Kikwete aagiza misafara yake ya kwenda nje kupunguzwa

Anaagiza kwenye magazeti!!swala sio wanaoratibu, swala zima ni yeye mwenyewe. Apo anataka ili wasipozipunguza wananchi tuanze

kusema rais ana nia ya dhati ila watendaji wake!!! Shughuli za familia na majumu yake ni ya baba(rais) watoto (wanaoratibu) ni

wasidizi tu! Hatudanyiki!.............Mbayuwayu oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
 
Huwa hasomi magazeti, na kusikia wasemayo watu!!!! ana angalia BBC na kusoma NY Times
hahahahaha..............huyuhuyu Mr. manufactiring of teachers???

Alisema mwenyewe, yeye anaangalia African magic Swahili................Wakina Kanumba na wenzake.
 
Watanzania bwana, maana ya kulalamika safari zake zimezidi ilikuwa nini kama siyo kuzipunguza, kasema zipungue unaanza kujiuliza maswali. Kumbe ulikuwa unalalamikia tatizo ambalo hujui suluhisho lake?. Na hili ndilo tatizo letu. Unatakiwa unapoona tatizo , toa na mapendekezo nini kifanyike kumaliza tatizo. Sasa haya ndiyo madhara ya kulalamika bila kupendekeza suluhisho. Rais kaona kama safari zake ni kero basi zipungue badala ya kutoa comments juu ya hatua zilizochukuliwa unaanza kujiuliza, maana yake unalalamika tena kwa nini ameamua kuzipunguza siyo. Hatutaki watu wa aina hyo humu JF . Una upeo mdogo wa kuelewa, "acha kuchangia mada"
au ulitaka Rais aseme ziongezwe mara dufu ili ulalamike zaidi manake inaonekana wewe kulalamika ndiyo furaha yako na ni sehemu ya maisha yako na watu watashindwa kukuelewa unafanya hivyo kwa faida ya nani. Tusipo angalia wanasiasa wataliangamiza taifa hili kwa sababu , wale tunaojiita great thinkers sasa tumebadilishwa kuwa daraja la kukebehi kila jema lifanywalo na serikali ili wanasiasa wengine wapate umaarufu. Hiyo dhambi haitaishia hapo akija mwingine kama kiongozo tutaendelea na kuzunguka kwenye duara ili naye aonekane na serikali yake hawafai.

Naona nawe upeo wako umefikia mwisho. Tulia, jielimishe kisha rudi tena jamvini usome hoja zenye mashiko za wana JF. Achana na kina MS, FF (aka SS) nk, watakupoteza.
 
Watanzania bwana, maana ya kulalamika safari zake zimezidi ilikuwa nini kama siyo kuzipunguza, kasema zipungue unaanza kujiuliza maswali. Kumbe ulikuwa unalalamikia tatizo ambalo hujui suluhisho lake?. Na hili ndilo tatizo letu. Unatakiwa unapoona tatizo , toa na mapendekezo nini kifanyike kumaliza tatizo. Sasa haya ndiyo madhara ya kulalamika bila kupendekeza suluhisho. Rais kaona kama safari zake ni kero basi zipungue badala ya kutoa comments juu ya hatua zilizochukuliwa unaanza kujiuliza, maana yake unalalamika tena kwa nini ameamua kuzipunguza siyo. Hatutaki watu wa aina hyo humu JF . Una upeo mdogo wa kuelewa, "acha kuchangia mada"
au ulitaka Rais aseme ziongezwe mara dufu ili ulalamike zaidi manake inaonekana wewe kulalamika ndiyo furaha yako na ni sehemu ya maisha yako na watu watashindwa kukuelewa unafanya hivyo kwa faida ya nani. Tusipo angalia wanasiasa wataliangamiza taifa hili kwa sababu , wale tunaojiita great thinkers sasa tumebadilishwa kuwa daraja la kukebehi kila jema lifanywalo na serikali ili wanasiasa wengine wapate umaarufu. Hiyo dhambi haitaishia hapo akija mwingine kama kiongozo tutaendelea na kuzunguka kwenye duara ili naye aonekane na serikali yake hawafai.
We unadhani mapendekezo anayofanyia kazi rais huwa yanatoka uswahilini kwetu humu?Kuwa muwazi alafu shirikisha na kichwa, sisi kazi yetu kama uma ni kulalamika, media kazi yao ni kusema malalamiko yetu, na yeye mkuu na wasidizi wake kazi yao ni kutengeneza ayo unayoita mapendekezo na kuyatekeleza. Haiwezekani mtu hana ata ela ya unga unataka amshauri rais, unafikri ataongea nini???????????
 
Watanzania bwana, maana ya kulalamika safari zake zimezidi ilikuwa nini kama siyo kuzipunguza, kasema zipungue unaanza kujiuliza maswali.
Tusipo angalia wanasiasa wataliangamiza taifa hili kwa sababu , wale tunaojiita great thinkers sasa tumebadilishwa kuwa daraja la kukebehi kila jema lifanywalo na serikali ili wanasiasa wengine wapate umaarufu. Hiyo dhambi haitaishia hapo akija mwingine kama kiongozo tutaendelea na kuzunguka kwenye duara ili naye aonekane na serikali yake hawafai.
Acha porojo bana wewe, ukisema mara milioni moja kwamba safari za raisi hazina tija, na anaambatana na watu wengi sana kwenye safari zake, watu hao wapunguzwe, halafu akachukua 6 good yrs to react, unataka tumpongeze?
 
Arooooooooooh JF, kamata hiro ri bwana mudogo fuso,harafu murirete ofisini.........teh teh teh
usalama wa taifa wangekuwa wanampelekea kila kitu ambacho wananchi tunakisema mitaani naona jamaa angekuwa mnyonge sana; inavyoonekana hata wao washamchoka wapo wapo tu kulinda ajira zao.
 
Msanii tu huyo. Wanaokwenda huko ni rafiki zake, mashoga na mkewe etc kwani kuna mwalimu yeyote katika msafara. Na sidhani kama kweli kasema hivyo, wanamsingizia

nakubaliana na wewe mkuu,huu ni usanii coz katika hali ya kawaida kabla hawajasafiri huwa anapewa list ya delegates ambao atasafiri nao na wengi wao wanakwenda kwa discretion yake sasa hayo yamekuwa yakifanyia kipindi chote sasa leo anapokuja na kutuambia kuwa wapungeze idadi ya watu inashangaza kidogo.katika record inaonyesha safari zake za usa ndo zinakuwaga balaa coz watu wake wote huwa wanataka kwenda
 
katika magazeti ya leo kuna habari inayosema kikwete aagiza wanaoratibu misafara yake kwenda nje ya nchi kupunguzwa.
Mytake
1. Hivi ni kweli alikuwa ajui kuwa misafara yake ni mikubwa?
2. Kilio cha wananchi kimekuwa yeye kusafiri mara kwa mara nje ya nchi
3. Je kwa hilo agizo lake litakuwa mwarobaini kwa kilio cha wananchi?

Kwani lazima aende yeye? Huyo jamaa kweli tumeingia choo cha kike tena cha malkia maana lazima uwekwe ndani.
 
Hatukubari inabidi akatwe hela yake ya kiunua mgongo na ile ya mshahara baada ya kustaafu mpaka zile gharama zirudi,unataka kuniambia alikua hajui kwamba misafara ni mingi? Jeikei anajua sana kucheza akili za watu,mtaalamu sana wa kupima upepo
mshahara wake unaujua ni shing ngapi mkuu?nchi pekee duniani ambapo mshahara wa rais is classified...the matter of national security,foolish country,.stupid citizens
 
Tanzania tulilogwa siku tulipompa ****** JK nchi. Nilishawahi kusema huko nyuma, itatuchukua miaka mingi sana kurudi pale tulipokuwa kabla hajaapishwa kuwa rais.

Kwa nini asiachie ngazi na ni dhahiri nchi imemshinda??

Bado anawawekea mambo sawa kina RIZ1 na Miraji
 
Huwa hasomi magazeti, na kusikia wasemayo watu!!!! ana angalia BBC na kusoma NY Times

Hahaaa JK ni supporter wa Bongo Movies bana yaani yeye kila filamu mpya ya Bongo ikitoka lazima aicheki
 
Huyu jamaa ni janga la Taifa. Eti ndo anajua leo, mw..hu huyu! Huyu jamaa na Punda wake watakuwa huko shuleni walikuwa ma-slow learners. Yaani huwa wanakumbuka shuka kukiwa kumekucha.
 
watanzania ni watu wa ajabu sana rais kasikia kilio chenu mnataka nini nyie. meomba katiba mchakato unaendelea, mmeomba kukutana naye amewakubalia, jamani ee e e e e e e ee e e e
 
mkuu kigeu geu nae,mara hakikisheni naenda nje mara kibao mara kwenye vyombo vya habari tupunguze,aaaarrrrgggghhhh
 
watanzania ni watu wa ajabu sana rais kasikia kilio chenu mnataka nini nyie. meomba katiba mchakato unaendelea, mmeomba kukutana naye amewakubalia, jamani ee e e e e e e ee e e e
swala la katiba sio la rais dogo wala bunge, ni la wananchi.
 
Its amazing,six years ndio anasema msafara mkubwa au ni kwavile OC hazipo tena kwa kiwango cha zamani.
 
Huyu Raisi naye ataacha lini usanii,Katoka juzi tu hapa safari ya siku nne kafyeka million 300, aseme ukweli chungu kimetoboka ,hazina haina kitu imefilisika tungemuelewa zaidi angesema ukweli na kumpa heshima yake sasa hivi yeye ni kanyaboya amepoteza dira ya kuongoza arudi Msata akamalizie uzee wake huko
 
Watanzania bwana, maana ya kulalamika safari zake zimezidi ilikuwa nini kama siyo kuzipunguza, kasema zipungue unaanza kujiuliza maswali. Kumbe ulikuwa unalalamikia tatizo ambalo hujui suluhisho lake?. Na hili ndilo tatizo letu. Unatakiwa unapoona tatizo , toa na mapendekezo nini kifanyike kumaliza tatizo. Sasa haya ndiyo madhara ya kulalamika bila kupendekeza suluhisho. Rais kaona kama safari zake ni kero basi zipungue badala ya kutoa comments juu ya hatua zilizochukuliwa unaanza kujiuliza, maana yake unalalamika tena kwa nini ameamua kuzipunguza siyo. Hatutaki watu wa aina hyo humu JF . Una upeo mdogo wa kuelewa, "acha kuchangia mada"
au ulitaka Rais aseme ziongezwe mara dufu ili ulalamike zaidi manake inaonekana wewe kulalamika ndiyo furaha yako na ni sehemu ya maisha yako na watu watashindwa kukuelewa unafanya hivyo kwa faida ya nani. Tusipo angalia wanasiasa wataliangamiza taifa hili kwa sababu , wale tunaojiita great thinkers sasa tumebadilishwa kuwa daraja la kukebehi kila jema lifanywalo na serikali ili wanasiasa wengine wapate umaarufu. Hiyo dhambi haitaishia hapo akija mwingine kama kiongozo tutaendelea na kuzunguka kwenye duara ili naye aonekane na serikali yake hawafai.

Safari hazijapunguzwa ila kapunguza msafara wa watu anaosafiri nao. Kwa maana hiyo mkakati wa kusafiri yeye binafsi uko palepale......... Kama anaweza kupunguza msafara wake na shughuli zikaendelea kama kawaida, je huo utitiri wa watu aliokuwa anawabeba walikuwa wanakwenda kufanya nini?? To me anajaribu kuvuta shuka wakati kumekucha. Angefanya hivyo miaka 6 iliyopita, siyo leo. Though, tatizo kubwa ni idadi ya safari zake na muda anaoutumia huko!!
 
Back
Top Bottom