ya kuzinunua nyumba hizo atazitoa wapi?
Hebu Tembeleeni Hapo OYSTERBAY na MASAKI mjionee mijengo iliyosimamishwa na MIJIZI hiyo ya Nyumba!!!
Piga ua hana Ubavu huo!!!
 
WKumbe mramba ni waziri wa miundombinu okkkk anaongeza tu baraza safiiiiii Santa muleta mada
 
kama taarifa hii ni ya kweli basi utakuwa ni uamuzi wa kwanza mzuri kufanywa na rais kikwete.
tunaomba urudishwaji wa nyumba hizo usiwe wa upendeleo, tunaomba mawaziri woote walio nunua nyumba hizi wazireje serikalini,
na mfano mzuri uanze kwa kikwete mwenyewe kuirudisha ile nyumba yake.
na zaidi wale waliohusika kuuza nyumba hizi lazima wachukuliwe hatua kali.
tunaomba mheshimiwa raisi usiishie hapo tu endelea kufatilia mambo muhimu yanaonendelea kudhoofisha taifa hili.
watu waache kuleta mchezo na mali za serikali, tunaomba mrudishe nidhamu ya hali ya juu inapokuja kwenye mambo ya serikali na kodi za watanzania.
na hata hapo kwako ikulu matumizi kama hayo ya mkeo kutumia ndege ya serikali kwenda kuhudhulia vituko vya dictator mfalme swazi tunaomba muache,badala yake hizo pesa zitumiwe kwenye kutatua matatizo ya umeme nk.
nawakilisha
Umesema Rais Kikwete, hii habari itakua ni ya siku nyingi na ilishashindikana.
 
Nnavo muona Magu kwa sasa inawezekana aliziuza reluctantly ili kumtumikia kaizari tu.... nahisi ingekuwa amri yake asingeuza.... nimepata wazo hili kwa jinsi nnavo muona anahangaika na Muhimbili....
 
Huu uchafu wa 2006 ebu toeni, au kuna jipya?
Watutudishie viwanja vyetu vya soka vyote! Viende kuwa chini ya manispaa na halmashauri.
 
Huu uchafu wa 2006 ebu toeni, au kuna jipya?
Watutudishie viwanja vyetu vya soka vyote! Viende kuwa chini ya manispaa na halmashauri.
huu si uchafu bali ni ushahidi wa uongo wa viongozi wa ccm , sasa hawa wengine wanaoropoka leo tunawanakili tu .
 
wanaccm hawana aibu wala hawajawahi kuwa nayo , hebu fuatilia wabunge wao wanavyogonga meza bungeni.
Kuna mahali wameandika JPM ni mteule wa Mungu ambaye kamleta kukomboa WaTz. Nimewauliza jee huyo Mungu wanayemsema ni yule walisema JK ni chaguo lake? Hakuna anayejibu wanarukaruka tuu.
Nimeogopa kama ni yuleyule unless wawe walimsingizia wakati ule.
 
Back
Top Bottom