Kikwete aagiza misafara yake ya kwenda nje kupunguzwa

KOMBAJR

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
5,827
1,271
katika magazeti ya leo kuna habari inayosema kikwete aagiza wanaoratibu misafara yake kwenda nje ya nchi kupunguzwa.
Mytake
1. Hivi ni kweli alikuwa ajui kuwa misafara yake ni mikubwa?
2. Kilio cha wananchi kimekuwa yeye kusafiri mara kwa mara nje ya nchi
3. Je kwa hilo agizo lake litakuwa mwarobaini kwa kilio cha wananchi?
 
Msanii tu huyo. Wanaokwenda huko ni rafiki zake, mashoga na mkewe etc kwani kuna mwalimu yeyote katika msafara. Na sidhani kama kweli kasema hivyo, wanamsingizia
 
Tatizo huyu jamaa huwa anagundua kasoro zake too late. Alishindwa nini kutamka haya miaka mitano iliyopita?
 
Pesa zimekata, Hazina kumekauka, zinazoingia ni ndogo kuliko zinazotoka, uchumi ndo uko bin taabani
 
Ni vizuri kama atafanya hivyo angalau miaka 3 aliyobakiza tutafanikiwa kuokoa hela zilikuwa zinapotea kwa misafara mikubwa isiyo na maana. Tunataka katiba mpya itakayo wachukulia hatua viongozi wote kuanzia Rais wakiwa kazini au baada ya muda wao kuisha kwa maamuzi mabovu waliyofanya.
 
Msanii tu huyo. Wanaokwenda huko ni rafiki zake, mashoga na mkewe etc kwani kuna mwalimu yeyote katika msafara. Na sidhani kama kweli kasema hivyo, wanamsingizia

Hapo kwenye Red, Wanamsingizia ili kupooza joto la migomo. Maana wanajua siku itakuja Madokta wa ukweli watauliza kama hela haipo mbona Mhemishimiwa kila uchao anakwea pipa na wapambe wake. Msafara mmoja unatafuna 300B.
 
katika magazeti ya leo kuna habari inayosema kikwete aagiza wanaoratibu misafara yake kwenda nje ya nchi kupunguzwa.
Mytake
1. Hivi ni kweli alikuwa ajui kuwa misafara yake ni mikubwa?
2. Kilio cha wananchi kimekuwa yeye kusafiri mara kwa mara nje ya nchi
3. Je kwa hilo agizo lake litakuwa mwarobaini kwa kilio cha wananchi?

Huyu ni mnafiki tu.....kila kitu anajifanya alikuwa hajuwi.....posho za wabunge alikuwa hajuwi,downs alikuwa hajuwi,Jairo alikuwa hajuwi!

Kwa miaka sita anasafiri eti ndio Leo anagundua misafara Yake in a watu wengi!!!!!!
 
katika magazeti ya leo kuna habari inayosema kikwete aagiza wanaoratibu misafara yake kwenda nje ya nchi kupunguzwa.
Mytake
1. Hivi ni kweli alikuwa ajui kuwa misafara yake ni mikubwa?
2. Kilio cha wananchi kimekuwa yeye kusafiri mara kwa mara nje ya nchi
3. Je kwa hilo agizo lake litakuwa mwarobaini kwa kilio cha wananchi?

Hata misururu ya mav.8 nayo apunguze
 
Hatukubari inabidi akatwe hela yake ya kiunua mgongo na ile ya mshahara baada ya kustaafu mpaka zile gharama zirudi,unataka kuniambia alikua hajui kwamba misafara ni mingi? Jeikei anajua sana kucheza akili za watu,mtaalamu sana wa kupima upepo
 
katika magazeti ya leo kuna habari inayosema kikwete aagiza wanaoratibu misafara yake kwenda nje ya nchi kupunguzwa.
Mytake
1. Hivi ni kweli alikuwa ajui kuwa misafara yake ni mikubwa?
2. Kilio cha wananchi kimekuwa yeye kusafiri mara kwa mara nje ya nchi
3. Je kwa hilo agizo lake litakuwa mwarobaini kwa kilio cha wananchi?

Too late...angesema hivi 2006 ningemwelewa,amenidisapoint sana, na mbona hii imekuja baada ya Davos?
 
Huwa hasomi magazeti, na kusikia wasemayo watu!!!! ana angalia BBC na kusoma NY Times

hata hiyo BBC na NY Times hayasomi kabisa bcs angepata japo habari za kimataifa kidogo tatizo huwa anaangalia wakina 50cents tuu, yeye ni music na movies tuuu!
 
katika magazeti ya leo kuna habari inayosema kikwete aagiza wanaoratibu misafara yake kwenda nje ya nchi kupunguzwa.
Mytake
1. Hivi ni kweli alikuwa ajui kuwa misafara yake ni mikubwa?
2. Kilio cha wananchi kimekuwa yeye kusafiri mara kwa mara nje ya nchi
3. Je kwa hilo agizo lake litakuwa mwarobaini kwa kilio cha wananchi?
Watanzania bwana, maana ya kulalamika safari zake zimezidi ilikuwa nini kama siyo kuzipunguza, kasema zipungue unaanza kujiuliza maswali. Kumbe ulikuwa unalalamikia tatizo ambalo hujui suluhisho lake?. Na hili ndilo tatizo letu. Unatakiwa unapoona tatizo , toa na mapendekezo nini kifanyike kumaliza tatizo. Sasa haya ndiyo madhara ya kulalamika bila kupendekeza suluhisho. Rais kaona kama safari zake ni kero basi zipungue badala ya kutoa comments juu ya hatua zilizochukuliwa unaanza kujiuliza, maana yake unalalamika tena kwa nini ameamua kuzipunguza siyo. Hatutaki watu wa aina hyo humu JF . Una upeo mdogo wa kuelewa, "acha kuchangia mada"
au ulitaka Rais aseme ziongezwe mara dufu ili ulalamike zaidi manake inaonekana wewe kulalamika ndiyo furaha yako na ni sehemu ya maisha yako na watu watashindwa kukuelewa unafanya hivyo kwa faida ya nani. Tusipo angalia wanasiasa wataliangamiza taifa hili kwa sababu , wale tunaojiita great thinkers sasa tumebadilishwa kuwa daraja la kukebehi kila jema lifanywalo na serikali ili wanasiasa wengine wapate umaarufu. Hiyo dhambi haitaishia hapo akija mwingine kama kiongozo tutaendelea na kuzunguka kwenye duara ili naye aonekane na serikali yake hawafai.
 
Huyu jamaa kilaza sana, yaani safari 322 ndo anakumbuka kuwa msafara wake mkubwa leo, kwanini asingejua akiwa amesafiri safari mbili tu, aache kufanya mambo kwa kuangalia watu wanafanya.
 
Tanzania tulilogwa siku tulipompa ****** JK nchi. Nilishawahi kusema huko nyuma, itatuchukua miaka mingi sana kurudi pale tulipokuwa kabla hajaapishwa kuwa rais.

Kwa nini asiachie ngazi na ni dhahiri nchi imemshinda??
 
hata hiyo BBC na NY Times hayasomi kabisa bcs angepata japo habari za kimataifa kidogo tatizo huwa anaangalia wakina 50cents tuu, yeye ni music na movies tuuu!
Why bbc? kilaza namba moja nadhani ni wewe.
 
Too late...angesema hivi 2006 ningemwelewa,amenidisapoint sana, na mbona hii imekuja baada ya Davos?
Na vipi asingesema kabisa? nimegundua kumbe humu JF mnafurahishwa sana na fedheha dhidi ya Serikali. lolote linalohusu serikali kuchukua hatua mnaona kama linawakosesha cha kusema. Dhana ya kpuuzi hiyo. Ina maana humu kumbe tuko kwa ajili ya majungu tu siyo kurekebisha. Kama Rais ametamka hiyo, anastahili pongeli kwani ameonesha kujali.
 
JK msanii sana! Huu ni mwaka wa 6 madarakan, Leo ndo anashtuka??Wiz mtupu
usalama wa taifa wangekuwa wanampelekea kila kitu ambacho wananchi tunakisema mitaani naona jamaa angekuwa mnyonge sana; inavyoonekana hata wao washamchoka wapo wapo tu kulinda ajira zao.
 
Back
Top Bottom